Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Hivi ajira mpya za TRA mwaka huu zitatoka kweli …!! maana mpaka sasa kuna baadhi ya waliopata fursa za kuajiriwa na TRA mwaka wa Jana (2023) bado hawajui ni ofisi ya wapi atapangiwa. Wenye siri...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wapambanaji Leo niko mbele yenu kutaka ushauri wa kimawazo kutoka kwenu ndugu zangu. Niko kwenye mpango wa kuingia kwenye kilimo kwa kumanisha hasa. Nina bajeti ya kiasi cha Tsh. 5M...
5 Reactions
51 Replies
2K Views
Habari wakuu, mimi naishi mkoani (kanda ya ziwa). Wiki ijayo ninakwenda Dar kwa ajili ya shughuli zangu binafsi. Katika huo muda nitakaokuwepo, nitakuwa na muda wa free hivyo natamani kupata...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Naibu Waziri wa Kilimo, David Silinde (Mb), amevitaka Vyama vya Ushirika vijijini kuendeleea kuomba uwakala wa kusambaza mbolea katika maeneo ili kuweza kuwafikia wakulima kwa wakati. Amesema...
0 Reactions
0 Replies
164 Views
Wadau, kuna mfugaji wa kuku hapa Dar ananiambia kila mzunguko wa kuku 1000, anapata faida ya Tsh Laki 7. Hapo soko likiwa zuri sana. Jamani hicho kipato ukiangalia mtaji wa Banda nk. Je kuna njia...
7 Reactions
49 Replies
11K Views
Tanzania tuitakayo itajengwa na mimi,wewe na yule. Habari wanajukwaa, napenda kuchukua nafasi hii adhimu kuwasilisha wazo langu kama raia mwema na mwenye mapenzi kwa taifa langu huku nikiwa na...
0 Reactions
0 Replies
150 Views
Kuwa Tajiri kwa Mtaji wa Laki 3 tu, Kupitia Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji LEO TUANGALIE MCHANGANUO WA TSHS 300,000/= (LAKI TATU) KWA KUANZISHA MRADI WA UFUGAJI KUKU WA KIENYEJI. Hapa tuta hitaji...
79 Reactions
279 Replies
187K Views
Serikali ya Zambia inasema imefikia makubaliano na Tanzania Ili kuweza kuuziwa mahindi metric Tani 650,000 kukabiliana na upungufu wa mahindi kulikosababishwa na Ukame. --- Zambia plans to import...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Hi Naomba serikali kuvunja mfumo wa kuuza mazao katika vyama vya msingi kwani vimekua vikitunyima uhuru katika mazao yetu. Baadhi ya Vyama hivyo vimekua vikichelewesha Malipo kwa wakulima...
0 Reactions
1 Replies
236 Views
Utangulizi Kilimo hai, kinachojulikana pia kama kilimo cha kiasili, ni mbinu ya kilimo inayolenga kuzalisha mazao kwa njia inayozingatia mazingira na afya ya binadamu. Kilibongo Organic Farm ni...
1 Reactions
1 Replies
673 Views
Kwa anae Lima viazi vitamu naombeni elimu. Mbegu Bora ya kiazi kitamu ni ipi? Inatunzwaje kuanzia kupanda kuweka mbolea mpka kuvuna kwake. Je viazi vitamu uvunaji wake ukoje ili kitoke kiazi...
1 Reactions
0 Replies
282 Views
Kwa wale wenye hamu ya ufugaji Bata wa kienyeji au wakuitwa Bata wachafu vitu muhimu vya kuzingatia ili uweze kuwa mfugaji mkubwa na mwenye uwezo wa kuvuna pesa nyingi. Vifuatavyo vitu muhimu Kwa...
7 Reactions
14 Replies
2K Views
Nahitaji mbegu za mahindi ya kupasua bisi (Pop corn) kwa.ajili ya msimu ujao. Nifahamishe bei kwa kilo.
0 Reactions
0 Replies
780 Views
WAZIRI MHAGAMA - SERIKALI KUFUNGUA SHAMBA LA MIWA, MUHUKURU Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika na Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama (MB) wa Peramiho amesema Serikali...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Vifuatavyo ni vitu vya kuzingatia Kwa mtu yeyote anae taka kulima kilimo biashara. 1. Una ardhi yenye ukubwa na yenye rutuba nzuri 2. Upo tayari kufanya kilimo kutoka moyoni mwako yani uvunguni...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Kilimo ni uti wa mgongo wa nchi yetu ya Tanzania. Kilimo kinahakikisha upatikanaji wa chakula nchini na pia tunaweza kukuza uchumi wa taifa kupitia kilimo. Zifuatazo ni njia za kukuza uchumi wa...
0 Reactions
1 Replies
359 Views
Ni tatizo gani na matibau yake ni yapi. Tafadhali mwenye fununu
6 Reactions
35 Replies
718 Views
Wanajamii habari zenu wote. Polen wadau kwa Mihangaiko za hapa na pale, Ndugu zangu najua huku kuna wakulima wazuri japo wapo pia paper farmers lakini najua mkulima wakweli akitoa ushauri huwa...
1 Reactions
43 Replies
16K Views
SAMAHANI NAOMBA KUJUA BBT(building better tomorrow tanzania) ina ukweli wa kumkwamua mwana nchi wa haliyachini ? Na je inamasharti gani na vigezogani ili kusajiliwa,kupatamafunzo ya vitendo&kupata...
1 Reactions
3 Replies
448 Views
Habari wadau, Natarajia kulima mahindi katavi mpanda kama ekari 300 kwa wazoefu naweza pata boom sprayer inayoendeshwa na trekta kwa kukodi. Na gharama zake zipoje
0 Reactions
0 Replies
167 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…