Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k
Naomba ushauri, nina idea ya kuanzisha biashara ya hardware na niko Dar but I do not have any idea on the business startup capital, business formalization process and its costs na where I can get...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
nataka kujua kwa kina juu ya green house farming has a faida,changamoto,na mmahali gani panafaa kwa kilimo hiki
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau nahitaji Miche ya nyanya hybrid kwaajili ya greenhouse, mwenye nayo anipigie 0786431443
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari ndugu zangu? Kwanza mniwie radhi kwan kifaa changu kilizma chaji kabla sijapost. Nahitaji kupata maarifa juu ya kilimo cha tangawizi , je mbegu nzuri ni aina gan? Zinapatikana wap? Je...
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Habari za leo mabibi na mabwana, Nina mpango wa kununua line za tigopesa na mpesa kutoka kwa wakala ambae ameacha kufanya biashara hiyo ya uwakala na kuamua kuziuza line zake. Kama mnavyojua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa mwenye uhitaji wa kuku hawa ni chotara,mchanganyiko wao ni kuku wa mayai wekundu na kuku wakienyeji,kuna majogoo na majike,majogoo ni wekundu kama walivyo majike na wanauwezo wakupanda vizuri...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu wajasiriamali na wadau wengine salaam, Ningependa tuutumie uzi huu kupeana update za bei ya mazao mbalimbali kwenye masoko mbali mbali nchini.Update hizo za mara kwa mara zitawasaidiwa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari za majukumu, Ningependa kujuzwa juu ya soko la asali kwa Dar es salaam, asali ni ya nyuki wakubwa kutoka Singida na ni asali mbichi. Thanx in advance
0 Reactions
21 Replies
7K Views
..
0 Reactions
0 Replies
754 Views
Washiriki, Poleni na majukumu. Leo naomba msaada wa mawazo. Ni wapi Tanzania hii ambako kuna shirika linasaidia vijana wenye idea nzuri za biashara na kuwapa funds bila masharti kama ya bank...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nataka kuanzisha biashara ya chips ila bado sijajua mchanganuo wake yaan mtaji, muuzaj namlipa kiasi gani kwa siku, mimi naingiza kiasi gani kwa siku, pia vitu vikiisha kama viazi ni juu yangu au...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Wadau habari zenu, Nahitaji kufanya business ila sina wazo business gani nianze capital au mtaji ni one million naomba ushauri jamani ni biashara gani naweza kuaza kwa hiyo capital...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Balozi wa Luv touch Manjano Irene Pul Katika Picha ya Pamoja na washiriki wa Semina ya ujasiriamlai ya wanawake kwa kupitia Vipodozi vya Luv Touch manjano iliyochini ya Manjano foundation.Lengo la...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nahitaji kufanya biashara ya vitenge nichukue Congo niuze tz naomba MTU mwenye uzoefu anijuze naweza fanya biashara hiyo bila kusafiri kwenda Congo?
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Hello wanajamii.....mimi ni JAPHET CHARLES MUNNAH ni Laboratory Technician katika wilaya ya Missenyi mkoani Kagera. Natafuta mtu yeyote tubadilishane aje Missenyi; Kagera na mimi niende wilaya...
0 Reactions
0 Replies
973 Views
habarini wadau, Pengine katika kujiongezea upeo, kwa wale wenye exposure zaidi. Ningependa kujua fursa zipatikanapo kwa wajasiriamali wadogo kwa wakubwa, maana nchini kumekuwa na viwanda vingi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimedunduliza vipesa kidogo nimepata 3milions, nataka kufungua grocery, itafaa wapendwa? Je nikiongeza na chips na mishikaki hapohapo grocery itafaa au mshika mengi hukosa vyote? Nitaajiri...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
mwenye uzoefu na hii biashara Anipe Hints kidogo niweze kupata MWANGA!!!
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Nina mil 8 na laki 3 nipo Geita naomba ushauri nifanye biashara gani...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom