Marketing kwa maana moja mimi huwa naiita ni zao la Branding kwenye biashara ambalo linatakiwa litoke liende kuitangaza brand iliyojitengeneza.Hapa nchini biashara nyingi zinafanyika kwa mazoea na...
Nataka nianze kufyatua tofari kwa biashara. Naomba msaada wa gharama za mashine.za umeme na manual. maeneo muhimu kwa mradi kama huo
Natanguliza shukurani zangu za dhati.
Habari JF
Nimependa kuingia katka kilimo cha mbogamboga hususani katika kilimo cha Pilipili mbuzi na nyanya chungu
Hivyo basi naomba kupatiwa ufafanuzi juu vitu vifuatavyo
1. Gharama za uzalishaji...
1.nimejiunga nssf kwa hiari 2.kupata elimu ya mashine mbalimbali kama ya kukoboa na kusaga, vitu kama lora 1,2 na 3 havinisumbui tena. Kuhusu size ya kinu kama 75,100 na 200 pamoja na bei zake na...
Hi
Jijini Dsm kuna upungufu mkubwa wa sehemu nzuri za kupumzikia familia ( yaani mahali ambapo wewe na familia yako unaweza kwenda bila kigugumizi),mahali ambapo unaweza kuyaona mazingira yenye...
Habari zenu wakuu, mimi nimemaliza chuo mwaka huu nimeona mtaani kugumu kwa kweli, kwa kuwa kuna babu yngu mmoja ni mzoefu sana katika masuaala ya biashara nilikaa nae chini kuona nini nitafanya...
Kiwanja kipo goba km4 toka itakapokuwa barabara ya lami. kina face barabara ya mtaa. mtaa umepangika kisasa, umeme upo karibu kabisa. kina ukubwa wa 400sqm. Bei mil 8.5 serious buyer contact...
Ninawashukuru wajasiria mali wote kwa ushauri wenu mulionipa,kutokana vifo vya ghafla vilivyo kuwa vinatokea kwa kuku wangu.Baada ya kuomba ushauri kwa wajasiria mali chini ya kichwa cha habari...
Mimi sina kazi ila nilibahatika kufanya kazi hapo miaka ya nyuma nikajenga nyumba ya vyumba vitatu,
Maisha yamekuwa magum sana nimewaza kuigeuza nyumba yangu niifanye guest house ili niwe napata...
wakuu heshima kwenu.
_kuna jamaa yangu naye ni mfugaji kama mimi alianza na kuku wachache sana sasa ananiambia anao 60 ndo nikawa namwambia anatumia dawa gani kuwatibia nikawa namwambia wa kwangu...
Habari waungwana,
Wadau Mimi ni masikini ila kwa kipindi hiki nimebahatika kupata tzs 4,000,000 natamani sana niizalishe sijui niizalisheje naomba ushauri wenu nifanyeje?
Natanguliza shukraan
Natanguliza shukurani wana jamii forum, mimi ni mjasiriamali nina hold diploma in business administration na Nina kampuni nadeal na kuuza nafaka na logdes(guest houses) naomba mwenye uelewa mpana...
Utando huu huenea sehemu zote za shina na hata majani na hivyo kusababisha mmea kudhoofika na hata kufa. Nimejaribu kutumia mbalimbali za mimea bila mafanikio kwa vile dawa zote hizo zinzteleza...