Habari, wakati wengi wakiendelea kutafuta mitaji ya biashara nimeona si mbaya kama tukipeana riziki. Nina deals mbili kama ifuatavyo:
1 - Nahitaji mtu binafsi wa kunikopesha kiasi cha milioni 100...
habar wana jf, kwa muda mwingi nimekuwa nikiwaza ni biashara gani naweza kufanya pasipo kupata jibu nina mtaji wa sh.2m je nibiashara gan naweza kufanya! Pleas jaman naitaji msaada wenu jaman
mimi ni kijana niliyemaliza form six, nimepata kamtaji shilling milioni moja, nataka kufanya biashara, ila mpaka sasa sijui nifanye biashara gani, naombeni ushauri wenu wanajamvi.
Ndg wana jf,hivi karbuni nimepata sh laki saba ni zaidi ya mwezi sasa..najiuliza niifanyie biashara gani?
Naishi kigamboni dar and am 22yrs.
Nisaidieni jaman niko siriaz 100%.
Wakuu kuna fremu zinapangishwa Morogoro.
Ziko 5 mahali pamoja - ingawa moja imeishachukuliwa na imeanza biashara tayari. Fremu ziko maeneo ya B-Z hotel. Actually, ziko eneo kati ya B-Z na...
Ndugu zangu wana JF, mimi ni mhitimu wa chuo kimoja hapa nchini,nimesomea mambo ya ujasiriamali haswa hivyo inabidi nijiajiri mara baada ya kuhitimu na muda wenyewe ndiyo huu. Ubunifu ninao tena...
Habari zenu wadau. Katika michakato yangu ya kaz nataraj kupata sh. Mil. 5, napenda kuzifanyia biashara kuliko kuziweka tu mahali. Ninaishi Dsm, naomba msaada wa mawazo kwa yeyote, biashara gani...
Hii inalipa au?
Kuna mtu kaniambia anao mzigo nimtafutie masoko ya nje ya nchi lakini mimi sijui cha kufanya kwani naskia ma Chinese ndio wanunuzi wakubwa lakini hapa bongo nako naambiwa kuwa...
Habari ndg wana JF.
Napenda kuwajulisha kuwa sasa hauna haja ya kuangaika kutafuta huduma ya usafiri unapokuwa na shughuli yako ya Harusi, Msiba au Any tripe Tour.
Tuna magari aina zote ya...
Habari zenu Wajasiriamali!
Leo nimekuja na wazo la kutengeneza muongozo wa mkulima(user guide). Wazo hili limekuja baada ya mimi banafsi kunufaika na maelezo (nondo) yanayotolewa humu kuhusu...
Ndugu wadau wa ukurasa huu mi ni kijana ambaye nimeamua kujiajiri na kwa sasa nipo kwenye mchakato wa kutafuta soko la mafuta ya ubuyu haswa haswa kwa wale wanao chukua kwa jumla. kupitia ukurasa...
Wakuu kama kuna anaye hitaji hizi Mashine basi tuwasiliane, ni Made in China ila zina Ubora mzuri sana katika kutotoresha Mayai na unaweza totoresha mayai ya Kuku, Kanga, Bata, na Hata Ndege...
Tarh 29/10/2012 niliweka post yenye kichwa "Asanteni jamiiforums,hatimaye nimeanzisha mradi wangu lakini bado changamoto zipo".
Leo napenda kuwashukuru wote kwa mawazo yenu pia kuwarejeshea...
HABARI WANA JF.
Nimeamua kuanza ujasiriamali wa kulima pilipili na nyanya chungu huku morogoro.
kwa kwenye taarifa kuhusu soko la hizo product anijuze.
Wadau naombeni msaada kwa wale watu wanaojua kampuni zinazosafirisha vifurushi toka USA kuja Tanzania mbali ya USPS,FEDEX na DHL anisaidie kujua ikiwezekana na mawasiliano yao!asanteni
Waungwana, Kuna mjasiriamali kilimo ambaye anataka kuanza biashara ya mazao mbali mbali yanayostawi kwa muda mfupi kutumia kilimo cha umwagiliaji, mkoani Morogoro. Anaomba ushauri wenu...
Nina mpango wa kusupply maziwa fresh toka kibaha kuja maeneo hapa dar. Ni watu gani ni wa kuwaona wataonunua kwa bei nzuri. Coz, ntakuwa nikinunua kwa 1200/- kwa lita, nina kuna uwezo wa kupata...