Ni miaka miwili sasa, najitahidi angalau nione manufaa, hatimaye ijiendeshe na kuinua maisha yangu na jamii yangu.
Lakini sasa naona inanishinda hata kuaibika kwani Biashara haiendelei na nazidi...
Nataka nipate kware wa porini kuna sehemu nimepita nimekuta pori ambalo lina kware.
Naomba mwenye ujuzi katika kuwatega na kuwakamata hawa kware anijuze.
Salam ndugu zangu kwa mwenye kufahamu anaisadie ni vifaa vip ambavyo vinahitajika katika radio station.. Ili iweze kurusha matangazo yake hewani.. Msaada jaman kwa mwenye kujua.. Asanteni
Jamani Mimi Nimehitimu Chuo Cha Kilimo, Lakini Kutokana Na Ukosefu Wa Ajira Nataka Kutumia Ujuzi Nilio Nao Wa Kutengeneza Incubator Ktk Kujimudu Kimaisha, Lakini Tatizo Sina Mtaji Hata Wa...
Wanajamvi wenzangu ningependa kufahamu dawa za kuku wa kienyeji za miti shamba zinazokinga na kutibu magonjwa yafuatayo na namna ya kuziandaa.
1. Mdondo
2. Kuharisha(kinyesi cha kijani)
3...
Kuna kipindi hili jukwaa lilikua limejaa habari ya Kware na mayai ya kware.Watu walikua wako moto kuingia kwenye hii biashara wakiamini ni fursa yakuwatoa kwenye umasikini.
Binafsi tokea hii kitu...
wanajamii habari zenu,
Ninafuga kuku, tatizo limejitokeza tangu Jumamosi, kuna kuku 1 anachechemea, nimejaribu kumchunguza labda anakidonda au kapigwa but hakuna, kuku ana umri wa miezi 6 wenzake...
inahusu elimu ya kompyuta...nimefikiria kwamba kila mtu kwa sasa anahitaji kujua matumizi ya kompyuta kulingana na uitaji wa dunia ya leo, but kwa sababu fulani fulani sio wote ambao wanaweza...
Habari za Leo wadau,
Naomba kujua kama kuna mabadiliko ya price kwenye vyakula vya kuku " MASH" katika mabadiliko yanayoletwa na budget mpya inayoanza Leo.Naongea haya kutokana na omission ya...
Habari za majukumu, niko na hiyo pesa ningependa mawazo yenu ya biashara ipi hususa ya uchuuzi- yaani kutoa bidhaa point A kwenda kuuza point B kwa faida
Siko interested sana na Kilimo wala...
Nimebakhtisha compressor,machine za kuchomelea (Gas/Umeme) na za rangi. Pia spanner za ku unga unga nimeokoteza.Pia kuna mbao za kutengeneza bench.
Kijiwe tufungue pande zipi?
Karibuni wadahu.
Wadau nataka kuanzisha biashara ya mkaa hapa dar, jumla na rejareja.
naombwa kujuzwa sehemu naweza upata kwa jumla kwa bei nafuu hapa dar
au msaada wa mawazo kwa aliyejaribu .
au eneo...