Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Naitwa Esther nipo Morogoro. Nauza kuku wa kienyeji ambao hawajachinjwa. Bei ni nafuuu. Kwa yeyote atakayetaka anijuze kwa namba 0763592111 au 0658308754. Unaweza piga au kutuma SMS na hapo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jumapili saa tisa alasiri tarehe 13. 09. 2015 club ya wazee ilala kutakuwa na mkutano wa wafugaji kuku mkoa wa DSM siku ya jumapili kujadili juu ya upandaji wa bei ya chakula cha kuku na madawa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa anefaham mashine nzuri za kupasua mbao, gharama yake pia kama nataka nifanye biashara hii utaratibu wake upoje nisaidieni tafadhali
0 Reactions
0 Replies
2K Views
are you in Tanzania and looking for assistance in fish farming? are you looking for fish seed or feed?? contact me 0717451771. for consultation and advice
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habar zenu, yeyote aliyeko/ anayeishi morogoro mwenye wazo zuri na bora la biashara lakin mtaji wake hautoshi kutekeleza wazo hilo na soko la biashara hiyo ni la uhakika,japo soko la biashara hiyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari ndugu.... Naitwa morris daudi mtanzania ninaeishi dsm....tuna kampuni yetu ambayo tunatoa mafunzo ya ujasiliamari.....tunafundsha jinsi ya kufanya biashara kisasa....tunafundsha online...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Natarajia kuanzisha biashara ya computer device, mwenye uzoefu anaweza kunipa ushauri. Natanguliza shukrani
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba kwa anayejua wanakopatikana hao bata bukini na bata weupe(pekini) anijulishe nahitaji kuwanunua kwa ajili ya kufuga kufuga. nipo dar. Asante
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Hello wana-JF, Tafadhari naomba msaada kwa mwenye IDEA ya kuweza Kuingiza kipato kwa kutumia Gari aina ya NOAH, naomba anisaidie ili niweze kutumia hii gari kama mtaji na hivyo kutengeneza fedha...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Wakuu, Nauza kuku wa kienyeji ambao wamekwisha chinjwa tayari kwa sh 10,000 mpaka 12,000. Nipo maeneo ya Mbezi Beach ila ikibidi naweza kukufikishia ulipo (utagharamia usafiri). Kama una...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nitakusaidia kusajiri jina la biashara tu kwa gharama ndogo, 1. tsh20 000=mahitaji ya brela 2.tsh5 000=gharama za ku-access mtandaon 3.tsh10 000=garama zangu za huduma. Pia ukipenda baada ya...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Habari zenu wanajukwaa. Naamini ni kwa rehema za Mungu kufika hapa hata pia kutupa akili na mtaji kidogo na kuwaza la kufanya. Nimenunua shamba Morogoro lisilopungua Hekari kumi ila naumiza kichwa...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Wakuu,mimi nakaa hapa Moshi karibu na soko la mitumba memorial,nilikua nataka kuwa nanunu mitumba hapa napeleka Bariadi na shinyanga ila sasa sina uzoefu na.biashara hii Sasa naomba ushauri...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Habari wakuu Mimi kijana mwenzenu katika harakati za maisha na kutafuta nilipata na kuumia sana hatimaye nikapata idea ya kibiashara cha mtaji mdogo,bimkubwa wangu alikua mtaalamu sana wa kupika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wadau, Nauza vifaranga chotara,umri wao ni miezi miwili,wana chanjo zote,wanapatikana mbezi luis,kimoja sh elfu 8.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
PUNGUZO KUBWA LA BEI YA MATREKTA YANAYOUZWA NA SUMA JKT - JANUARI 2012 Na TREKTA BEI YA ZAMANI Machi 2011 BEI MPYA Januari 2012 PUNGUZO % 1. Farmtrac 60(50 HP; 2wd)...
5 Reactions
22 Replies
23K Views
habari wanajf mimi ni kijana wa kike umri 23,elimu yangu kidato cha 4,,nimejitahid kufanya vibarua vya hapa na pale na kuweza kusave kiasi cha pesa cha tsh 200,000... kama swali...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
NATAFUTA SOKO LA ASALI ya nyuki wakubwa kwa wadogo JIJINI DAR ES SALAAM NA MJINI MOROGORO. Kwa yeyote anayefahamu wanunuzi wa asali ktk miji hiyo naomba wanisaidia kujua ni nani wanunuzi na...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Je huduma ya M.pesa, Tigo pesa Airtel money hulpa kweli nisaidien mawazo
0 Reactions
1 Replies
2K Views
habar zenu wakuu, naombeni msaada plz, nakusudia kuanzisha mradi wa stationery sehem flan iv. Je unadhan ni mtaji kama wa kiasi gani unaweza kutosha kuanzisha biashara hiyo na angalau kuweza...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Back
Top Bottom