Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Wana JF habarin! polen na majukumu, kwa kifupi mimi nina wazo la kujiajiri kwenye kilimo cha mboga mboga kwa umwagiliaji maeneo jirani na DSM, kwa yeyote nahitaji ushauri ni yapi maeneo...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nunua trey10 za mayai chemsha zungusha mjin maeneo karib au ndan ya stand, trey10 ni sawa na mayai mia3 uza sh mia3 kila moja Faida 300x300 toa elf50 =elf40 ukiweza pata vijana na kuza tray10...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nyote mnajua kwamba ule muarobaini tulioahidiwa na TANESCO kwamba mgao wa umeme ungekwisha, SASA HAUPO TENA. Kinachotakiwa ni kuiweka TANESCO kando na kusonga mbele. Nina mawazo thabiti kuhusu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wale wazoefu wa m.pesa naombeni ushauli...nataka kujihusisha na biashara ya m-pesa ...je ina lipa? Kama inalipa ni kwa kiasi gan?principal gan zinatakiwa ili ilipe zaid na zaid? Na changamoto...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Ni mjasiriamali niliuza korosho kwa mfumo wa stakabadhi ghalani tangu tr.15 September, mpaka leo nasikia hawajaanza kulipa' please kwa mwenye kujua naomba anifahamishe'
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau habari!nakuja tena jukwaani kuomba kupata ushauri juu ya biashara ya chaki(chalk),nilibahatika kupata kimasheni cha kutengenezea chaki kama zawadi toka kwa wadau fulani wa nchi ya...
0 Reactions
3 Replies
12K Views
Incubators ni Kifaa kinacho tumika kuangulia mayai, na hufanya kazi ambayo kuku hufanya, Ila tofauti na Kuku ambaye hutumia bilogocal katika kuatamia Mayai, Incubators mara Ntingi huhitaji akili...
2 Reactions
1 Replies
5K Views
wakuu wana Board poleni kwa majukumu mazito mlionayo.Hoja yangu ni kutaka kujua ufanisi wa mashine ya selcom na hudama zake zote ukilinganishi na ile ya Maxcom,mimi ni mtumiaji wa mashine ya...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
  • Closed
Naomba kujuzwa kwa hapa dar machinjio yako wap naitaj uza nguruwe wangu
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Wadau tushirikiane kukumbushana maisha sio kuajiriwa peke yake. Vijana wengi wamedhani kuwa maisha pekee ya kumwezesha kushi ni kuajiriwa kwenye makampuni au serikali ndipo maisha yaweze kusonga...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Samahani kwa usumbufu wajasiriamali wenzangu ila Gunia la Mpunga linatoa kilo ngapi za mchele??
0 Reactions
7 Replies
16K Views
Wana JF, Natafuta kampuni inayo print PVC lables au stickers. PVC lables hizi zinabandikwa kwenye mifuko au chupa za kufungi bidhaa mbali mbali. Naweka mfano wa PVC lables hapa chini, asanteni sana.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wajasiliamali wenzangu naomba kujulishwa kama kuna association ya mazao hayo tajwa. Halafu kama kuna mtu mwenye uelewa wa masoko ya nje. Procedure gani za kufuata kuyapata.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakubwa heshima mbele, Naomba kujua mahali wanapokamua alizet hapa dar. Nafikiria kulima zao hili ukanda huu wa pwani lakini sijajipanga kununua mashine ya kukamua, hivyo ningenufaika kama mtu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wapedwa naomba anayejua soko la asali anijulishe nipo tabora
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wakuu habari zenu kwa wale wazoefu wa hii huduma ya mpesa na tigo pesa na mpango wa kujiajili je inagharama gan kufungua kwa zote nawasilisha
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu, nimekuwa nikivutiwa sana na ushauri mnaotoa juu ya mambo mbalimbali. Ushauri unaotolewa huwa unanipa moyo sana. Mimi ni muajiliwa kwa miaka 13 sasa katika sekta binasfi...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
NDUGU ZANGU KUNA WATU WAPO MAKAZINI NAWANGEPENDA SANA KUJISHUGHULISHA NA SHUGHULI MBALIMBALI ILI KUJIONGEZEA KIPATO LAKINI WANAKOSA MUDA NA WASIMAMIZI. KUNA WATU WANA FEDHA LAKINI WANAKUMBANA NA...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndugu wana JF, Heshima Kwanza. Baada ya utafiti wa mudu mrefu, imefahamika kua tatiza kubwa la wakulima ambao ndio asilimia kubwa ya wananchi wa Tanzania, wenye kipato cha chini waishio vijijini...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu zangu mimi ni mkazi wa Mwanza, kijana wa elimu ya chuo kikuu ktk masomo ya biashara. Kwa sasa nakaa tu sina ajira ila nina mtaji wa sh milioni 2. Nimewaza nianze kufanyia nini nimeshndwa...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…