Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Habari zenu wana JF napenda kupata maelezo kuhusu faida na hasara kwa mkulima ambae atatumia mbolea ya maji aina ya SuperGro shambani kwake. Nimejaribu kuomba details za hiyo mbolea kwa wauzaji...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Wadau naomba kwa yeyote anayejua mwenendo wa soko la ndizi ngumu/mzuzu mkoani mtwara kama vile bei kwa mkungu na mahitaji yake kwa ujumla hata changamoto pia.Plani ni kutoa ndizi mbinga kwenda...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habarini wakuu.Mimi ni mfanyakazi ila napenda sana kujituma mwenyewe.katika maandalizi ya kujituma nimeanza na ufugaji wa kuku wa kienyeji.kwa kuanza nimeanza na vifaranga ishirini sasa vina miezi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wakuu nataka kufungua stationery maeneo ya mabibo hostel,kwa wajuzi zaidi wa biashara ya aina hii je maeneo hayo yanaweza kulipa kweli?,tayari nini photocopy machine CANON IR 3300 yenye uwezo wa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Mwenye nazo ataje bei kwa kilo na kiwango alichonacho.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana JF Naomba anaejua gharama za kutoa container la 20ft hapo Bongo anipe process yote pamoja na charge zingine km zipo. Container ni la nguo za mitumba.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Natanguliza heshima tele kwa wadau wote wa JF. Jamani naomba mwenye majina ya Wataalam wa Mazingira kwa mwaka 2015 ayaweke wazi kwa manufaa ya umma. Website (Tovuti) ya NEMC bado inaonesha majina...
0 Reactions
0 Replies
918 Views
Uvunaji wa asali kwenye misitu ya Urambo na Manyoni unaendelea vyema, kama unahitaji asali safi tuwasiliane . Ni asali nzuri inayoandaliwa katika mazingira ya usafi.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Tar 16/8 vimetmiza wiki 3 na vimepata chanjo zote za awali muhimu ikiwemo malek. Niko Dar Mbagala Piga 0767802075. Bei 3000 tu.
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Habari ndugu wajasiriamali kupitia ufugaji wa kuku. Nipo hapa kutaka kupata ufahamu zaidi juu ya kuku wa mayai kwa hoja zifuatazo:- 1.Nifuge kuku wapi kati ya kuku wa weusi wa Malawi au kuku...
0 Reactions
10 Replies
9K Views
Habari zenu wakuu, Mimi nipo Ushirombo Mkoani Geita , shida yangu ni vifaranga vya kuku wa mayai kwa ajili ya biashara na kwa matumizi ya nyumbani je ninaweza kuvipata na bei yake ikoje?
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Habari wana JF. Ndoto zangu ni kumiliki Garage. Ningependa kujua yafuatayo 1.Gharama za kuanzisha Garage. 2.Sehemu nzuri kwa shughuli hii inapaswa iweje??? 3.Usimamizi wa Garage upo vipi? maana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Pata mayai na nyama ya kware kwa bei nzuri sana Mwanza. Kwa mhitaji wa bidhaa hizi tuwalisiane. Simu: 0767 654181.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wadau wa kilimo hebu tuseme tunataka nini itufanyie serikali ya awamu ya tano. ni matatizo gani itutatulie na mambo gani ituboreshee? Mimi binafsi nahitaji kilio changu cha kila siku hapa chini...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari wanajf, Green world International Limited Company inapenda kuwatangazia watu wote wanapenda kufanya ujasiliamali kwa kianzio cha 30000/= kama mtaji wako wa biashara na kuwa millionea wa...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Nauza mbwa wadogo aina ya germany shepherd.....kwa yeyote atakae hitaji anipigie kwenye number yangu 0753505783
0 Reactions
42 Replies
6K Views
Green World Limited Company, inapenda kuwatangazia watu wote kuwa tarehe 29/08/2015 Itaandaa seminar kubwa sana ya ujasiliamali BURE bila kiingilio chochote kile, na seminar hii itafanyika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari nauza mafuta halisi ya alizeti kwa kwa bei ya jumla kwa wale wa mbali utaletewa mzigo mpaka mlangoni kama ni mkubwa mawasiliano:0782433682
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari ya muda wana JF Napenda kuomba ushauri wenu juu ya hili swala hapa Nataka kulima maeneo ya dar es salaam Na kiasi Hapo juuu msaada ndugu zangu Asanteni
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamani ningependa kujua bei ya bero la mashati ya kichina kama linàvyojulikana kwa wafanya biashara ya mitumba kwa Dar, maana huku Songea niliko ni TZS 800,000/=.. Au kama kuna mtu analijua basi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…