Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Ni miaka miwili sasa, najitahidi angalau nione manufaa, hatimaye ijiendeshe na kuinua maisha yangu na jamii yangu. Lakini sasa naona inanishinda hata kuaibika kwani Biashara haiendelei na nazidi...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Nataka nipate kware wa porini kuna sehemu nimepita nimekuta pori ambalo lina kware. Naomba mwenye ujuzi katika kuwatega na kuwakamata hawa kware anijuze.
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Natafuta wanunuzi wa machungwa! Nina gunia kama 20 zipo shambani. Hazijavunwa zikivunwa ni gunia 20! Yoyote mwenye inputs. Tuwasiliane
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salam ndugu zangu kwa mwenye kufahamu anaisadie ni vifaa vip ambavyo vinahitajika katika radio station.. Ili iweze kurusha matangazo yake hewani.. Msaada jaman kwa mwenye kujua.. Asanteni
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna mahali haya matunda yanalimwa? au miche inapatiakana? kwa anaye weza kujua basi anifahamishe mara moja, sana sana miche yake.
0 Reactions
35 Replies
12K Views
Jamani Mimi Nimehitimu Chuo Cha Kilimo, Lakini Kutokana Na Ukosefu Wa Ajira Nataka Kutumia Ujuzi Nilio Nao Wa Kutengeneza Incubator Ktk Kujimudu Kimaisha, Lakini Tatizo Sina Mtaji Hata Wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanajamvi wenzangu ningependa kufahamu dawa za kuku wa kienyeji za miti shamba zinazokinga na kutibu magonjwa yafuatayo na namna ya kuziandaa. 1. Mdondo 2. Kuharisha(kinyesi cha kijani) 3...
0 Reactions
3 Replies
31K Views
Kuna kipindi hili jukwaa lilikua limejaa habari ya Kware na mayai ya kware.Watu walikua wako moto kuingia kwenye hii biashara wakiamini ni fursa yakuwatoa kwenye umasikini. Binafsi tokea hii kitu...
4 Reactions
21 Replies
5K Views
wanajamii habari zenu, Ninafuga kuku, tatizo limejitokeza tangu Jumamosi, kuna kuku 1 anachechemea, nimejaribu kumchunguza labda anakidonda au kapigwa but hakuna, kuku ana umri wa miezi 6 wenzake...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wasalam wanajamii .ninaufuta tani50 .natafuta soko. Namba yangu 0712155462,asanten sana
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kwa yeyote mwenye ujuzi wa bei ya mashine. Naomba anijuze Tafadhali
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu hbr za kazi??,Anayejua lilipo soko la Nyanya kwa bei nzuri,ani-pm.Mimi ndio ninaziuza.
0 Reactions
12 Replies
4K Views
inahusu elimu ya kompyuta...nimefikiria kwamba kila mtu kwa sasa anahitaji kujua matumizi ya kompyuta kulingana na uitaji wa dunia ya leo, but kwa sababu fulani fulani sio wote ambao wanaweza...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nina asali mbichi kutoka kutoka mpanda na nyingine ya hapa Tabora natafuta nina dumu za Lita 20 kama 50+ Mwenye kujua soko aniambie
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za Leo wadau, Naomba kujua kama kuna mabadiliko ya price kwenye vyakula vya kuku " MASH" katika mabadiliko yanayoletwa na budget mpya inayoanza Leo.Naongea haya kutokana na omission ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nipo Dar, nahitaji mbegu kwa ajili ya kufuga samaki, natafuta mbegu ya samaki na kambale, nitawapata wapi na ni bei gani?? Nisaidieni wadau
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Habari za majukumu, niko na hiyo pesa ningependa mawazo yenu ya biashara ipi hususa ya uchuuzi- yaani kutoa bidhaa point A kwenda kuuza point B kwa faida Siko interested sana na Kilimo wala...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Nimebakhtisha compressor,machine za kuchomelea (Gas/Umeme) na za rangi. Pia spanner za ku unga unga nimeokoteza.Pia kuna mbao za kutengeneza bench. Kijiwe tufungue pande zipi? Karibuni wadahu.
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Wadau nataka kuanzisha biashara ya mkaa hapa dar, jumla na rejareja. naombwa kujuzwa sehemu naweza upata kwa jumla kwa bei nafuu hapa dar au msaada wa mawazo kwa aliyejaribu . au eneo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom