Get services of Business plans, research proposal writing, data collection, data entry, data analysis, and report writing
For more contact check through Email homeresearch12@yahoo.com
Look around your home and office and scan for problems that face your peoples around you and turn that problem into opportunity and if its real opportunities you can make money .
Habari za leo wajasiriamali,
Napenda kuwaletea biashara ya Pullets/kuku wa mayai ambao wametuzwa kwa uangalizi wa hali ya juu ma kulishwa chakula bora kabisa cha CP,wanapatikana kwa bei zuri...
kwa wale wanaohitaji huduma za kutengenezewa #music video #films , #documentary#TV program
#logo&posters#studio photos
Tunakukaribisha
AFRICAN HITS STUDIO.
Tupo tegeta.
phone: 0712973820 /...
MIRADI MIDOGO MIDOGO 15 YENYE KUZALISHA KIPATO KIKUBWA KWA AJILI YA WAJASIRIAMALI
WANAFUNZI NA WANACHUO
STUDENTS WITH A MISSION
1.MLM: Hi ndio biashara moja ambayo wanafunzi wengi ulaya...
Habari wakuu, Nahitaji Kujiunga na kikundi chochote cha watu wenye malengo ya kufanya savings, kukopeshana, kushauriana, kubadilishana mawazo etc. Niko Dar na nimfanyabiashara. Note that am not...
Habari za humu wanajukwaa,
Kwa wale wazoefu juu ya bidhaa tajwa hapo juu nilikua naomba kujuzwa yafuatayo please:
*Ni wapi bidhaa hizo zinapatikan kwa Bei Rahis na zenye Ubora
*Bei za bidhaa...
Heshima kwenu viongozi wangu.
Wakuu natumai hamjambo na mnaendelea vyema na shughuli za ujenzi wa taifa letu.
Wakuu baada ya kusikia wengi wetu wakisifia sana kilimo cha vitunguu nikapata muamka...
Mambo bipi waungwana, poleni na majukumu, Naomba msaada waungwana nataka kufungua kibanda kuuzia umeme wa luku wa Tanesco moja kwa moja naomba utaratibu mwenye ujuzi na uelewa
Kutakuwa na matembezi ya elimu kwa ajili ya kujifunza ufugaj1 wa kisasa wa Sungura na kuku maeneo ya Arusha mjini na nje ya mji kidogo ili kujifunza yafuatayo. Siku ni Jumamosi au Jumapili yan...
Kuna kifaa cha ku-control joto katika mashine za kutotolea vifaranga kinaitwa temperature control,Vifaa hivi vimekuwa gharama sana ambapo imekuwa ikiwalazimu baadhi ya mafundi kuagiza kifaa hicho...
Jambo wadau,
Naomba nipate mawazo yenu juu ya hii biashara ya kutuma na kupokea pesa kwa njia ya mitandao ya simu nataka nianze kufanya hii biashara, naomba nijue faida Inapatikanaje.?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.