Wadau,
Naitaji mashamba ya kununua katavi wilaya ya mlele hasa, naombeni connections.
Pia naomba kujua upatikanaji wa mifugo huko na bei zake hasa ngombe, mbuzi na kuku wa kienyeji.
Ahsanteni.
Napenda sana kilimo cha zabibu, hata kama sio kwa shamba kubwa basi iwe kidogo tu kwa ajili ya matunda, lakini kwa hapa Tanzania huwa naona zinastawi sana Dodoma.
Sasa kwa wale wataalam wa kilimo...
HABARI WAFUGAJI NA WANAFAMILIA WA JEFF AGRICULTURE FARM
[emoji2788]Leo tunaenda kujifunza Namna nzuri na rafiki ya kuwaepusha kuku/vifaranga wetu na ugonjwa hatari wa (MDONDO/KIDERI/NEW CASTLE)...
Mwenye kujua hali ya hewa inayoruhusu hili zao kustawi na kuzaa kwa wingi tafadhali anijulishe.
Na ni sehemu gani Tanzania hili zao linastawishwa kwa wingi?
Asanteni
Katika kuabarishana...
Habari wakulima na wafugaji mimi ni mkulima mdogo msimu huu nimejaribu kupanda karanga na zimeota vizuri zina zaidi ya Mwezi mmoja, sasa kutokana na Mvua zinazoendelea mikoa ya pwani natamani...
Nigeria ni wazalishaji wa kubwa sana wa Muhogo Africa na Duniani kwa ujumla, Pia ni wazalishaji wakubwa sana wa Mahindi Africa ukitoa South Africa.
Kuna wakati Nigeria Muhogo wake ulikosa soko...
Bungeni kuliulizwa swali la kifungwa kwa ziwa tanganyika kutokana na samaki kupungua na moja kwamoja majibu yalitolewa kua suala la kufungwa lilichululiwa baada ya samaki kupungua.
Swali la...
Ni rahisi Sana Ila pia ni kazi uvuaji wake unaenda beach unawakuta kwenye maji madogo wako pweza wadogo unamchoma na mdeki ni kama nondo yenye chambo unamvuta kisha anakuvaa kwenye mkono ile mikia...
Mwaka jana nimelima mahindi mkoa wa Kagera ambayo nimevuna (kwa hasara) mwezi march mwaka huu.
Nimepata hasara kwa sababu hali ya hewa haikuwa shwari, wengi tumekosa mvua za kutosha mwanzoni hali...
Habari,
Huu ndo muda wa kupanda mpunga kwa sehemu za morogoro naomba kufahamu dawa za kuua magugu, mbolea gani itumike ili kuongeza kipato.
Na pia njia bora ya kutumia maana Ile ya kumwaga...
Kama inavyosomeka hapo juu wadau, nimelima mazao ya mahindi nikachanganya na kunde.
Changamoto niliyonayo nimechelewa kupalilia kwa jembe la mkono nataka nitumie dawa au "sumu" kupalilia
Shida...
KIJIJI CHA WAKULIMA NA WAFUGAJI STADI CHAUNGANISHWA KWENYE BARABARA KUU
Kijiji cha Kinyang'erere ni moja ya vijiji vinne (4: Bugwema, Kinyang'erere, Masinono, Muhoji) vya Kata ya Bugwema ya...
1. Watanzania wenzangu naomba tushauriane kuhusu hichi kitu kinachoitwa BBT ? 4. Kilimo
JE KILIMO NI UTI WA MGONGO WA NCHI YETU? - Ndio , watu wote milioni 61 tunategemea kilimo kutulisha nafaka...
MBUNGE NANCY NYALUSI ATOA MAPENDEKEZO KWENYE BAJETI YA WIZARA YA KILIMO BUNGENI JIJINI DODOMA
"Wananchi wa Mkoa wa Iringa Tunaishukuru Serikali sana kwa mpango wa ujenzi wa kiwanda cha kuchakata...
Habarini za muda huu wana jukwaa, mm ni mfugaji mdogo nikiwa najihusisha na ufugaji wa kuku pamoja na bata mzinga ila nimepata changamoto kidogo ya soko la bata mzinga ndio nikaona ni wakati...
MBUNGE BUPE MWAKANG'ATA AKICHANGIA HOJA YA BAJETI YA WIZARA YA KILIMO
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa Mhe. Bupe Mwakang'ata tarehe 09 Mei, 2023 alichangia hoja ya Bajeti ya Wizara ya Kilimo...
Habari wana jamvi Leo nakuja kwenu tena kueleza namna ambavyo Mkulima aliewekeza kwenye Kilimo cha kisasa kwa kutumia green house anavyoweza kupata faida
Naanza kwa kusema kuwa Kilimo ni Biashara...