Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Elimu inayokosekana na inayowapoteza wengi katika maisha Katika mfumo wetu wa elimu kuna elimu muhimu inayokosekana na hakuna sehemu ya kuipata hadi Ujitambue mwenyewe ambapo elimu hiyo ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wakuu heshima kwenu. natafuta fremu dar isiyozidi shilingi 100000 kwa mwezi. iwe karibu na shule zaidi ya moja. kama ipo karibu na shule moja tutaelewana. aliye tayari ani pm. tusaidiane wajasiliamali
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nipo Dar nafanya kazi nimeajiriwa ,kwa sasa nina mil 2 nahitaji msaada wa biashara ya kufanya na mke wangu kwa kuanzia.Naishi maeneo ya kimara baruti na mke wangu anakaa tu home ,yeye anataka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hallo wana JF Habari za mchana poleni sana na majukumu ya siku nzima Mimi ni kijna nina mkakati wa kufungua shule ya english medium huko jijini mwanza . Nko katika maandalizi ya awali kabisa ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habari wanajamvini, nimekuwa nikitamani kufanya biashara ya kuuza vitenge. Nimesikia fununu kuwaTunduma /Mwanza mpakani na ........./Congo ndo maarufu wa uuzaji wa vitenge kwa bei nafuu. je kuna...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa muda mrefu kumekuwa na mjadala mkubwa ikiwa mjasiriamali anazaliwa au anatengenezwa. Kwa kuangalia tabia za wajasiriamali na tabia za binadamu kwa ujumla, wajasiriamali wana tabia za...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari wana Jukwaa, Kama kichwa kinavyoeleza, nafikiria kufungua biashara husika ila kabla ya kufungua nimeona nilete uzi jukwaani ili nipate maelekezo kutoka kwa watu wenye uzoefu na biashara...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
wapendwa, mimi ni mtanzania ambaye nimeamua sitawaachia wawekezaji wa nje peke yao wafaidike na utajiri wa nchi yangu. ivi karibuni nilipata kuongea na rafiki yangu ambaye ni foreigner na amefika...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari zenu waungwana natumai muwazima na mnaendelea vizuri na shughuli zenu za kila siku,kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu nataka kufungua kampuni ambayo nitakuwa nawatafuta...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari za Humu wana MMU. Naomba mchango wenu kwenye hili jambo langu. Mie jamani naomba ushauri wenu nimejichanga weee kwa mda wa miaka 33 sasa adi leo hii nimepata kiasi cha Tsh 3M. sie watoto...
0 Reactions
18 Replies
7K Views
naomba wakuu nisaidieni kama kuna mtu mwenye anamilik berbershop aniambie vitu gani huhitajika
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habar jf? Bila shaka nyie ni wazima wa afya! Kabla ya yote nitakuwa si mwenye busura, nisimpomshuku Mungu mwenye enzi, na vitu vyote vimekuwepo kwa ajili yake.Nina ndugu yangu ameshindwa kufanya...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Naomba maelezo au taratibu ninazotakiwa kuzifzifata ili niweze kufanya hyo biashara
0 Reactions
0 Replies
2K Views
kama akili ingekua hela basi ningekua millionaire..!katika akili yangu nina idea nyingi za biashara tena nzuri,ila tatzo ni capital..kila ninakoenda kupata msaada they either want money ama...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Katika pekuapekua zangu nimekuja kukutana na blog hii ambayo mada zake ni za ujasirimali na zinafunza, kusisimua na kuhamasisha ujasirimali. Sijaona shida kushirikisha maana naona ni mkufunzi...
6 Reactions
34 Replies
17K Views
Nataka nianze kufuga kuku wa kisasa tatizo nahofia dagaa na upatikanaji wake kwa anayejua ntawapataje kwa bei nafuu, kwa kanda ya ziwa anielekeze tafadhali..
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Helow wakuu, nipo kwenye mchakato wa kufuga ila lengo langu ni sawa na research yan nataka ndani ya mwaka mmoja nione kama nitafikisha kuku elfu moja kutokana na directory za humu plus za shuleni...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Samaani wadau kwa wanaojua kilimo nikiwa na lak tano naweza kulima kilimo gan..tafahali naombeni majibu toka kwenu
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wajasilimali naombeni kujua bei ya vifaranga vys broiller kwa mwanza, vinauzwa shillingi ngapi kwa sasa?? Nitashukuru sana kwa msaada , najipanga nigependa kuanza biashala ya ufugaji wa kuku...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
nahitaj papai za kununua kwa bei ya jumla.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…