Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Hii kamuni iko Arusha na inascheme kama ya DESI.Unarusisawa kupanda bila kuzuna.Niliwatembelea siku moja mitaa ya Kijenge kujua kulikoni lakini maelezo ya wahusika hayana msikom wa kisheria...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Me na marafiki zangu kadhaa tumejiorganise ili tuwe tunatoa misaada kila mwisho wa mwezi kwa yatima, wajane , wazee na kundi lolote la watu ambao ni neglected na wana uhitaji wa huduma mbalimbali...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Serikali imeamua kuwafutia kodi wafanyabishara wakubwa wa mchele Ili waingize mchele kutoka pakistani...hatua hii niusariti kwa wakulima wakitanzania kwani Imeharibu soko landani na kuwatengenezea...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Wadau naomba ideas zenu kuhusu printing ,nilikuwa nafikiria kufungua sehemu ya kuprint tshits,plates,vikombe na mengineyo,je ni machine gani nzuri au ambayo itafaa kwa shughuli hizo?je kwa wenye...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naitaji kuwa wakala ila naomba kuwajuza wanajamii yeyote anaeuza au anaemfaham anaeuza line za uwakala anijuze plzzz
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Mimi niko morogoro kwa yeyote mwenye kufahamu wadau wenye kufanya michakato ya kupata laini ya uwakala tigo pesa wanitafute kwa namba 0765512663,0719510163.kwa sasa najua wamesitisha kutoa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
habarini . Nahitaji kiasi cha laki nne (400,000) . kwa ajili ya kuongezea kufikia mtaji ambao utaweza kuanzishia biashara ninayohitaji kuifanya hivyo basi ,nina photocopy mashine (canon NP1215)...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana jamvi wenzangu, leo nimeona nije na jambo la kushare nanyi kwani nimeona wajasilia mali wenzangu wakiongelea biashara na ujuzi wao waliokuwa nao na kushare nanyi, nawapongeza wote kwa...
3 Reactions
2 Replies
4K Views
NAOMBA MSAADA WAKO MWANAJF: Habari wanaJF wenzangu, kwa kipindi sasa nimepitia nyuzi nyingi na kuzisoma, nimekuwa najifunza fursa nzuri kabisa ya ufugaji wa kuku, ila ningependa kupata elimu juu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Juzi juzi nimeenda CRDB bank kuomba mkopo, ile ya wafanyakazi, baada ya kusikia wameshusha interest rate toka sijui ngapi hadi 17 or 18 (sikumbuki vizuri). Nilipofika nikapokelewa vizuri na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habar wan Jf. Nimefurahi kufika kwenye jukwaa hili. Nachohitaji ni msaada wa mawazo. Mi nimemaliza Bachelor mwaka jana, but mpaka leo ajira kwangu ni ndoto kuipata. Nimeamua kuwazia biashara...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu Kuna watu wamekuwa wakiniulizia ideas za biashara lakini wakiwa na mitaji midogo chini ya 500,000 sasa nimeona ni share ideas chache nilizonazo ili vijana wengi waweze kujiajiri na...
2 Reactions
11 Replies
7K Views
Mfano mtu ana mtaji wa laki5,anaweza fanya biashara gani ambayo itamuwezesha kuongeza mtaji huo had kufika labda milion 5 hivi.na kwa kukadirika itachukua muda gani.naombeni ushauri na mawazo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba kujuzwa hapa dar ni yad gan wanauza gari nzuri in cheap price plz
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Wakuu, naomba ushauri kuhusu biashara ya kutuma fax. Nina stationery yangu Tabora, nafikiria kuweka huduma ya fax manake kuna mteja mmoja mmoja wanapitaga kuulizia hii huduma. Kwa vile sina uzoefu...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nina Sh laki tano. Naomba ushauri nifanye biashara gani ili NITOKE!
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Habari Kwa anayejua wapi naweza nunua mifuko tupu ile ya viroba aka sulphate kwa jili ya kufungashia bidhaa zangu, anipe mawasiliano.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Me ni kijana. Wa miaka 26 Naomben msaada wenu natumai mtani saidia Nina shilingi milion 2 je hizi hela zitafunguwa kitega uchumi kipi ili kini lete faida wakwabwa natumai mtanisaidia na mawazo
0 Reactions
0 Replies
812 Views
hivi ukutaka kuwa wakala wa tigo pesa,inagharimu kiasi gani, na mpesa inagharim kiasi gani, airtel pia,?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa wajasiliamali wanaonata kujikita kwenye mambo ya utendenezaji na kudisign kadi mbalimbali za mialiko ya harusi, send off, kitchen party, maulidi, kipaimara unaweza kunicheck kwenye namba 0718...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…