Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Habari. Siku hizi wa Tanzania tumepiga hatua kubwa sana katika ushirikiano kijamii na moja ya hatua iyo ni kujiunga pamoja ktk vikundi ambavyo vina jihusisha na shughuli za ujasilia mali. Lakini...
0 Reactions
0 Replies
7K Views
Habari za jioni wana-JF. Mimi kijana ninayetaka kumiliki biashara yangu kihalali. ninahitaji kuanzisha biashara ya Restaurant, je nifanyeje ili niweze kupata leseni ya biashara kwa urahisi?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
This is a reality show, but this time, Bobi wine visits a farm managed and owned by a veterinary officer, who decided to employ herself.. This woman rears pigs, grows bananas and does fish...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Katika mahangaiko ya maisha wandugu, nishapoteza laki 2 zinaniuma kinoma ila sijakataa tamaa naombeni mwenye kujua wapi ntapata mkopo wa masharti nafuu sana sina nyumba wala kiwanja wa kazi yangu...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Jaman mweny kujua ukwel kuhus hy taasis anijuze
0 Reactions
0 Replies
768 Views
Jameni kwa wale waishio Mufindi, Iringa na maeneo yanayozalishwa mbao, je kujaza ile semi, inaweza gharimu kiasi gani, naomba wazoefu wa biashara hii au wanaoijua kiundani zaidi
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wadau. nimeshakodisha chanja la kuhifadhia kitunguu changu somewhere iringa-malolo. mwaka huu machale yalincheza sijalima. nimeshanunua gunia kama 50 za kitunguu iliyo safi na maalum kwa...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Nataka kufanya biashara ya bajaji,naombeni mrejesho kwa siku shingapi? Aina gani ni nzuri. Mawazo yenu muhimu wadau
2 Reactions
12 Replies
5K Views
Natafuta mbwa wa kike na kiume, awe pure german shepherd (Mwenye masikio yaliyo simama). Natanguliza shukran.
0 Reactions
0 Replies
943 Views
Naomba mawazo yenu wadau mfano ukiwa na mtaji wa million 1 unaweza fanya biashara gani ambayo ikakuingizia kipato kwa hapa Dar. Naomba mawazo yenu kama hautaona ujumbe huu haukufai basi ni bora...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna wanaojua kutengeneza hayo material au sabuni za masinki na vyoo. watusaidie namna ya kutengeneza tuweke mazingira safi. Shukeni formulae nawategemea sana wale wa Dar, Mbeya, Kigoma, mnajua...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari za leo wana JF? Naomba anayejua taratibu za kufungua institute mfano Tanzalia Ujasiriamali Institute aweze kunisaidia maelezo. Asanteni
0 Reactions
0 Replies
949 Views
Wadau m-pawa nimeisikia ikitangazwa sana kuwa itatusaidia sana wajasiriamali hasa wadogo. Kwa kuwa tukiweka hela yetu itakuwa inazaa faida. Naomba mwenye uelewa wa namna faida inavyopatikana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nahitaji miche ya pilipili na nyanyachungu ili niweze kuanza kilimo Kwa mwenye taarifa zitakazo maliza shida yangu anisaidie
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Reginald Mengi alianza kwa kutengeneza ballpoint pens {kalamu}
1 Reactions
58 Replies
13K Views
Habari wajf mm nmehitimu chuo july wakati naendelea kutafuta kazi nataka nijikite kwenye kilimo kuna shamba maeneo ya malela ningependa kuuliza ni mazao gani yatakayofaa kuanzia na ambayo yataweza...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau naitaji kuku wa kienyeji majike 10 nataka nifuge jogoo ninaye tayari Mwenye nao anichek PM bei yake Napatikana dsm Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
0 Reactions
5 Replies
1K Views
jamani mimi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji ila kila napototolesha vifaranga majogoo wanatotolewa wengi kuliko matetea. Naomba kujuzwa kama kuna tecknolojia ya kulitambua yai lenye kifaranga cha...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Habari wakuu, wajenga Taifa na wachukuia mafisadi na ufisadi. Kutokana na mipangilio yangu ya kikazi nimeamua kutokulima vitunguu kwenye shamba langu la Ruaha Mbuyuni mwaka huu. Nina eka 50...
13 Reactions
66 Replies
16K Views
nna 26 yrs,npo moro...mtaji wa tsh milon tatu(03)unatosha kuanzisha biashara ya mtumba! Ushauri tafadhari
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…