Biashara za aina hii zina changamoto zake;mara nyingi wakati wa kufunguliwa kwa biashara za namna hii
wateja hua wanamimi nika kama mvua lakini baada ya muda wateja huanza kupotea mmoja baada ya...
Msaada kuku wangu wanakufa! Sijui ni nini? Wakianza kutaga wanakufa either wakilalia au second time ya kutaga, sijajua ni nini? Ananyongea for one day, second day anakufa.
Msaada jamani.
Kutokana na jua kali kipindi cha kiangazi huwa mbogamboga hazistawi vizuri pia kipindi cha mvua mbogamboga hazistawi vizuri kutokana na mvua nyingi.
Je, kunauwezekano wa kuezeka shamba unalolima...
wadau habari zenu,
Naomba kufahamu taasisi,jumuiya au wataalamu fulani wanaotoa semina ya Ujasiriamali. Nina Mwaka mmoja sasa tokea nianze biashara yangu ya duka la rejareja hapa morogoro...
Habari wakuu,
Naomba fahamishwa mahali wanaponunua asali mbichi kwa bei ya jumla hapa Dar na ni bei gani kwa dumu la Lita 20.Natafuta soko hilo niweze kuuza dumu kama 20 hivi ambazo ninazo...
ELIMU BIASHARA
NI UWEZO WAKO
Kufanya maamuzi mara nyingi huwa inategemea na nini kipo kichwani kwako na nini unafahamu kuhusu hicho kitu cha kufanyia maamuzi. Uwezo wa kutambua jambo na uwezo wa...
Habari msomaji wa uzi huu.
Nimependa kuwashirisho hili kwa atakayehitaji aweze kufaidika.
Natarajia kufungua kampuni itakayohusika na mambo ya fedha na uwekezaji, hivyo kwa atakaye taka kuingia...
Habari...Natafuta shamba la kununua Arusha lenyewe ukubwa kuanzia nusu heka na kuendelea.
Napendelea sana maeneo ya Ngaramtoni hasa Redio habari maalum...
Kama unafahamu muuzaji ama dalali wa...
naomba msaada nahitaji hizi chemical zifuatazo
1. Campden Tablet
2 Tannin
3. na hiki kifaa " HYDROMETER "
Ntashukuru sana kwa msaada nitakaopata kwa mwenye kujua wapi naweza kuzipata
INSIGHTS INTO THE MINDSET OF SUPER TRADERS Part 13
"Losing money is the least of my troubles. A loss never bothers me after I take it. I forget it overnight." - Jesse Livermore
Name: Kenneth...
hbri, kuna chumba na sebule choo ndani 70,000kwa mwezi. makoka....ina silinbod, rangi, gari mpaka mlangoni... changamkia ofa..
kwa maelezo.zaid..
nichek kwa pm
Habari wadau,
Baada ya kujikusanya nimeona ni vyema nikawekeza hiki kidogo nilichonacho katika ufugaji wa kuku!
Kama kichwa kivyojieleza, nahitaji kuku wa kienyeji wa malawi kwa ajili ya...
Kama tunavojua kila mtu anacho kipato kwa kuptia njia yoyote ya kufanya kazi lakn kutokana na ugumu wa maisha tunajikuta watu hela hazitoshi
Na kila ukifkria biashara ya kufanya unakuta wenzako...
Afisa Mtendji Mkuu wa Shaer illusions mama Shekha Nasser Akiwaeleza jambo washiriki wa Semina ya Ujasiriamlai ( hawapo pichani) Namna ya Kujitangaza kwa Kutumia njia mbalimbali , kuwahudumia na...
Salama wakuu,
Ni kwa wale wakulima wa vitunguu, kama wewe ni mkulima wa kitunguu unayetarajia kuvuna au ushavuna vitunguu vyako na unatafuta soko tuwasiliane ndugu yangu.Unaweza kupata soko.
habari wana JF
poleni na mihangaiko ya kimaisha. Naomba yeyote mwenye uelewa wa hii Biashara ya Ngombe kununua mikoani mfano Dodoma na kisha kuuza Dsm au Morogoro naomba ushauri tafadhari.
Naitwa Esther nipo Morogoro. Nauza kuku wa kienyeji mwenye uhitaji naomba nipigie au kutuma sms kwenye namba 0763592111 au 0658308754 karibuni sana. Ukipiga au kutuma sms ndo utapata bei
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.