Jamani kwa majina naitwa Mussa Omary. Ni mwalimu nafundisha sm Mjimpya wilaya ya Tandahimba. Tangu mwezi mei mwaka jana nimeamua kuwa mjasiriamali kwa kufungua banda la biashara ya kuuza simu na...
Jamani nifanyaje? Nataka niwe agent wa TBL huku arusha ila kuna mtu kanambia lazima niweze kununua kreti 1500 ndo ntapewa hio kazi. Lakini mi uwezo wangu ni kreti 200,je nifanyaje ili nifanikishe...
Jamani eeee kwa wafanyabiashara ya simu au vifaa vya umeme mimi natafuta mtu wa kunifanya tawi lake la mauzo. Niko tandahimba mtwara nami ninauza simu. Kwa alie tayari anitafute kupitia 0788258712
Habari zenu
Nataka kuanza biashara kuchukua mazao kutoka mikoa tajwa kuja Dar
Vitu navyofikiri kuchukua ni viazi, vitunguu au nyanya nilikuwa naomba mwenye uzoefu na biashara toka mikoa hiyo...
Nataka nifanye biashara ya kuuza luku na huduma nyingine.
Naombeni ushauri, nitumie kampuni gani ambayo ni nzuri kwa kila jambo hususani commission na bei ya kununulia.
1.Pay point
2.Selcom...
amani iwe nanyi wapendwa wana jf,naomba kujuzwa kwa jambo lifuatalo;hivi kwa mfano mtu kafanya kazi kwa muda mrefu na mafundi umeme wakubwa akiwa kama msaadizi au 'kibarua' wa fundi kama ilivyo...
Kuna hili swala la Hydroponics Techinology ambapo ni uoteshaji wa mazao bila kutumia udongo na kinacho takiwa ni maji tu na sehemu ya udongo huwekwa virutubisho fulani.
Hii techonolojia inaweza...
Wajasiria wenzangu
Nina mpango wa kufungua duka la vipodozi hasa hasa vya kina mama siku za karibuni.
Kwa yeyote mwenye ufahamu wa kutosha juu ya biashara hii naomba michango yenu.
Habari wadau,
Nina mradi wangu mdogo wa bata, kwa sasa wapo kama 50 ukiweka na watoto, mpango wangu ni kuzalisha mpaka nifikie uwezo wa kuzalisha atleast bata 100 kwa mwezi ndani ya mwaka mmoja...
Wadau,
Katika kujikwamua na hali mbaya ya kiuchumi, nimehamua kufungua biashara jijini Arusha eneo la sanawari. Tatizo ni kwamba eneo nililopata liko kwenye makazi ya watu. Nimeongea na balozi...
Habari za Leo wadau..
Nafikiria kuanza kuuza kuku wa kienyeji, je kuna mtu anafahamu wapi naweza kununua kuku wa kienyeji kwa jumla kwa bei ya chini ili niweze kuja kuuza rejareja dar?
Salam aleikum,bwana Yesu asifiwe.AMEN.Nimekaa chini nikafikiria nianze kufuga kuku hawa coz nimeona ni dili hapa dar.Hivi sasa nimeanza kujenga banda lakini naona kama nimekurupuka coz sijapata...
pigia kura jina moja kati ya haya matatu tupate mjasiriamali bora wa Jamii forum wa mwaka 2013.
1. Mama Joe
2. Kubota
3. Malila
Mwisho wa kupiga kura ni tarehe 31 December 2013.
No Multiple...
Ndugu wajasiriamali. hasa wafugaji wa kuku wa asili. mimi nimefanikiwa kutibu magonjwa mawili ya kuku. kwa tiba mbadara (1) uharo mweupe. nilichanganya vumbi la mkaa na chakula cha kuku nikawapa...
Habari zenu wakubwa,mi nina wazo lakufanya biashara ya Gypsum,sasa kwa yoyote alie na uzowefu wa hii biashara aliowahi kufanya au ambao wanafanya,naomba mawazo kwenye biashara hii au muongozo...
Wana jf wa jukwaa hili,
Bado nanunua kuku wa nyama kwa bei nzuri sana, mwenye nao asisite kunitafuta kwa 0785168001, na uniambie unao wangapi na mambo mengine tutawasiliana.