Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

KILIMO CHA UYOGA Kwa kuwa #uyoga upo wa aina mbalimbali, usitawishaji wake hutofautiana katika mahitaji yake, ikiwa ni pamoja na hali ya hewa, malighafi za #kuoteshea, urahisi wa teknologia ya...
2 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari wana Jf, mimi naishi Morogoro wilaya ya Kilosa nimepata wazo la kufanya ufugaji wa Ng'ombe wa maziwa na kisasa Lengo langu niwe na Ng'ombe wawili majike wa maziwa then niwe na ng'ombe...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki (Mb) leo Machi 20, 2024 amekagua mabanda ya Maonesho yatakayotumika katika Maadhimisho ya Siku ya Misitu Duniani na Siku ya Upandaji Miti Kitaifa...
0 Reactions
0 Replies
303 Views
Mkuu wa Wilaya ya Ludewa- Victoria Mwanziva akiambatana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Sunday Deogratias na Wataalam wa Idara ya Kilimo Wilaya ya Ludewa- wametembelea Kiwanda cha...
1 Reactions
0 Replies
364 Views
Naombeni msaada wa kitaalamu wa kupalilia mahindi kwa kutumia viuatilifu maana vibarua wanasumbua na wakati mwingine mvua inanyesha mara kwa mara. Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
84 Replies
23K Views
Habari wakuu,natumaini jumapili imekaa vyema kwenu. Sasa ndugu zangu nimekuja kwenu tena,nina shida ya kupajua vyema UVUMI morogoro,naomba kwa anayepajua vyema atupe taarifa za muhimu,maana nataka...
1 Reactions
9 Replies
997 Views
Katika kipindi hiki, mimi binafsi naendelea kujikita kikamilifu katika harakati zangu za kutafuta mabanda ambayo naweza kuyakodisha kwa lengo la kuanzisha shughuli za ufugaji wa nguruwe. Katika...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
UZI HUU UTAKUWA UPDATED KWA KILA HATUA NITAKAYOPITIA KAMA MFUGAJI. KARIBUNI UPDATE 20TH FEB 2015 Habari za masiku wadau na heri ya mwaka mpya. Napenda kuwaletea mrejesho kama nilivyoahidi...
6 Reactions
48 Replies
26K Views
Nipo Dar es salaam, nina mtaji wa million mbili na nusu, naweza fanya biashara gani. Naomba mchango wa mawazo
0 Reactions
23 Replies
9K Views
Wadau wa kilimo naomba ushauli ninashamba la mapunga liko kati ya mita 6000 Hadi MITA elf 1 ,je pump zipi ninunue?JE petrol nch 3 hadi 4 au pump ya diesel nchi ya Bomba la nchi 3 u nne au...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari Aise naombeni kujua bei ya alizeti. Tafadhalini
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Jamani kwa wale wa SUA naomba kuuliza Bachelor of Science in animal science inadili na nini hasa? Thanks
0 Reactions
61 Replies
17K Views
Habari wadau, Baada ya kuwa kwenye ajira kwa miaka 10 na kuona msoto uko pale pale,nimeamua kuingia kwenye kilimo kama njia ya kuongeza kipato cha ziada. Nimeanza kwa kukodi shamba Ruvu kwani...
10 Reactions
591 Replies
232K Views
Niulize chochote kuhusu samaki wa mapambo au urembo mawasiliano 0712505049
4 Reactions
53 Replies
5K Views
Mambo vipi wadau nataka kufuga ng'ombe wa kienyeji vijijini bajeti yangu milion 5. Nataka ninunue ndama 1@150000tsh niwakuze kwa miaka 3 then niwauze je? Ni changamoto gani nitakumbana nazo...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Natafuta Mashamba ya Bei Rahisi kwenye Mikoa ya Kagera na Tabora. Mashamba yenye ukubwa wa zaidi ya ekari 50, yawe na upatikanaji wa maji ya kutosha na hali bora ya hewa. Mwenye taarifa za...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari za mida hii wanajamvi. Naomba msaada kwa yeyote anae fahamu ni wapi na weza kupata viazi mkoani Mbeya au Njombe. Bei iwe ya jumla ya shambani na pia gharama za usafiri zimekaaje? Kwa...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Leo ningependa kuzungumzia hii biashara ya kuku inayofanywa na baadhi ya wafugaji ambao mwisho wa siku wanazalisha vifaranga na kuwauzia wajasiliamali wengine. Somo hili ni mahususi kwa wale...
33 Reactions
110 Replies
36K Views
Kwa mwana JF yeyote mwenye ujuzi na uzoefu wa kilimo cha viazi naomba anipe detail kuhusu kilimo hicho. Yaani kwa mfano, nikitaka kulima hekari moja natakiwa kuwa mtaji wa kiasi gani? Na vipi...
3 Reactions
161 Replies
133K Views
Wadau, Nimepata habari rifiji ni mgodi mpya wa upatikanaji wa ngombe na mbuzi kwa bei nzuri. Naomba yoyote mwenye ufahamu wa hili na connection anijuze!
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…