Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Naomba jamani mwongozo wa namna kuwekeza katika biashara huku nikiendelea na masomo yangu ya chuo kikuu ili kujipatia kipato cha kuweza kujikimu kielimu na kiuchumi pia.
0 Reactions
1 Replies
954 Views
Wataalamu wenzangu na wajasiriamali wa kiteknolojia,ambao mnajihusisha na uundaji wa mashine za kuangulia vifaranga vya ndege. bila shaka mtakuwa mnatambua ulazima wa ufungaji kifaa kinacho...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wanaohitaji mayai ya kware na vifaranga vya kware tuwasiliane, 0789 411114, bei nafuu sana.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nataka nifanye hii biashara kwenye mikoa kati ya Dar es Salaam, Arusha au Mwanza. Kuna yoyote mwenye ujuzi juu wa hii biashara? Naomba atujuze
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Ninavutiwa Sana Na Kufanya Biashara 2 Tofauti. 1) Kufungua Huduma Za M-pesa, Tigo Pesa Na Airtel Money Na Kuuza Luku. Lakini Sijui Gharama Zake Na Ni Mtaji Wa Kiasi Gani Unatosha Pia Kuna...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
mwenye ujuzi na hii biashara mbao au nafaka maeneo ya Chalinze ani PM
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kna kampuni ya vifaranga vya kuku nimesahau jina lake kama 'saidoo' au naidoo' hivi anayeijua naomba anitajie na namba zao za simu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
[emoji21] [emoji21] nimeshindwa kufuta
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wapo katika muonekano mzuri jike na dume white na chokelate nipo dar wwnalalia mayai yao mawili wwnauzww haraka sana check picha za whats app tunaweza kukufikishia ulipo kama hutowezq...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wadau naombeni ushauri kwani nina mtaji wa milioni kumi ila tatizo mimi ni mwajiriwa na nipo kwenye position yakusafiri safiri sana kuhudumia mikoa kkumi ila makao makuu yapo arusha na hivyo mda...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba mwenye uwelewa wa zinapopatikana mashine za kusaga karanga kwa ajili ya kupikia groundnut zlzotenegenezwa na sido anijulishe mimi niko mwanza, ahsanten.
0 Reactions
6 Replies
9K Views
Habari wana jamii forum ...mimi ni binti niliyemaliza chuo mwaka jana na nikahitimu masomo yangu ya stashahada ya computer science....na kupata matokeo mazuri tuu ya first class... Mpaka sasa...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Kuku wa kienyeji wanapatikana kwa bei ya Shilingi 18,000-20,000. Wapo pia kwale wanaotaga, bei ni Sh.10,000. Kwa atakaehitaji anitafute kwa namba hii: 0753249862. Napatikana Dar. KARIBUNI SANA
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wanaJFwenzangu, Nimepata wazo ambalo nina imani tunaweza kulifanyia kazi tukiwa kama team wawili au watatu na kuendelea. Tanzania yetu (hapa naiongelea Dar es Salaam), wageni wanaotoka...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Je ni kweli Benki kuu imesitisha kutolewa kwa huduma za mikopo Katika Benki zote ikiwemo CRDB mpaka July! Mwenye habari kamili juu ya hili Tafadhali Wakuu.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ninayo chumvi tani 33 natafuta wateja wa kabanga ili tufanye biashara
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Wapi hapa dar naweza kupata kuku wa kisasa wa mayai? (Vifaranga) Msaada wenu tafadhalini
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Ninaomba msaada wa kupata mfanyabiashara wa chumvi aliyepo huko KABANGA, nahitaji kujua bei ya chumvi ikifika Kabanga ili tufanye biashara.
0 Reactions
0 Replies
805 Views
Community vicoba loans nkweli wanatoa mikopo ama tizi
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau, Msaada kwenye tuta, nataka kuwa wakala wa vyakula vya kuku hususani vya falcon. msaada wa kupata mawasiliano ya Falcon tafadhali na mwenye kujua njia za kufata kupata uwakala. Nipo Dar.
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Back
Top Bottom