Katika mkoa ninaoishi( Iringa) mbegu ya mahindi inayofanya vizuri sana ni Dk 777, ikifuatiwa na DK 9089, japo mbegu za kampuni ya seedco namba 409 na 403 zinajitahidi pia. Hii ni kulingana na...
Wakuu leo nimeshangaa hapa home kuna jirani alikuwa amechimba kisima cha chemchem baada ya kukitumia miezi kadhaa akakifukia yapita sasa mwaka akaamua kufukua kakutana na masamaki ya kambale hivi...
Wakubwa salam.
Nipo Mwanza mjini hapa. Naomba kuelekezwa maeneo yanakopatikana maduka ya jumla ya pembejeo za kilimo.
Na pia naomba kujua bei mbegu za mahindi Kwa mfuko wa kilo mbili. Aina ya...
Wanajanvi Salaam,
Matumaini ni muda muafaka wa kuingia shamba. Mimi ni mkulima wa mahindi lakini Kwa musimu huu naitaji kubadili kilimo. Mwaka huu nitajikita katika kilimo Cha mpunga.
Nikiwa...
Sungura ni mnyama mla majani, wanyama wala majani ni wanyama wa gharama nafuu kufuga maana huweza kula vyakula ambavyo wanadamu na wanyama wenye mfanano na binadamu hawali. Vyakula kama majani au...
Zao la nanasi ni zao ambalo kiasili ni zao linalovumilia ukame na ni zao ambalo la kibiashara lenye faida kubwa.
Kwa hapa Tanzania yapo maeneo mengi ambapo zao hili la nanasi linastawi ila katika...
Nilikuwa nasoma kitabu cha Marehemu Dr.Reginald Mengi kinaitwa
I CAN, I MUST,I WILL nikamnukuu akisema ndani ya kitabu chake tafiti zinaonyesha kwamba;
1. Bonde la mto Ruvu peke yake linaweza...
Wafugaji wengi wa Sungura wamebakia kufanya Biasjmhara inayo itwa Farmer to Farmer. Yaani anakuuzia na wewe ukafuge na wewe utayafuta mfugaji umuuzie akafuge na chain inaendelea.
Ni nadara sana...
Habari JF,
Leo katika pita pita zangu nimekaa nimewaza nianzishe ufugaji wa samaki ndani ya chumba nilichopanga,
Nikianza na samaki hata kumi naona watatosha,
Hii imekaaje wadau...
seem like...
Wanabodi, salaam! Wapi nitapata mbegu bora ya kisasa ya mbaazi? Nimepita maduka mbalimbali ya mbegu, nimekosa. Nimeenda hadi TARI-Ilonga, Kilosa (Taasisi ya serikali ya kuzalisha mbegu) nimekosa...
Chonde chonde Wataalamu wa utafiti wa Parachichi fanyeni hima mkajifunze Burundi au fanyieni utafiti Parachichi za huko ni Kwa nini zina Radha nzuri,laini na kutoa juice zaidi kuliko za Tanzania...
Nauza kuku aina ya SASSO. Wana wiki 11. Bado wiki 10 hadi 13 mitetea waanze kutaga.
-Jumla wapo 76. Wana uwiano sawa wa idadi..yani nusu kwa nusu na mitetea.
-majogoo unaweza kuyauza msimu wa...
Heshima zenu wakuu!
Nataka nianze kuliandaa shamba jipya kwa ajili ya msimu wa kilimo mwaka huu.
Kwa kuwa ni eneo ambalo halijawahi kulimwa, nimeona ni vizuri nikaupime kwanza udongo wake ili...
Ndu Wana jamvi, Mimi ni mkulima na msimu wa kilimo ndo huu umewadia.
Mwaka huu naitaji kubadili muelekeo Nina achana na kilimo Cha mahindi nataka kuelekeza nguvu Katika kilimo Cha mpunga
Katika...
Naomba kuuliza wana JamiiForums,
Hivi ni maeneo gani mpaka sasa kwa mikoa inayolima Mpunga kwa mfano Songea ni Maeneo yapi mashamba ya mpunga bado yanakodishwa au kuuzwa kwa bei ya chini?
Wadau,
Naoimba muongozo, nataka kuchimba bwawa kaajiri ya mifugo na kilimo cha umwagiliaji katika shamba lililoko bagamoyo. Muongozo wa jinsi ya kufanya hili na kama naweza pata mdau anafanya...
Nawasalimu kwa jina la jamhuri
Mwaka jana mwezi wa kwanza nilipanda migomba kama 30 katikaeneo la nyumbani napoishi. Kabla ya kupanda niliwauliza wataalamu hasa watu wanaotokea maeneo ambayo...
Habari zenu wana jukwaa la kilimo.
Nina shamba ninafanya kilimo cha mahindi. Nimenunua mbolea ya kupandia lakini muuzaji alichanganya akawapa vibarua UREA badala ya mbolea ya kupandia.
Naomba...
Kwanza sijui kama hizi habari mnazo.
Ilianza ka Kuzuia kuingiza mahindi baada ya mavuno na Sasa muelekeo ni kukomesha kununua kabisa mahindi Nje ya Nchi hususani Tanzania.
Kulingana na Rais wa...