Dripp and irrigation systems installation tuna funga mifumo ya kisasa ya umwagiliaji na pia ukiitaji vifaa na machine za mashambani zinapitakana. We are providing irrigation installation services...
Siku za nyuma kulikuwa na shuhuda nyingi kuhusu zao la parachichi. Lakini ghafla kama ka upepo kamehamia kwenye Alizeti. Vipi bei imeyumba au?
Maana Watanzania tunapenda sana kufanya vitu kwa...
Kuanzia jana ilikua ni kicheko kwa wakulima hasa wa mikoa ya Pwani, Tanga na morogoro baada ya Mvua kurejea tena,
Wakulima walikua wamekata Tamaa, Mazao yalikua yanakufa na jua, ila Mvua...
Karibu sana kwa kunimiss muda mrefu sasa nimerudi tena kwa nguvu mpya, hali mpya na Kasi ya ajabu.
Kilimo biashara kwa manufaa ya vijana na taifa kwa ujumla. [emoji123]
Majani haya yaitwayo mchunga hupendwa sana kuliwa na sungura kwani ni machungu,japo baadhi ya watu huyatumia kama mboga.je kuna upatikanaji wa mbegu zake katika maduka ya pembejeo?
Jaman wanajamvi hii changamoto ya sisimizi ndani mnaifanyajr fanyeje.
Kuna dawa yeyote ya kuondoa sisimizi ambayo sio sumu manake naogopa watoto wadogo waliopo ndani kwangu.
Msaada plz
Habari wakuu, na kitalu Cha mbegu ya miti aina ya mitiki lugoba, nmepanda shambani kwangu imetoshelea, sasa kitalu bado kina miti mingi hivo karbuni sana mwenye kuhitaji kwa bei nzuri kabisa
Uhalisia wa kilimo kiitwaacho cha kibiashara (agribusiness). Kwa uelewa wa wengi ni kutumia mbolea za viwandani kwa wingi, madawa kwa wingi kwa ajili ya kuuwa wadudu. Pia ipo mbolea (kemikali)...
Je, maeneo gani nchi hii yanakubali zaidi hasa ndimu? Huchukua muda gani toka kupanda mapaka mavuno na garama zake ni kiasi gani kwa heka?
Karibuni wadau.
Wakuu Mimi ni kijana mpambanaji na mwaka huu nilitaka kujikita katika kilimo Cha mpungaa kwa umwagiliaji na nimependekeza kulimia Kapunga/morogoro
Hivyo basi naombeni muongozo katika hio
a...
Habar natumaini mu wazima
Nguruwe wangu anatoa ute mweupe sehemu yake ya Uke
Kiumri ana miezi 8.
Naomba kujua hiki kinaashiria nini?
NB:hajawahi kupandwa wala kubeba mimba
Kenya Itaanza kusafirisha Maparachichi Yake Nchini China Mwaka Huu
Na Tom Wanjala
Halmashauri ya Kilimo na Chakula nchini Kenya imefanya mabadiliko kwenye matakwa ya maparachichi ya kuuzwa nje...
Naomba msaada mimea yangu ya pilipili mwendokasi, matunda ambayo hayajaiva yanaonyesha hali ya rangi kama ubluu hivi (nimeambatanisha picha ) hilo ni kawaida au ni ukosefu wa nini. Natakiwa...
Yaani kilimo ambacho kimiajiri wananchi asilimia 85% kimetengewa billion 751 wakati wizara ujenzi na uchukuzi imetengewa TRILION 03 sasa hapa kuna nini? Utakuwa umeondoa umaskini wa hiyo...
Utitiri ni wadudu wadogo sana weupe hutokea kwenye mabanda ya kuku. Unapookota mayai au kufagia banda wanakurukia. Sijafahamu wanatokana na nini lakini huwa wanakera sana.
Ukitokea msiba...