habari zenu waungwana.....nimekuja hapa kuwaomba ushauri na ntaheshimu mawazo yenu..!
nataka kufungua radio katika mkoa mmoja wapo wa kanda ya ziwa (mwanza,geita,shinyanga au simiyu),nimeshaanza...
Mnakaribishwa wote kupata ushauri na fursa ya biashara hapa Tz.
Kwa wale waliojaribu biashara mbalimbali bila mafanikio na kukata tamaa na wangependa kujaribu fursa nyingine tena ni-inbox...
Wadau naombeni ushauri wenu, ninampango wa kufuga Bata au Kuku wa nyma kwa ajili ya biashara, naomba ushauri wenu kipi kinalipa. Nategemea ushauri mzuri.
Habari za muda huu wandugu
Mm ni kijana mwnaume nina umri wa miaka 25 nafanya kazi kwenye shirika fulani la kitalii hapa mjini Moshi Kilimanjaro kazi yangu namshukuru Mungu inanilipa kwasasa nina...
Mm ni mwanafunz wa ninaeingia second year katika chuo kimoja apa mwanza..Nina kama milion 1.5 natak nijfunze biashara stil nkiwa bado npo chuo..nlikuwa naomba ushauri wenu wadau nini nifanye na ni...
Wana jf wenzangu,mimi ni mfugaji wa nyuki na mzalishaji mkubwa asali.ninahitaji maboksi ya karatasi ngumu kwa ajili ya kuweka chupa za asali.maboksi hayo yawe na uwezo wa kubeba dazani moja ya...
Habari wakuu,
Napenda kuwajulisha kwa wajasiriamali wenye viwanda vidogovidogo au vya kati na vikubwa au wale wenye mpango wa kuanzisha viwanda vya kusindika vyakula vya binadamu mjini moshi na...
Kama nilivyo dokeza hapo kwenye heading yangu ni kwamba natafuta mtu ambaye yuko serius and committed ili tuweze kufanya naye kilimo cha biashara (agribusiness); tutaanza na kilimo cha mazao yanye...
Kina ukubwa wa mita 24 kwa 20,bei milioni 8 kipo bomba mbili dar unaweza kufika kwa kupitia mombasa au kivule kiwanja safi na kipo eneo zuri .mwenye uhitaji anipm
*Ukipata wazo la kuhitaji kuingia katika Shughuli yoyote ile ya UjasiriaMali Mkubwa Au Mdogo, Fanya Haya Yafuatayo Kabla Ya Kujitosa.
1). Fanya Utafiti Wa Biashara Husika Ili Ujue Lugha Ya...
Niliwatembelea hawa jamaa wa hii breed ya Ng'ombe na wakasema tukijiorganize wanaweza kuja kupandikiza hii breed, Hii ni Breed ambayo ni the second kwa utoaji wa maziwa, ambapo uazo wake wa pili...
Hi Friends,
The nature of my business and my life style has made me study car rental industry in Tanzania and I decided to write this article to help people make an informed decision when in need...
Plz ndugu zangu nilikuwa na wazo la kufunguwa microfinance kwa peke yangu cntoweza nilikuwa naitaji kwa yeyote aliye tayar kama vp tuungane kwa pamoja na kwa njia yoyote ya halali tutafute working...