Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Nimejikongoja kutoka uzalishaji wa 1000/=-3000000/=naomba mnipe ushauri nifanye biashara gani? niko mwanza.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Waungwana, Mimi ni mlemavu wa miguu uliotokana na kuumia vibaya mgongo, natumia Wheelchair na ninaishi uswahilini maeneo ya ndani ndani, Natamani kufanya biashara yenye faida na isiyoitaji mtaji...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomben msaada wenu namna ya kuanzisha fast food,vitu vinavyohitajika na changamoto zake,.nahitaj mawazo yenu plz..,nitangulize shukrani....
2 Reactions
9 Replies
5K Views
Hbr!natafuta mwny kujishughulisha na biashara ya baking esp cakes ili anisaidie kuongeza taaluma ktk hilo hata kwa malipo.Ani-pm au # yangu 0652-753759.Pls help
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kama unahitaji kujiajiri katika nyanja za mambo ya designing na printing unaweza kunitafuta kwa namba 0718 572 422 au 0754 570 510 ninatoa mafunzo kwa program za adobe photo shop, adobe indesign...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa anayeishi Mwanza na anauwezo wa kunikopesha hicho kiasi cha pesa 2 million kwa riba nafuu naomba anisaidie plz.Ambaye yuko tayari anicheck kwenye inbox tujadili masharti ya mkopo na asset...
0 Reactions
0 Replies
996 Views
Kwa mkazi wa Dar na mikoa ya jirani aliye tayari tufanye project za uzalishaji wa mazao ya kilimo. Mimi ni mwajariwa wa manispaa mojawapo hapa DSM kama mtaalam wa kilimo lakini kwa sasa nipo...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
habari za mida wanajamvi. Mimi Ni mjasiliamali nipo songea nauza Vifaranga vya kienyeji na chotara vya Malawi. bei zetu Ni nafuu sana tunapokea oda kutoka mahali popote ambapo usafiri wa kutoka...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Wana JF habarini, Kwa wale wanaohitaji kufungua Kampuni yeye gharama yake ni 300,000 tu na utafanyiwa shughuli zote za usajili na kuandikiwa kila kitu na mihuri. Wewe hutahitaji kwenda BRELA bali...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Tunauza batiki na vikoi rangi na aina mbalimbali pisi / kipande kimoja cha batiki / kikoi ni Tsh: 8000, ukitaka pisi mbili bei mara mbili ya hiyo hapo juu vile vile na pisi tatu itakuwa hivyohivyo...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Habari zenu wakuu!Nina viroba zaidi ya 100 vya mihogo.Natafuta soko.Nipo Kahama,Shinyanga.Serious buyers only.Call 0759884771 au e-mail fkiganja@yahoo.com kwa bei na maelewano.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Natafuta vifaranga vya kienyeji 300...viwe na week moja au 2. . Nipo Dar nicheki fasta 0752-109265 kwa SMS tu!!!!... Pia unaweza nielekeza vinapatikana wapi....
0 Reactions
0 Replies
932 Views
Tunauza vikoi vilivyo tengenezwa kwa mashuka ya kimasai kwa shilingi 25,000, Vikoi vya batiki kwa shilingi 13,000, elfu Mashati ya batiki kwa shilingi 40,000, Pochi za culture kuna za shilingi...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari Wajasiriamali..!? Napenda kufahamu kwa Mtu yoyote mwenye kufahamu kibali cha Mazao ya Maliasili kama vile MKAA na ASALI kinagharimu shingapi katika Mkoa Tajwa hapo juu na Taratibu zake...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
habari wana jf kuna dada mmoja mjasiriamali anaomba kuungwa mkono katika ofisi yake inayoshughulika na mambo yote ya printing za bronchures,posters,newsletters,leaflets &...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nataka kufanya biashara kabanga mpakani naomba kama nitapata namba ya mtu yeyote aliyepo kabanga nifanye nae mawasiliano
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ushauri tafadhali kwa wenyeji wa dodoma, kwa hyo fedha ni biashara gani hapa dodoma naweza fanya ili nikuze pato langu ila mimi ni mtumishi wa umma na sijawahi fanya biashara yoyote tangia nimeota...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari, Nimefanya uchunguzi wangu japo kwa kiasi kujua wapi naweza kufungua account ya biashara kwa ajili ya biashara yangu ya ufugaji.Nimeangalia sana NMB na CRDB naona kuna wingi kubwa wa watu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nataka kufanya biashara kabanga mpakani naomba kama nitapata namba ya mtu yeyote aliyepo kabanga nifanye nae mawasiliano
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba kujuzwa jinsi ya kutengeneza koni au lambalamba
0 Reactions
1 Replies
12K Views
Back
Top Bottom