Naomba jamani mwongozo wa namna kuwekeza katika biashara huku nikiendelea na masomo yangu ya chuo kikuu ili kujipatia kipato cha kuweza kujikimu kielimu na kiuchumi pia.
Wataalamu wenzangu na wajasiriamali wa kiteknolojia,ambao mnajihusisha na uundaji wa mashine za kuangulia vifaranga vya ndege.
bila shaka mtakuwa mnatambua ulazima wa ufungaji kifaa kinacho...
Ninavutiwa Sana Na Kufanya Biashara 2 Tofauti.
1) Kufungua Huduma Za M-pesa, Tigo Pesa Na Airtel Money Na Kuuza Luku. Lakini Sijui Gharama Zake Na Ni Mtaji Wa Kiasi Gani Unatosha Pia Kuna...
Wapo katika muonekano mzuri jike na dume white na chokelate nipo dar wwnalalia mayai yao mawili wwnauzww haraka sana check picha za whats app tunaweza kukufikishia ulipo kama hutowezq...
Wadau naombeni ushauri kwani nina mtaji wa milioni kumi ila tatizo mimi ni mwajiriwa na nipo kwenye position yakusafiri safiri sana kuhudumia mikoa kkumi ila makao makuu yapo arusha na hivyo mda...
Naomba mwenye uwelewa wa zinapopatikana mashine za kusaga karanga kwa ajili ya kupikia groundnut zlzotenegenezwa na sido anijulishe mimi niko mwanza, ahsanten.
Habari wana jamii forum ...mimi ni binti niliyemaliza chuo mwaka jana na nikahitimu masomo yangu ya stashahada ya computer science....na kupata matokeo mazuri tuu ya first class...
Mpaka sasa...
Kuku wa kienyeji wanapatikana kwa bei ya Shilingi 18,000-20,000. Wapo pia kwale wanaotaga, bei ni Sh.10,000. Kwa atakaehitaji anitafute kwa namba hii: 0753249862. Napatikana Dar. KARIBUNI SANA
Habari wanaJFwenzangu,
Nimepata wazo ambalo nina imani tunaweza kulifanyia kazi tukiwa kama team wawili au watatu na kuendelea. Tanzania yetu (hapa naiongelea Dar es Salaam), wageni wanaotoka...
Je ni kweli Benki kuu imesitisha kutolewa kwa huduma za mikopo Katika Benki zote ikiwemo CRDB mpaka July! Mwenye habari kamili juu ya hili Tafadhali Wakuu.
Wadau,
Msaada kwenye tuta, nataka kuwa wakala wa vyakula vya kuku hususani vya falcon. msaada wa kupata mawasiliano ya Falcon tafadhali na mwenye kujua njia za kufata kupata uwakala. Nipo Dar.