Natafuta mashine ya kuangulia mayai. Mwenye info mahali zinapopatikana na bei zake kulingana na capacity. Kama hutajali na mashine ya kuchanganya chakula.
Habari ya kwenu wanajukwaa. Naomba uzoefu kwa aliyewahi au anayefanya biashara ya mchele wa jumla kutoka mbeya na shinyanga au Morogoro kupeleka mikoani hasa kilimanjaro.
Nahitaji kufahamu...
Baada ya kupitia post mbalimbali juu ya kilimo biashara nimeona leo niwape ushauri baadhi yenu,nimeona wengi wenu mnahamasika sana na hizi post au mmefanya maamuzi kutokana na hizo post. Sio jambo...
Habari wanaJF. Bado natafuta mtu anayeuza samaki(Sato & Sangara) kwa bei ya jumla Dar es Salaam. Nataka fungua bucha ya samaki. Plz kama uko Dar tuwasiliane kwa namba hii 0769141105. Asante
Achana na manual work leo, Anza kutumia mfumo mpya na wa kisasa kabisa katika kurekodi na kupata ripoti pale unapohitaji....
Cashier Management System for school ndio jibu lako, acahana na...
Baada ya Kuona sehemu ya kwanza kitu gani kinasababisha kushindwa katika biashara ya network marketing, Leo tunaongelea sehemu ya pili kitu gani kinakuweza kukurudisha nyuma ushindwe kufanikiwa...
Wakuu hili jukwaa limekua jukwaa la kusaidiana mambo mengi sana. Msimu huu wa kilimo nimeandaa shamba kubwa la ufuta.shida yangu kubwa natafuta mwakala wanaosambaza hii dawa inaitwa (ROUNDUP)...
Kuna simu nimeagza, imekuwa shipped na DHL, wamenipigia kuwa wamelipia kodi kwa hiyo wanavyokuja kuniletea niandae pesa ya kuwarefund (laki na ishirini), declared value ya hiyo parcel ni kama...
Wakuu,mm ni mjasiriamali niko kwenye kilimo,ila nahitaji kusajili shamba langu kama company limited,nafata taratibu zipi?na pia naomba ushauri wenu juu ya hili ,maana nimeambiwa unapokua na...
Wadau,
Naomba msaada nimeamua kufanya kilimo cha biashara kwaajili ya kujiongezea kipato baada ya kuona upenyo wa maisha ni mgumu sana.
Naomba mawazo yenu na kama unaweza kuni pm
Nahitaji wakala wa kuuza vitabu mkoa wa Mwanza na Arusha.Kwa sasa nina vitabu aina mbili ambavyo ni Mwandae mtoto kufikia malengo yake na Tanzania mikononi mwa Mungu.Karibuni
Wapendwa poleni na majukumu.
Hivi kweli focus vikoba inatoa mkopo online? Au ni njia ya kuwatapeli watanzania?
Nimepigiwa simu zaidi ya mara moja wakinisisitiza kuweka akiba yangu ya sh 1mil...
Habari za mida hii wanajukwaa. Mimi ni mjasilia Mali nimenunua incubator ni natotoresha mayai ya kware, kuku wa kienyeji na Malawi. Sasa kwa Kipindi tangu nianze hii kazi wateja wanaohitaji...
habari wapndwa, me nataka kuwa mjasiriamali, kijana mwenye ndoto za kua tajir mkubwa baadae kwa kupitia biashara, lakin sijajua kua nifanyeje niweze kutoka kwan kwa mtaji nilio kua nao xjajua...
Habari za leo ndugu zangu,
Poleni kwa Majukumu na kazi nzima ya kujenga taifa.Ombi langu kwenu ni Mawasiliano ya Institutions za kilimo ambazo zinahusika na research pamoja na breed...
Tuna machine za kisasa kwa ajili ya kutotoa vifaranga vya kuku,kware na bata aina zote.
Tupo Dar es Salaam, Tabata segerea.
Mawasiliano ni
0763976292.
Bie ya trei ni nafuu sana.
Wai mapema
Kama wewe ni mjasiriamali unataka kuanza biashara hii inaweza ikakufaa,
Karibu...
Biashara ya kuku wa kienyeji.
Hii ni biashara inayolipa sana kama utafanya kwa juhudi haihitaji mtaji mkubwa. Na...