Wadau heshima mbele,nimeanza kufuga kuku wa kisasa wa nyama!
Napenda ushauri wenu juu wa masoko ya kuku hao hasa kwa wanunuzi wa jumla!ninaanza kuku 1,000 .Naomba uzoefu!PM kwa uharaka zaidi
Habari,Wadau mimi ni mwalimu nina bachelor ya education,nimejichanga nimepata vijisenti kama m.5 na ushehe,nikiangalia changamoto za ualimu napata hasira sana natamani niende nikasome shahada ya...
Kuna maeneo ambayo sijafika lakini i have strong feeling kuwa kuna fursa nyingi za kijasiriamali,hivyo basi naomba kujuzwa juu ya fursa zilizopo ktk maeneo yafuatayo
1.Ifakara
2.Lushoto...
Habarini wanajamvi,
Natamanin sana fajya biashara ya alizeti mkoani singida ila sina details za kutosha mwenye data au uelewa wowote juu ya biashara hii tafadhali
Wakuu habarini zenu,
Napenda sana biashara ya nguo, ipo tu damuni. Nimejarbu enda kutafuta nguo nchi Uganda mara kama tano hivi ila nimeona yale maduka na mimi sio mzoefu sana. Kampala msaada...
Habar za jion wanaJF,
Naombeni ushaur wa biashara gan niongeze kwenye duka langu. Kwa sasa nafanya Mpesa na Tigo pesa ambazo zina nipa faida km ya 120,000 baaada ya kulipa pango,umeme na...
Habar za jion wanaJF,
Naombeni ushaur wa biashara gan niongeze kwenye duka langu. Kwa sasa nafanya Mpesa na Tigo pesa ambazo zina nipa faida km ya 120,000 baaada ya kulipa pango,umeme na...
Hello JF members,
Kuna issue ya ku-export bidhaa fulani kwenda EU (kwa kutumia ndege). Sasa naomba mtu mwenye uzoefu na shughuli kama hii anipe insight information kidogo.
Ningependa kujua...
Kuna jamaa yangu amenunua truck na trailers kutoka Netherlands kwenye kampuni flan hivi.
Aliwasiliana nao na kutuma pesa toka mwezi juni mwanzoni, tatizo limekuja kwenye shipment ya hizo trucks...
Hi guyz, me ni mwanamke mjasiriamali. Nilipatwa na mitihan fulan ya kimaisha lakn namshukuru mwenyez mungu nimesimama tena kwa miguu yangu. Lengo la kuja kwenu ni kuomba msaada wa kukopeshwa elf50...
jameni wanajasilimari , naomba msaada kama kuna mtu anajua
garama za kutengeneza kipindi cha tv cha dakika 60
garama cha kurusha kipindi cha tv cha dakika 60, na maaanisha airtime charges...
Ndugu wadau naomba ushaur wenu,nna mtaj wa sh 1ml nataka kuanzisha biashara ,je n biashara gan inanfaa?nakwamba itawah kunpatia faida kubwa kwa wakat mfupi?ASANTEN
hi
we are please to announce new audio books available:
1. 7 Habits Of Highly Effective People By: Stephen R. C.
2. Inferno by Dan Brown
3. Zealot: The Life and Times of Jesus of Nazareth.
4...