Ndugu zangu,
Mimi nikijana nina kiasi hicho cha pesa nataka anzisha biashara lakini nashindwa jua ipi itanifaa kulingana na mtaji huo lakini pesa ya kula na kulala ninayo mtaji tu ndio mil 2.
Wakuu, nipo kwenye mchakato wa kuchimba kisima cha maji ambapo sehemu husika hakuna umeme. Nataka mara uchimbaji utakapokamilika ninunue pampu itakayonisaidia kuvuta maji kutoka kisimani na...
Wakuu mwaka huu 2015 umekuwa tofauti sana na mwaka jana wa 2014. Soko la kitunguu limekuwa gumzo mwaka huu, mkulima kauza gunia moja la kg 100 mpaka Tsh. 250,000 shambani wakati mwaka wa jana...
Tembelea hapa ufugaji.co.tz
TOVUTI YA UFUGAJI ni tovuti iliyobadilishwa kutoka blogu ya SEKTA YA MIFUGO TANZANIA iliyoanzishwa mnamo mwaka 2012 kwa lengo la kumuelimisha mfugaji au mtu anayetaka...
Sio kila biashara unayofanya itafikia mafanikio makubwa unayotarajia. Biashara inaweza kusua sua na kukusumbua sana. Na wakati mwingine biashara inaweza kwenda kwa hasara na mwishowe kufa...
Habari ndugu zangu, leo naomba nami niongee neno katika uwanja huu wa kijasiriamali, Mimi ni mhitimu wa Degree ya Uhasibu miaka 3 iliyopita, tangu kipindi hicho chote sijapata ajira ya kudumu na...
habari wakuu nataman sana kuuza magazeti ila nimekosa mtu wa kunielewesha jinsi ile biashara inavyofanyika. eneo la kuuzia ninalo tayari naomba anaeijua vizuri hiyo biashara anielimishe
Kwa wale wanao ishi maeneo ya Mbeya mjini wapi nitaweza kupata duka la kuuza mbolea aina ya Urea jumla na rejareja (mbolea ya chumvi)?
Msaada wenu unahitajika!
Wadau kwasasa nimefika hatua nzuri ila naitaji sasa mkopo nifungue biashara.Nimejitahidi kujenga ukumbi mkubwa ,pub,vyumba vya flame vinne na chumba mbili za kulala. Uwekezaji huu hupo karibu na...
Ndugu wadau;
Ninaomba kwa mtu yeyote anayejua juu ya biashara tajwa, ninatarajia kuanzisha biashara hii kuleta songea; naomba kujua kuhusu upatikanaji wa bidhaa,bei na mengineyo yatakayo faa...
Habari wandugu natumaini mko poa,nilikuwa nataka kufungua kampuni langu,nilikuwa nahitaji mtu ambaye anaweza akanisaidia kufungua,ningependa anitajie gharama zote zinazoitajika ili kukamilisha...
kwa wale wanaohitaji huduma za kutengenezewa #music video #films , #documentary#TV program
#logo&posters#studio photos
Tunakukaribisha
AFRICAN HITS STUDIO.
Tupo tegeta.
phone: 0712973820 /...
Wakuu karibuni tunasambaza samaki na dagaa waliokaanga na kupakiwa vizuri kwa mikoa ya Dar na Arusha kwa order utakayotupatia.
Dagaa na samaki wote wanatoka ziwa Victoria na pia kwenye...