SHADENET GREENHOUSE: NJIA SAHIHI KATIKA MAFANIKIO YA KILIMO CHA MBOGAMBOGA NA MATUNDA
Ni shamba lililozungushiwa uzio wa net juu na pembeni.
Ni jengo maalum ambalo ndani yake ni mahususi kwa...
Habari wana jf
Mimi no mjasiriamali ninaemiliki ka daladala kamoja hapa jijini. Katika harakati zangu za kuongeza mtaji nilipata kipeperushi cha hiyo kampuni tajwa hapo juu kwamba wanatoa mikopo...
Habari za Leo wadau na wajasiriamali wenzangu,
Nauza mayai ya kisasa,tray TZS 6500.Kwa yeyote anayetaka tunaweza kuongea na kukubaliana bei nzuri zaidi,Nina uwezo wa kukupa au kukuletea ulipo...
Ndugu wanajamvi,
Natumaini wazima wa afya nategemea kulima mboga mboga Bagamoyo na kusambaza mjini Dar mwenye uzoefu wa kilimo hiki na changamoto.
Naomba msaada aiseeh!
Wadau katika pita pita zangu nimekuwa nikisikia juu ya ongezeko la kodi kwenye maeneo mbalimbali ya uchumi.
Aidha watu wengi wamekuwa wakilalamika juu ya ongezeko la kodi kwenye vinywaji vya...
Habari wadau wa jf. Kumekua na shida ya watu kadhaa kuhitaji kufanya ufugaji wa samaki ila wanakosa mtaalamu wa kusimamia mradi mwenye uelewa wa ufugaji huo.hivyo kwa yoyote mwenye uhitaji wa...
Habari wanajf,nimekuwa na ndoto kubwa juu ya kilimo hasa cha umwagiliaji,na nimekuwa nikiamini kuwa kilimo ni moja kati ya miradi ambayo itaniwezesha kuzifikia ndoto zangu. Mazao ambayo nahitaji...
Habari zenu wandugu
Baada ya kuwa nimepitia thread mbalimbali hapa jukwaani hasahasa zinazohusiana na masuala ya ujasiriamali, zaidi nilijikita sana katika zile zinazohusiana na biashara ya vifaa...
Hii ilikuwa ndoto na hitaji la walio wengi - Kupata sehemu ya kufundishwa ujasiriamali, biashara na fani mbalimbali kwa muda mfupi na muda mrefu kwa gharama nafuu na muda ambao mtu yeyote anaweza...
Halow wana jf
Naamini humu kuna mabinti kama mimi yani 22-25.....nina wazo la biashara ila wasiwe waajiriwa nataka tuwe group la watu watano
Sifa
1.Usiwe mvivu
2.Usiwe muoga (yani tukipanga deal...
Habari wana jamvi,
Kama nilivyo tanguliza maombi hapo juu kuhusu kufungua kampuni ya mechanical maintenance & services.
Binafsi ni mechanical engineer na ninauzoefu wa kazi viwandani, kitambo...
Habari Wanaohusika!!
Nilikua naongea na business partner wangu kuhusu kuwa official kibiashara nikamwambia tusajili kampuni,yeye akasema kwa nn tusisajili jina la biashara??
Sasa nashindwa...
Mimi ni muhitimu wa chuo kikuu ngazi ya degree, nina uzoefu wa uhasibu wa miaka miwili katika kampuni binafsi hapa Geita. Nina lengo la kuanza biashara ya kuwasaidia wafanya biashara wadogo wadogo...
RuVu wameshindwaaaa kazi cjui nimeoda vifaranga ila hata awarespond chochote nimewafata waanaandila oda.wanakwambia nenda tutakujulisha ukiwapigia wanakuwa kama awaijui oda yako.....
Chosha...
mimi nimebahatika kupata Tsh millioni 5 na nimeplan kufanya biashara ya uwakala wa kutuma na kupokea pesa kwa njia ya mitandao ya simu tigo pesa,m.pesa, na airtel money,je ni changamoto zipi...
Salamu waungwana,
Kuna mdogo wangu kapata kazi kwenye NGO moja, kwa nature ya kazi zake muda mwingi hua yuko free just sitting in the office wasting much of his especially on different social...
Wakuu habari za asubuhi?,Naomba mwenye namba ya simu ya kampuni inayozalisha mbegu za nyanya aina ya Edeni F1,na Rio Grande anisaidie.Naomba kuwasilisha.
Backyard poultry, ni washirika wa wajasiriamali hasa wafugaji katika uzalishaji na uuzaji wa vifaranga wa kuku wa kienyeji pamoja na chotara kwa gharama nafuu.
Vifaranga wetu wa siku moja...
Habari wanajamvi.
Natarajia kufungua company itayojihusisha na events kama wedding, matamasha N.k...
Naomba kujua gharama na upatikanaji wa Tents, hasa zile za kufanyia open events.
Natanguliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.