Mi ni mfanyakazi wa serikali na nina miaka miwili sasa na ninapokea net 250000 ninahitaji sana mkopo wa kiasi tajwa hapo ili niweze malizia ujenzi wa nyumba yangu niliouanza miaka mitatu...
kwa sasa nipo field mbeya nasoma tanga chuo kkuu cha eckernforde! nina kiprot kama heka 1 je naweza enda bank na kukopa ili nifungue biashara? hati milik nnayo
Wana JF nahtaj kufungua biashara ya kuuza viatu(simple), kama converse, snika na vyovyote ambavyo vipo simple zaid na quality(grade 1) vya mtumba. hvyo anaeuza kwa bei ya jumla au anamjua mtu...
Wakuu sjajua kwa huku kwetu ila Kwa wenzetu eggs shell ni dill sana na huwa hazitupwi kamwe, ni biashara kama ziivyo biashara nyingine.
Nimeona kwene nchi kama Kenya wao eggs shell hukusanywa na...
Wakuu, kama kuna mtu anaweza kunielekeza mahali nitakakozipata aina hizi za kuku kwenye picha tuwasiliane please. Natamani kuwafuga kuwafuga wakuu kwani wanapendeza sana.
karibuni wadau wote wa mifugo kilimo na biashara.
natoa ushauri wa mambo hayo hapo juu
naweza pia kutibu magonjwa mbalimbali ya mifugo,kilimo. pia ushauri kuhusu lishe na pia michanganuo ya...
Wadau, Nilikuwa na mtaji mdogo nikanunua kiwanja kimoja nikakipiga fance ya wavu baada ya miezi 6 nkakiuza bei mara tatu ya niliyonunulia. Nikanunua viwili nikavipiga fance nishauza kimoja na...
naomba msaada tokwa kwa wajasiliamari wote
ningependa kujua garama za kufunngua/kusajiri company limited by share(garantee), process yote
i will apreciate it very much kwa mchango wowote ntakaopa
Wakuu,
polen kwa majukum
sina uhakika sana ila kuna tetesi kuwa serengeti breweries wana program ya kununua mtama kama mal ghafi ya bia na aina ya mtama unaotumika ni pamoja na;
1. PROSO...
ROSE NA ALNASHIR NI WAZALIWA WA NACHINGWEA NA TABORA, TUME FUNGUA HOTEL (BED & BREAKFAST) ,"THE ROSAL STONE TOWN HOTEL" MAENEYO YA KOKONI, HOUSE NA 1226 STONE TOWN ZANZBAR,NI DAKIKA MOJA KUTOKA...
Leo npo mbeya,nikiwa huku huwa naishi maeneo ya block 't' jiran kabisa na chuo kikuu cha teofilo kisanji(teku).sasa leo kuna semina inaendelea hapa imeandaliwa ma clouds fm na na miongoni mwa...
Habar wapendwa,
Wajasiliamali wa kahama na maeneo jiran nawajulisha nipo kahama na vikoi vya pekee kabisa kahama nzima wamesaluti hakuna duka vilipo.So kama upo kahama ucpitwe vimebaki vichache...
Nina sikitika sana kuwa watanzania wengu tumekuwa sio wakweli na tumedeula matapeli tumetapeli wageni mpaka sasa uaminifu haswa kwa sisi vijana tunaoanza biashara umekuwa ni jambo ambalo hatuna na...
Wanajamvi polen na majukumu ya ujenzi wa Taifa.Mimi ninaomba wajasiliamali tushirikiane kwa sisi wenyewe kuuziana bidhaa zetu mf:mimi ni mtengenezaji wa batiki nahitaji vitambaa vya pamba,rang za...