Naitwa Esther nipo Morogoro. Nauza kuku wa kienyeji ambao hawajachinjwa. Bei ni nafuuu.
Kwa yeyote atakayetaka anijuze kwa namba 0763592111 au 0658308754. Unaweza piga au kutuma SMS na hapo...
Jumapili saa tisa alasiri tarehe 13. 09. 2015 club ya wazee ilala kutakuwa na mkutano wa wafugaji kuku mkoa wa DSM siku ya jumapili kujadili juu ya upandaji wa bei ya chakula cha kuku na madawa...
are you in Tanzania and looking for assistance in fish farming? are you looking for fish seed or feed?? contact me 0717451771. for consultation and advice
Habar zenu, yeyote aliyeko/ anayeishi morogoro mwenye wazo zuri na bora la biashara lakin mtaji wake hautoshi kutekeleza wazo hilo na soko la biashara hiyo ni la uhakika,japo soko la biashara hiyo...
Habari ndugu....
Naitwa morris daudi mtanzania ninaeishi dsm....tuna kampuni yetu ambayo tunatoa mafunzo ya ujasiliamari.....tunafundsha jinsi ya kufanya biashara kisasa....tunafundsha online...
Hello wana-JF, Tafadhari naomba msaada kwa mwenye IDEA ya kuweza Kuingiza kipato kwa kutumia Gari aina ya NOAH, naomba anisaidie ili niweze kutumia hii gari kama mtaji na hivyo kutengeneza fedha...
Wakuu,
Nauza kuku wa kienyeji ambao wamekwisha chinjwa tayari kwa sh 10,000 mpaka 12,000. Nipo maeneo ya Mbezi Beach ila ikibidi naweza kukufikishia ulipo (utagharamia usafiri). Kama una...
Nitakusaidia kusajiri jina la biashara tu kwa gharama ndogo,
1. tsh20 000=mahitaji ya brela
2.tsh5 000=gharama za ku-access mtandaon
3.tsh10 000=garama zangu za huduma.
Pia ukipenda baada ya...
Habari zenu wanajukwaa. Naamini ni kwa rehema za Mungu kufika hapa hata pia kutupa akili na mtaji kidogo na kuwaza la kufanya. Nimenunua shamba Morogoro lisilopungua Hekari kumi ila naumiza kichwa...
Wakuu,mimi nakaa hapa Moshi karibu na soko la mitumba memorial,nilikua nataka kuwa nanunu mitumba hapa napeleka Bariadi na shinyanga ila sasa sina uzoefu na.biashara hii
Sasa naomba ushauri...
Habari wakuu
Mimi kijana mwenzenu katika harakati za maisha na kutafuta nilipata na kuumia sana hatimaye nikapata idea ya kibiashara cha mtaji mdogo,bimkubwa wangu alikua mtaalamu sana wa kupika...
PUNGUZO KUBWA LA BEI YA MATREKTA YANAYOUZWA NA SUMA JKT - JANUARI 2012
Na
TREKTA
BEI YA ZAMANI Machi 2011
BEI MPYA
Januari 2012
PUNGUZO
%
1.
Farmtrac 60(50 HP; 2wd)...
habari wanajf
mimi ni kijana wa kike umri 23,elimu yangu kidato cha 4,,nimejitahid kufanya vibarua vya hapa na pale na kuweza kusave kiasi cha pesa cha tsh 200,000...
kama swali...
NATAFUTA SOKO LA ASALI ya nyuki wakubwa kwa wadogo JIJINI DAR ES SALAAM NA MJINI MOROGORO. Kwa yeyote anayefahamu wanunuzi wa asali ktk miji hiyo naomba wanisaidia kujua ni nani wanunuzi na...
habar zenu wakuu, naombeni msaada plz, nakusudia kuanzisha mradi wa stationery sehem flan iv. Je unadhan ni mtaji kama wa kiasi gani unaweza kutosha kuanzisha biashara hiyo na angalau kuweza...