"Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera, Nianze kwa kumshukuru Mheshimiwa Rais. Tumetajiwa mabilioni ambayo yanakwenda kuwekezwa. Mradi unakwenda kuwekeza zaidi ya Shilingi Bilioni 15, ni...
Nna kashamba kangu nataka nikaandae kwa kilimo ila mule shambani kuna miti ya mikorosho km 20 hivi mikubwa na ya saiz ya kati,,mm nataka kuikata then niichome mkaa ss mtu wa chain saw ananambia ni...
Habari Wapendwa wa Jamii Forums
Natafuta mkulima wa hizi tufanye biashara hii inaitwa English Cucumber kama inavyoonekeana hapa pichani.
Kama naweza pata mtu tuwasiliane kwa namba hii 0684-753836
KILIMO CHA MAHINDI YA KUCHOMA.
Dhana ya kulima mahindi na kuyauza mabichi kwenye soko kabla hayajafikia hatua ya unga mgumu inajulikana kama kilimo cha mahindi ya kuchoma au uzalishaji wa mahindi...
Ni vitu gani nifanye samaki wasife? nakumbuka wakati wa udogo kila nikifuga samaki wanakufa sikua najua sababu ni nini? Wengine walisema ni maji ya bomba sababu yana chlorine basi tukawa tunabeba...
Habari wana JF,
Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana kuhusu kuku wa kienyeji aina ya kuchi. Nimefanikiwa kuwapata kuku hawa, kwa wale wenye uzoefu na kuku hawa naomba mnisaidie je ni wenyewe...
Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alidhamiria kujenga miundombinu ya kilimo cha umwagiliaji kwenye bonde la Bugwema lililoko Musoma Vijijini.
Ujenzi wa miundombinu ya kilimo cha...
Habari wakuu,
Mimi ni mdau wa kilimo na ni mtaalam wa horticulture kwa maana ya profession na uzoefu. Kilimo cha horticulture kinahusisha mboga (vegetables) matunda (fruits), viungo (spices) na...
Habari wakuu, Nina plan ya kuanzisha mradi wa kufuga nguruwe, mbuzi na kuku wa kienyeji, Niko dodoma, nahitaji kijana mwamininfu mwenye taaluma ya mifugo at least certificate level, awe mvumilivu...
Tarehe ya leo, 14 Oktoba 2023, inatukumbusha mengi ambayo Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, alitufanyia kwa lengo kuu la kuboresha uchumi na ustawi mzuri wa Taifa letu.
Baba...
Wakuu poleni na hongereni na majukumu
Nimepata wazo mahali ninapoishi nipande mipapai ya kisasa sasa nahitaji mtaalamu wa kilimo cha papai za kisasa tukubaliane(nitamlipa) aje kuangalia eneo...
Kuna haya mazao hapa
Almonds
Macadamia
Cashew nuts
Palm
Nimeyafanyia utafiti sana na nimeona yana potential kubwa ya kutengeneza pesa.
Embu naombeni mawazo wadau. Kuna amefanikiwa kulima hayo...
Nimeanza kulima serious toka mwaka 2019, nikilima mahindi na viazi vitamu ndani ya misimu mitatu yaani toka 2022 mpaka sasa nimeweza kutengeneza faida ya 30M kupitia kilimo cha mahindi, viazi...
Wakuu poleni na pilika za kutwa
Hongereni sana kwa kumaliza siku salama,
Naomba kuuliza ni wapi kuna mashamba ya bei rahisi yanayostawi kahawa na migomba?
Ambayo hayana ukame sana natamani...
Habari za Majukumu wakuu....
Niko na shida na Kuku wangu wa kienyeji...
Ni Siku ya pili kuku wangu hachangamki hata kula awezi kula vizuri
Baada yakumchunguza nimekuja kugundua kinyesi chake si...
Wakuu poleni na pilika za kutwa
Hongereni sana kwa kumaliza siku salama,
Naomba kuuliza ni wapi kuna mashamba ya bei rahisi yanayostawi kahawa na migomba?
Ambayo hayana ukame sana natamani...
Wadau salaamu!
Noamba ushauri kuna fursa gani maeneo ya turiani (mvomero) hasa katiak upatikanaji wa mifugo hasa mbuzi, ngombe na nguruwe? Na pia fursa gani nyingine naweza kuwekeza huko na...