frem nzuri ya biashara inapangishwa sh.laki moja kwa mwezi.! ipo tegeta ccm mita 50 kutoka barabara kuu iendayo bagamoyo kwa anayehitaji plz call 0717483440
Serikali kupitia kampuni yake ya mashamba ya miffugo, NARCO imealika wawekezaji toka nje na ndani ya nchi kuwekeza katika shamba la mifugo la Ruvu, mkoa wa Pwani. shamba hilo lina uwezo wa kufuga...
Za leo wakuu. Najipanga ili Mwenyezimungu akipenda nijiingize ktk production ya mafuta ya alizeti. Naomba msaada Wa yeyote anayejua upatikanaji Wa mashine ya kusagia alizeti uko vipi.
Kwanza wana jf oyee kwan hakuna mtandao wowote wa kijamii dunian nauheshim kama JF,
Nije kwenye point mimi natengeneza vitu tajwa hapo juu.Hata sasa nipo kanda ya ziwa nasambaza batik za...
Habari wakuu.
Pamoja na kuongelea mafanikio na mikakati yetu ya kujikomboa kimaisha kwa njia halali nimefikiri ni vyema pia tuhadisiane na kuelezeana kuwa ni biashara gani ulishawahi fanya na...
Nikuku machotara light sussex wanavumilia magonjwa na hutaga mayai mengi sana jogoo wake ni wakubwa sana hata mitetea yake huanza kutaga wakiwa na miezi minne na nusu tu karibu pia pata bata...
Nimechaguliwa kujiunga na chuo kikuu cha CUHAS (BUGANDO) kusoma DOCTOR OF MEDICINE! nyumbani hali ngumu nimefanikiwa kupata msaada kutokta kwa watu mbali mbali kulipa michango na nimebakiwa na sh...
Mjasiriamali mwenzangu,yakupasa kufanya biashara kwa manufaa ya leo na kesho! Anza kidogo upate uzoefu kisha ongeza wigo wa mtaji ili kuweza kutumia maliasiri zilizopo kwa ufasaha zaidi kwani...
Leo nilikuwa kwenye Viwanja vya 7 7 kwenye maonyesho ya Bidhaa za INDIA maKAMPUNI mengi mapya yamekuja kwa mara ya kwanza kutambulisha Product hata Ofisi hawana Inaonekana hapa kwetu kuna SOKO...
Wadau hodi kwenye jukwaa..baada ya kutembelea jamiiforum kama guest kwa miaka miwili mfululizo,hatimae jana 15/09/2013 niliamua kujiunga rasmi na mtandao huu,ambao umejaa vichwa vyenye mawazo...
Wadau wa jm.forum naomba msaada kujua ni kampuni ipi yenye bei poa katika
1. domain registration bei gani??
2. kuhost web site bei gani ??
Ntashukulu sana any help I will get kuna uwezekano...
Nimekuja na tamaa ya uchimbaji madini,naomba kuelimishwa utaratibu ukoje katika masharti, vibaya na hata leseni inagharimu kiasi gani?gharama anategemea ukubwa wa kitalu ?natanguliza shukrani.
Kijana mwenzenu nimepewa hela na kaka yangu kama mtaji wa kuanzia biashara yeyote. Nina digree ya uhasibu. Akili yamgu yote nilikua nimeweka kwenye kuajiliwa tu.Nimetafuta kazi weeee...nimechoka...
habari zenu wana jf, naombeni ushauri wenu juu ya sehemu nzuri inayofaa nataka nifungue play station, watoto hata vijana waje wacheze game, nipo dar es salaam, hata kama kuna anaye pangisha frem...
Habari wana jf.mm ninaishi morogoro nina fedha tasilimu milio tatu tu naomba msaada wa ushauri wa biashara madhubuti ambayo inanweza kuifanya ila pia nipo tayari hata kwa tanga kuhamia kama kwa...
ndugu nina mtaji wa 5 million naomba ushauri wenu biashara gani naweza kufanya ikalipa? niko kibaha pia nafikiria kusafirisha viazi mviringo toka mbeya au vitunguu kutoka ruaha mbuyuni hadi dar...
Wakuu,
Naomba kwa anejua links muhimu zinazotoa elimu ya ujasiliamali aziweke hapa.
Naamanisha Vitabu,blogs,websites,etc Naamini tutazidi kuelimika kupitia link hizo
Karibuni Wadau!
wadau wa ujasiriamali poleni kwa majukumu ya kujenga uchumi wenu na taifa bila kusahau mafisadi.
Nimechukua hatua ya kuandika uzi huu baada ya kuona jambo hili linajirudia mara kwa mara na watu...