Habri za leo wana JF,
Kwa wale wote tunaofuga tunajua ni kiasi gani chakula cha kuku kimepanda na bado tunategemea chakula cha kuku kuanzia tarehe 1/10/2015 kitapanda kwa ongezeko la...
Nahitaji kuanzisha mradi wa kufuga kuku wa kienyeji nataka nianze na vifaranga 1000 . sasa wataalamu naombeni mnisadie mambo ya yafuatayo
Gharama zake kuweza kufuga hao kuku.mabanda na chakula...
Nipo maeneo ya dar es salaam ubungo,
Nauza kuku wa kienyeji mtetea 13000, jogoo ni wakubwa tu kwa 15000. Karibuni.
Wamebaki wachache tu kama 40 hivi
0713419730
Husika na kichwa cha habari kwa anaeitaji kitabu cha ukulima wa vitunguu,mboga zote na matunda na ufugaji wa wanyama tajwa hapo chini anaweza kuniPm bei ni Elfu saba tu {7000/=}kwa kimoja na elfu...
Wana JF
Tunakodisha eneo la biashara lina ukubwa wa heka 2 na Zaidi. Eneo liko mita 500 kutoka barabara ya Bagamoyo. Linafikika kwa barabara ya uhakika. Eneo liko tupu lakini limepimwa na lina...
Ndugu zangu,
Naomba mwongozo nataka kuanzisha ufugaji wa kuku wa mayai na nyama.
Naomba kujua mahitaji muhimu na mambo ya kuzingatia katika ufugaji huo.
Asante sana
Naombeni mnishauri jinsi gani naweza kuitumia gari aina ya Land Rover One Ten kibiashara zaidi...Napatikana Dar.
Gari ni ya kizamani lakini engine ipo poa na body nzuri...Sasa naona kwa...
Wakuu,
Nina mpango wa kununua power tila mpya kabisa hivyo naomba msaada kwa wanaojua bei yake.
Nipo Dodoma, inahitajika haraka iwezekanavyo.
Natanguliza shukrani
UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
NI KUTOWEZA KUSHIRIKE TENDO LA NDOA IPASAVYO,NA UKIFIKIA HATUA HII NI LAZIMA UTADHARAULIKA NA KILA MWANAMKE NA HATA WW MWENYEWE UTAJIDHARAU MANA UTAJIONA SI LOLOTE MBELE...
Habari Zenu, Kwa Wenye Mahitaj Ya Vifuatavyo Wanione,
1, Project Write Up And Proposal
2, Busness Plan And Directory
3, Investment Plan
4, Project Proposal And Draft
5, Link With Foreign...
Kama kichwa kinavojieleza hapo juu.
Nimebahatika kudunduliza hela nimepata laki 5 naweza kufanya biashara gani kwa wilaya ya NAMTUMBO mjini pale.naomba mchango wa mawazo maana najua kwangu...
Kijana yoyote ambaye unaisoma makala hii ambaye unataka kujiaajiri kwanza lazima uyazingatie mambo haya , kwanza uelewe ujasiriamali ni kitu cha namna gani na unawezaje kufanikiwa kupitia...
ELIMU BIASHARA
JINSI YA KUUA BIASHARA YAKO
Inasemekana kwamba Biashara nane au tisa kati ya biashara mpya ambazo huwa zinaanzishwa huwa zinafeli, yaani zinakufa na zinashindwa kuendelea...
Habari wadau,automatic incubator zenye uwezo wa kuengua mayai 48 zinauzwa kwa punguzo la bei,kwa sasa bei ni Tshs 400,000/= na zina warranty ya mwaka mzima!kwa mwenye uhitaji anaweza kuni PM au...
Hello.
Mimi ni kijana nina miaka 25, nipo Zanzibar. Nina elimu ya Diploma ya juu (advanced diploma) katika fani ya Finance.
Kuna idea ambayo nahisi ina tija sana kwa maeneo ya dar es salaam na...
Habari msomaji wa uzi huu. Je, unahitaji kufanya biashara ya pamoja na unamtaji? karibu tufanye biashara kwa pamoja, haijalishi uko mkoa gani.
Unaweza kuniPM namba yako kwa ufafanuzi zaidi. Fursa...
Kuna utajiri mkubwa uliolala katika Kilimo. Baadhi ya watu wanakosa taarifa tu ili wawe na uwezo mkubwa wa ki-uchumi. Bofya UjasiriMali na iMADS
Ukithubutu, Utaweza.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.