Je unahitaji nembo au logo itakayoweza kuwakilisha biashara yako mahali popote pale.Basi wasiliana nami ili uweze kupata logo iliyo simple na yenye uwezo wa kuwakilisha biashara yako mahali popote...
Ni ukweli usio pingika kwamba Mafanikio yana gharama zake, na ukijaribu kusoma baadhi ya story za watu walio fanikiwa utagundua kwamba wengi waligharamika kwa namna moja au nyingine, ni vigumu...
BAADHI ya wakazi wa kata ya Lumuma, wilaya ya Mpwapwa, wameunga mkono na
kupongeza ushauri waliopewa na Mkuu wa wilaya hiyo, Christopher Kangoye,
kuhusu soko la vitunguu.
Hivi karibuni, mkuu huyo...
Hii article ni maalumu kwa wale wote waliokuwa wana mpinga mkuu Chasha Poultry Farm kuhusu kuwa strategic kwenye biashara.Kuna uzi mmoja wa mjasiriamali wa mkaa watu wengi walionekana kutomuelewa...
Habari zenu wanajamii.
Nahitaji supplier atakaeweza kuniuzia samaki aina ya Sato kwa bei ya atleast tsh5000 - 5,500 per kilogram. Nahitaji kuanzia 300kg kwa siku. Pia naomba msaada kwa yoyote...
Habarini wana jumuiya...naombeni msaada wenu nikitaka mafuta ya alizeti kutoka kiwandani kabisa wanapokamulia hayo mafuta ntapata kwa bei gani aidha kwa litre 5 au 20..na kama kuna mtu ana...
Habari wakuu,
Huku kwetu Dodoma tumebarikiwa kuwa na miti mingi iliyojiotea ya mibuyu lakin mara nyingi baada ya mavuno tumekuwa tukiuza mikoa mingine.
Baada ya kuonja ubuyu uliowekewa...
Kumekuwa na watuwengi ambao wamekuwa wanahitaji kuwawajasiriamali lakini asilimia kubwa wanakuwa ni wale ambao wanakuwa wamefelimipango mikubwa au kuna kitu kimewasukuma ,vitu ambavyo unatakiwa...
Wandugu Habari za leo,
Ninapenda kutoa pendekezo hapa ambalo wadau watakaovutiwa nalo watatoa michango yao ya ku-modify zaidi wazo langu. Kutokana na hali ya maisha kuwa ngumu ni dhahiri sasa...
Kwa mara ya 2 narudi jukwani kwani mara ya 1 sikupata support,ni kwamba.
1.Kuna automatic incubator inayotumia solar power?
2.Kama ipo,ya mayai 3,000 inauzwaje na inatumia watt ngapi?
3.Changamoto...
Ndugu zangu wana jf naombeni ushauri. Kwa ufupi nataka kufanya biashara ya kusambaza mchanga na kokoto, ila kabla ya kuanza ningependa kujua yafuatayo
. Biashara hii ipoje?
. Sehemu ya kupata...
Hello everyone,
I am a business owner; I buy and sell different products. Are you looking to starting your own business in Tanzania? Do you have capital but lack ideas? Do you already have an...
Habari za leo katika kusoma kwangu juu ya watu wenye fedha zao kuna baadhi ya kanuni naona ni muhimu sana kuzifuatilia kama ujuavyo kanuni hawezi vunjwa unaweza kuvunga sheria lakini ukaenda bila...
Habarini za leo wadau!
Nimepata wazo la biashara, nataka nikodi frem nifungue mgahawa, nafikiria kumtafuta mama yeyote ili aniendeshee, yani namuanzishia kila kitu halafu yeye anaendelea.
Nataka...
Kama unahitaji kuwa na blogu kwa ajiri ya kupost habari mbalimbali, ipo inauzwa tsh 30,000. Blogu yenyewe ni kurasahuru.blogspot.com. Ukihitaji nipm au 0768277927, kuhusu jina la blogu, tunaedit...