Mfano; unalima VIAZI VITAMU sasa hivi target ni mauzo muda wa ramadhani na ndiyo mda wa kuvuna huo.
Bei zinakuwaje?
Gunia shiling ngapi?
Nahitaji ya kulima yapoje?
Jamani naomba msaada ni mbolea zipi zinafaa kupandia mahindi na mbolea zipi zinafaa kukuzia mmea wa mahindi?
Je, na mbolea ya urea ni mbolea ya kupandia au kukuzia?
Sijui jina halisi la kitaalamu lakini suala lenyewe lipo hivi.
Nikiwa mdogo nilishawahi kuona hii kitu kijijini, leo hii na mimi nataka nikafunge udongo kwenye tawi la miti ya milimao na...
Nyie vijana endeleeni kupiga majungu na uzandiki maskani sie vijana wenzenu tunaendelea kupiga maokoto kwenye kilimo just imagine kama mie naweza.kuingiza milioni 50 kwa mwaka wewe kijana...
Ndugu wanajanvi Salaam,
Nahitaji mtu alie na shamba tushirikiane Mimi nitaweka nguvu zangu na usimamizi asilimia zote endapo yeye atakuwa na majukumu mengine.
Lengo langu ni kupambana na kupata...
Ndugu zangu, mwaka jana July 2021 nilinunua mashine ya kusaga na kukoboa na kuifunga Tanga mwezi wa Septemba, 2021.
Mchanganuo wa Vifaa:-
1. Mashine ya Kusaga
Kinu size 75 - 1,200,000
Mortor...
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Alexander Mnyeti amebainisha kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amepania kuifanya sekta ya Uvuvi kuwa moja ya sekta...
SUKITA lilikuwa shirika la kukuza Uchumi na Kilimo nchini. Kwa 100% lilimilikiwa na Chama.
Kutokana na ukosefu wa Ajira ni wakati sasa lifufuliwe ili utekelezaji wa ilani uendane na vitendo.
Wapendwa ndugu zangu, majirani, marafiki na familia ya wakulima wa mazao mbalimbali maeneo tofauti nchini,.
Habari za kazi, majukumu na maandalizi ya msimu wetu pendwa wa kilimo?
Nimewiwa...
Habari zenu wakuu, Mimi ni mtaalam wa kilimo na ufugaji nimeupata ujuzi huu kutoka katika chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine Morogoro.
Natafuta mtu ambaye anatamani kuwekeza katika kilimo cha...
Habari wakuu, me ni mkulima mchanga ndo nimeanza kilimo, nina swali, hivi kuna dawa ya kuzuia mimea ya mahindi yasiliwe na wadudu yakiwa shamba au nisubir kama nitaona wadudu ndo nipulize dawa!?
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imeridhishwa na usimamizi wa fedha ujenzi wa miradi ya Umwagiliaji katika mashamba ya Taasisi ya Utafiti wa Mbegu (TARI) pamoja na Mashamba ya Wakala wa Mbegu...
Mageuzi ambayo yamekuwa yakifanywa na Serikali ya Rais Samia yamekifanya Kilimo kuwa sekta kimbilio na ya kuaminika.
Ikumbukwe miaka michache Iliyopita Kilimo kilikuwa kinaonekana ni kazi ya...
Wadau naomba mnijuze kwa wenye uzoefu.
Huwa nikienda magogoni ferry kwenye soko la samaki naona ni biashara ambayo hailali. Hebu mnijuze nikitaka kufanya biashara ya uvuvi baharini nini...
Habari za mids hii
Siku Kama nne hivi zilizopita nimenunua vifaranga 7 aina ya saso , sijawahi kufuga kuku ndo nimeamua jaribu , baada ya kuwachukua nilinunua starter 1Kg ndo wanaila ila hapa...
Habari wakuu,
Nimepata link ya jamaa wa Mtwara anadai korosho zinanunuliwa 1000 kwa wakulima na kwenda kuuzwa 1900 kwenye maghala.
Hii ni Fursa wakuu natafuta muwekezaji mmoja tu chapchap...
Ninataka mbegu na siyo miche.
Mwaka huu nilinunua zaidi ya miche 50 lakini baada ya kuanza kuchanua maua, nimebaini mingi ni midume. Nimeamua kutafuta mbegu nisie mwenyewe.
Ni wapi ninakoweza...
Watanzania ni bahati mbaya huwa tunapokea furusa mwishoni kabisa au hadi tuone kwenye TV au tutangaziwe na kiongozi.
Matunda kama Dragon fruits ni moja ya matunda ambayo ni commercial na pia...
1)Eneo shamba lilipo
Kabla hujaanza kulima zao lolote, hebu kwanza angalia mahala shamba lako liipo. Je linafaa kwa kilimo au kulima zao ambalo unataka kulilima. Katika eneo lako hebu zingatia...