Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Habarini za mchana wanaJF, naomba msaada wa hiki kilimo. Nahitaji kufahamu ni wap kinastawi vizur kwa Tanzania, ulimaji wake, dawa, mbolea, mavuno etc. Natanguliza shukrani.
3 Reactions
26 Replies
9K Views
🐓S&Q_GROUP_INTERNATIONAL LIMITED🐓 AGIZA NASI VIFARANGA BORA KWA VIWANGO VYA KIMATAIFA 0781647066 ____________________________________________ 📠☎️ 0781647066...
4 Reactions
19 Replies
689 Views
MIGOMBA - KANUNI ZA KILIMO BORA Hapa Tanzania kilimo cha migomba kimekuwepo Kwa miaka mingi. Kilimo hiki ni maarufu sana kwa sababu zao la ndizi limekuwa likitumika kama chakula kikuu kwa baadhi...
18 Reactions
273 Replies
172K Views
AFCON ya mwaka 2027 inapigwa Tanzania, Kenya, na Uganda. Sasa basi Afcon itakuwa na nyomi ya watu kutoka mataifa tofauti watao kuja kupiga kambi huku na kikubwa ni watakula, watakunywa. Sasa kwa...
10 Reactions
24 Replies
1K Views
Mbolea ya CAN inawekwa baada ya muda gani katika mmea?
2 Reactions
16 Replies
23K Views
Habari wana JF, Nimeleta uzi huu kwenu ili nipate msaada wa mawazo. Kuna rafiki yangu wa muda mrefu zaidi ya miaka 15 ambaye alinishirikisha kuhusu kilimo cha mpunga huko Tabora. Nilipokea wazo...
10 Reactions
30 Replies
1K Views
Pixie Orange ni yale machungwa tunayaona kwa Super Market yakitokea either Egypt au South Africa au Zimbabwe. Hizo nchi tatu ndio wazalishaji wakubwa wa Pixie Orange Africa. Yale machungwa ya...
15 Reactions
54 Replies
2K Views
Nahitaji fenugreek seed nipo mkoani Mara anayeuza anicheck please
1 Reactions
5 Replies
286 Views
Katika Orodha hio sijataja traditional fruits kama Ovacado na Mangoes kwa sababu hayo yanapatikana kwa wingi sana na hatu import kutoka nje ya nchi. Hayo nilio yataja tuna import kwa kaisi...
3 Reactions
11 Replies
703 Views
- Nguruwe watoto 20 @ 20000 = 400000 - Banda la mabanzi=1,000,000 - Chakula = 1,000,000 - Dawa= 200000 After 1yr: Nguruwe 20 watazaa vitoto kama 160,utachakuwa vitoto jike 100...
67 Reactions
2K Replies
821K Views
Kutega Mizinga ili iweze kuingia nyuki ni sehemu ya utalaamu unapaswa kufanyika kwa makini. Wafugaji wapya wengine wamekuwa wakitega bila kupata mafanikio kutokana na kukosa ujuzi, hapa...
6 Reactions
27 Replies
8K Views
Anahitajika kijana (miaka 22-26) daktari wa mifugo mwenye cheti au diploma kutoka chuo kitachotambulika na serikali kwa ajili ya kusimamia Shamba la mifugo kama Bata, mbuzi, ngo'mbe na ngamia...
3 Reactions
9 Replies
515 Views
Habar za mda ndugu zangu. Leo nmependa kujumuika na vijana wenzangu ambao hawana ajira na bado wanalilia ajira nawapa pole sana. NIANZE HAPA;mm ni kijana wa miaka26 Sasa, nilizaliwa mkoani Tanga...
7 Reactions
41 Replies
2K Views
MBUNGE WA JIMBO LA NGARA MH. NDAISABA RUHORO AKONGA MIOYO YA WAKULMA WA KAHAWA Mbunge wa Jimbo la Ngara Mheshimiwa Ndaisaba George Ruhoro amehudhuria Mkutano Mkuu wa Chama Cha Ushirika Ngara...
0 Reactions
2 Replies
145 Views
Habarini za saiz!? Kwa mtu anayefahamu kwa wilaya ya butiama ni zao gan la kilimo ambalo linalimwa katika maeneo hayo hasa zao kilimo la biashara !?
0 Reactions
5 Replies
217 Views
Habari Wanajamvi, Napenda kujuzwa kuhusu kilimo cha Ufuta kwa ujumla. Ni miezi ipi ya kuandaa shamba, ni mwezi gani wa kupanda, na mazao yanachukua muda gani Shambani, na ni mwezi gani hasa huwa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Great thinkers. Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu in case unafahamu kijiji chochote ambapo mashamba yanapatikana Kwa bei tajwa tujuzane. Ukitaka mali utaipata shambami. arifhi ni.mtaji...
20 Reactions
191 Replies
9K Views
Kulima vitunguu maji wakati wa masika kunahitaji kuzingatia hali ya unyevunyevu na udhibiti wa magonjwa kutokana na mvua nyingi. Hapa kuna mwongozo wa hatua kwa hatua: 1. Uchaguzi wa eneo Ardhi...
1 Reactions
4 Replies
574 Views
Habari za wakati huu Wapendwa. Binafsi nipende kuwashukuru wadau wote jamiiforum hakika nimejifunza mengi katika baadhi ya machapisho ya wadau nimekuwa motivated Sana kuingia kwa mara nyingine...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Kuchagua kati ya ufugaji wa samaki na ufugaji wa kuku inaweza kuwa ngumu kwa sababu zote zina uwezo wa kuwa na faida kubwa. Lakini unaamuaje? Huu hapa ni muhtasari wa haraka wa kukusaidia...
2 Reactions
21 Replies
775 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…