Salaam nyote.
Kwa wenye kuhitaji kuku wa nyama wanapatikana na wako na kilo nzuri kabisa na ni wazito pia wana umri wa wiki 5.
Idadi kwa anayetaka kwa sasa wapo kuku mia nane (800) na pia...
Pata kuku wa kienyeje wakubwa na wenye Afya na uzito wa kutosha kwa thamani ya shilingi 16,000/= na 17,000/=. Ninapatikana Arusha maeneo ya Usa-River. Wanaohitaji kwa order pia watapata huduma...
Naomba mtu wakahama anijuze yafuatayo,
1)bei za mashamba yasiyo mbali na mjini kama km 4-10 toka mjini
2)upatikanaji wa maji katika maeneo hayo,
3)nimaeneo yanayo faa kwa kilimo cha bustani...
Habari ndugu wana jamvi,
Nina jambo hapa ambalo nataka tupeane uzoefu kidogo.Nashindwa kuelewa utaalamu ambao mtu kaupata kwa gharama na muda mwingi aumnufaishi ipasavyo. Pamoja kwamba bwana au...
Habari zenu! mimi nipo dar es salaam nafanya shughuli ya ku-supply samaki sato wa Mwanza kilo sh 7,500/= nina supply kuanzia kilo 100 na kuendelea sio chini ya hapo.
Kwa maziwa fresh ya ng'ombe...
Tanzania imejaliwa vyanzo mbalimbali vya rasilimali moja wapo ni mito.maziwa na bahari. lakini kwa sasa changamoto mbalimbali ikiwemo uvuvi haramu,mabadiliko ya tabififa ya nchi na ongezeko la...
Shamba la Mananasi linauzwa lipo Kiwangwa -Bagamoyo umbali wa Km 3 tu kutoka barabara kuu ya lami iendayo Msata. Lina ukubwa wa Ekari 40, pia lina minazi. Lina vibanda 5 vya kudumu vya...
Wakuu za saa hizi,
Nna wazo la kufanya packaging nzuri ya hizi bidhaa ndogo kama karanga, korosho, naomba kwa yoyote anayefahamu packaging nzuri au tuseme sehemu wanatengeneza mifuko mizuri...
Wana JF
Ningependa kufahamu upatikanaji wa Zana mbalimbali za kilimo na usindikaji wa mazoa; matumizi, bei yake, picha (kama inapatikana) na mahali inapopatikana (zile ambazo zinapatikana hapa...
wadau, nimevutiwa sn na kilimo cha vitunguu maji pale kiroka morogoro, je kwa wale wazoefu wa mazingira ya kiroka, vp maeneo yenye mito yapo? na mito hiyo ni ya msimu au Mwaka mzima?
pia kiroka...
Habari wadau
Naomba nisaidiwe nahitaji kuanzisha mradi wa kufuga ng'ombe wa maziwa wa kisasa
nahitaji kujua wapi wanapatikana, bei yake na aina gani ingawa mimi sijui aina zake
natanguliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.