Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Jamani nimeanza ukulima wa vitunguu, tatizo miche inapukutika sana kwenye kitalu. Inanyauka, japo naimwagilizia kila siku. Ni Mara yangu ya kwanza kulima vitunguu. Msaada please.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habar zenu wapendwa Samahani kwa wale wanaotumia machine ku print vitu kama tsht vikombe na vingine ... samahan naomba kujua bei ya tranferpaper na wapi naweza kupata
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habar wana Jf, mm ni kjana niliehitimu diploma ya masoko na mauzo kutokana na upatikanaji mgumu wa ajira ninaomba kwa mtu yeyote ambaye ana wazo zuri la biashara naomba anisaidie kuniambia then...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wakuu Nimeuona uzi hapa jukwaani unaozungumzia biashara ya juisi na matunda kwa ujumla nikaona si vibaya ku-share idea yangu ambayo nimeiona kwa muda mrefu ila imekosa ubunifu mzuri. Kwa...
1 Reactions
7 Replies
9K Views
Asilimia kubwa ya watu hutengeneza nembo(logo) kwa sababu tu wanahitaji biashara yao ionekane inanembo lakini umuhimu wake hawaujui. Nembo ni alama maalum ya kwako peke yako inayokutambulisha...
2 Reactions
9 Replies
10K Views
kwa wafugaji wa kuku wa kienyeji.. Tafadhali naomba ushauri wenu.. ndio naanza kufuga kuku hawa, nimeagiza wa kuanzia kutoka mkoani.. (Niko dar kuku nawachukua Rombo - kilimanjaro). Naweza...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Habari za kazi wakuu. Ninaomba msaada, hivi karibuni nimeanzisha mradi wa kuku wa mayai, wapo kidogo tu kama 400 hivi kwa majaribio. Wana miezi miwili sasa, nilichobaini ni kwamba chakula chao ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Heshima zenu wakuu, Naomba kumtembelea Mjasiliamali yeyote anaefuga kuku kwa Hapa Dar, Kikubwa ni kupata uzoefu kidogo hasa kwenye mapangilio wa Banda na vitu vingine. Kwa yeyote alietayari...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
HAY WANAJAMVI WENZANGU Mimi ni mfanyabiashara na ni mbunifu wa upambaji katika kumbi mbalimbali za sherehe mbalimbali zikiwemo harusi, kitchen party, kipaimara, misiba na mikutano mbalimbali ya...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Biashara haiangalii unaamini kupitia nini, biashara haiangalii wewe ni mkristo,mpagani muislamu au mhindu,lakini kuna imani ambazo biashara inakutengenezea na inataka ufanikiwe kupitia hizo...
6 Reactions
14 Replies
4K Views
Rafiki yangu na msomaji mzuri wa AMKA MTANZANIA bwana Jiduma Luhende kitambo kidogo alinitumia kitabu hiki kinachoitwa Why You’re Dumb, Sick And Broke kilichoandikwa na Randy Gage. Baada ya...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
wanajamvi nimefanikiwa kulima karanga na mimepata gunia 120 ila tatizo soko limekua adimu .mwenye kujua soko zuri aweke jamvini
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Mambo zenu wanajamvi. Leo nimeona niongelee kuhusu kilimo na mchango wake katika kuongeza ajira kwa vijana wengi japa nchini. Katika vyombo vya habari kumekuwa na watu wengi wakiwa wanafanya...
2 Reactions
4 Replies
5K Views
Ndo nimemaliza chuo this year. Ajira hazipo na kama zpo hazitatimiza ndoto zangu za kwenda brazil kucheki world cup! Chumba kitupu kipo hapa home ndo nataka iwe ofice yangu! Nitaomba kwa family 2...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
WANAO HITAJI AGENT WA BIDHAA ZAO NA HUDUMA KWA MKOA WA TANGA NIPO AGENT TUWASILIANE KWA wani PM.
0 Reactions
0 Replies
958 Views
10 Reasons Why You Will Never Become Rich 1) You spend too much 2) You do not save enough 3) You have to much debit 4) You put all your eggs in one basket 5) You do not have insurance 6) You do...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu ninaomba ushauri wa nini hasa napaswa kukifanya ili mradi wangu uwe na tija na ufanisi ili kupata matokeo ninayoyatarajia. Iko hivi: Baada ya kuchunguza hali halisi ya ajira kwa vijana...
1 Reactions
7 Replies
7K Views
Jamani nimeanza ukulima wa vitunguu, tatizo miche inapukutika sana kwenye kitalu. Inanyauka, japo naimwagilizia kila siku. Ni Mara yangu ya kwanza kulima vitunguu. Msaada please.
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Mie nipo wilaya ya Ruangwa mkuoa wa lindi, nina mawazo mawili ya biashara ambayo ni; 1. bookshop 2. studio ya picha na video shooting Naomba msaada kwa wenye idea au uzoefu kati ya wazo moja hapo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naanza kwa salutation kwa wote, ninaanzisha biashara ya dagaa wakavu wakubwa wasafi, ninaanza na gunia 10. Nipo Musoma mjini naomba mnijuze masoko ya bidhaa hii na kwa alie tayari kunitaarifu...
0 Reactions
3 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…