Habari Wadau, naombeni msaada kwa hapa mwanza ninaweza tumia vipi huu mtaj mdogo niliokua nao,angalau nikabiliane na ugumu wa maisha, kwa kuzingatia bado ninasoma sheria hapa SAUT, naombeni mawazo...
Habari wana Jf,
Nimekua msomaji wa makala mbalimbali humu ila nimekua mchangiaji tu! Leo nakuja kwenu na uzi huu kwa mara ya kwanza naomba mnisaidie jinsi ya kulima ufuta, gharama, faida, hasara...
Nina zana za kilimo ila sina eneo la kulima kwa yeyote mwenye eneo tutafutane mm nitatoa trekta kwa ajili ya kulima tuchangie au anikodishie.. eneo liwe Arusha wilaya yeyote, manyara, na dodoma...
I have this great idea abt business and i believe in it 200% but the issue is it need a large capital like 100mills TSH.. therefore if kuna m2 anaweza kunipa ushauri vile naweza kupata mkopo wa...
Zamani kama miaka 20 iliyoipita dagaa wa aina zote
ikiwemo dagaa wa kigoma walikuwa ni chakula cha walalahoi
watu masikini kabisa,na bei yake ilikuwa chini mno
ilikuwa dagaa wanauzwa hawafiki...
Nauza kuku chotara wako 130.
Wana umri wa miezi mnne, wanaelekea muda wa kuanza kutaga.
Kuku wako mwanza na ninawauza haraka kwa sababu nahitaji kuhama
Wanafaa kwa kufuga au kula, bei sh 15,000...
Habarini wanajamii forum,
Mimi ni kijana ninayetaka kujiajiri kwenye Kilimo na ufugaji. Ninaomba mnipe taarifa za mahali ninakoweza kupata shamba, na bei zake kwa heka.Ila kuwe na uhakika wa maji...
Habari wana JF,
Ni imani yangu kuwa hapa tunakutana watu wa aina mbalimbali na wenye elimu na utaalamu mbalimbali. Nina mpango wa kufungua huduma za kutoa mikopo kuanzia mikopo midogo, ya kati na...
Watu wengi hujikuta wakiwa wanahangaika wataanzaje biashara bila kuwa na kiasi kikubwa cha pesa. Wakati huohuo, wengine wana pesa lakini hawana ujuzi wa msingi wa kuweza kupata zaidi ya kiasi...
wasalaaaam!!
Mimi ni kijana wa miaka 24, muhitimu wa Shahada ya Elimu, na nimekulia katika mazingira ya ufugaji wa KUKU kwa kiwango cha kati!
Nilitaka ushauri toka kwenu kuhusu kuanzisha...
Wanajamii nielekezeni jinsi nitakapopata mafunzo yauzalishaji wa sausages, upatikanaji wa vitendea kazi vya pia kama unaushauri wowote kuhusu uzalishaji wa sausages kwa small scale.
Mm n kijana wa miaka 23,nasoma chuo kikuu.nina laki 4.nataka nianzishe mtaji au kitu kitakachoniingizia pesa huku nkiwa nasoma(yaani biashara ambayo haitahitaji mda wangy mwingi ili...
Baada ya Kutofanikiwa kwa mara ya kwanza Katika Network Marketing( Biashara ya Mtandao ) Nilikaa na kujifunza na kusoma kutoka kwa waliofanikiwa ni jinsi gani naweza kuwa na kipato cha ziada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.