Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Habarini wadau na wapambanaji wenzangu. Mi nimeanza mradi wa kufuga nguruwe na nimeanza na watoto. Wanguruwe 10. Majike nane na madume 2 ambapo madume hayo nataka. Niyahasi yakue fasta yaje...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Habarini wana jamvi, ninapenda kuwashirikisha jambo ambalo nililiona huko mkoani Iringa, wilaya ya Mufindi. Mwezi march mwaka huu 2021, nilienda kijijini kwetu huko mufindi, nikabahatika...
27 Reactions
141 Replies
25K Views
Habari! Kwa kipindi kirefu nasikia kwamba Kilimo chenye tija cha nyuki kinaweza kumtoa mkulima kimaisha! Na nikilimo kichokuwa na gharama kubwa, eneo wala muda mwingi wa kukifuatilia kwani...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Nielezee na jinsi ya kuipanda ikiwezekana tafadhali
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari za hapa wanajamii forum!! Naombeni msaada wenu kwa wanaojua tatizo la nguruwe aliekaribia kuzaa (amebakiza wiki 1) kutokwa na mapele kuzungukia titi. mapele haya yalikuwa na hali tofauti...
1 Reactions
5 Replies
891 Views
Unatakiwa utafute miti ya kubeba matawi pia. Tafuta karai chakavu, weka udongo na mbolea. Unaweza kuotesha mchicha na nyanya .
3 Reactions
3 Replies
660 Views
Habari wakulima na wafugaji wenzangu, Mimi ni mkulima wa Machungwa na Mahindi Muheza Tanga ila msimu huu nataka kujaribu kilimo cha Maharage, nimeandaa eneo la eka 2 ila eneo lina michungwa...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Wakuu salaam, Naomba mwenye kujua dawa ya wadudu wanaoshambulia mimea aina ya mahindi anijulishe.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nisaidieni wadau, huo ni ugonjwa gani wa bata? Unatibiwaje? Vifaranga vya bata wangu vinaisha kwani hupoteza uwezo wa kutembea kama muonavyo pichani kisha hufa. MSAADA WA HARAKA WA USHAURI...
3 Reactions
33 Replies
8K Views
Wana jamvi niwasalimu kwanza, na moja kwa moja niende kwenye mada. Asubuhi ya leo nimepokea taarifa toka kwa rafiki yangu mmoja aliyeko Dar akitaka kufahamu kwa nini mbwa jamii ya Rottwieler...
50 Reactions
402 Replies
93K Views
Habari za muda? Kwa yeyote anayefahamu wanapouza vifaranga vya sasso au Kroiler ndani ya Dodoma anifahamishe, au mwenye contact za wakala yeyote wa silverland aliyepo dodoma anipatie, usisahau...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Habarini wana jamvi, Kama kichwa cha habari kinavo jieleza nauhitaji wa mahindi kuanzia tani moja, kwa yeyote mwenye nayo aje na ofa yake tufanye biashara, au kama unafahamu yanapopatikana na...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Baada ya kujua manufaa ya Chia seesds nimeasmua kufanya majaribio ya namna ya kuzilima. Nimeanza na eka moja. Nimeshindwa kutafsiri maelezo haya kwa kiswahili, lakini kwa ufupi hii ni lishe...
5 Reactions
45 Replies
42K Views
Nimeikuta hii video mahali, inaonyesha ni jinsi gani Urusi inafanya kilimo cha ngano kisasa mno na kuweza kuzalisha kiasi kikubwa cha ngano katika eneo dogo sana.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za majukumu wakuu Mimi ni mfugaji mchanga nimekuja mbele zenu kuna changamoto ninachopitia kwenye ufugaji wangu wa kuku. Nina kuku wangu wawili wa kienyeji ni matetea namshukuru Mungu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
June 2021 nilianza kulima nyanya kwa kununua mbegu ya kipato f1 gm 2 kwa 20000/=,linkmil 1.5kg kwa 30000/=.DAP 5kg kwa 10000/=, foliar fertilizer 1kg kwa 5000/=, duduacelemectine 1ltr kwa 20000/=...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wakuu. Naomba kujua kuhusu kilimo na soko la almonds. Na ushauri kutoka kwenu kama ni kilimo cha kukimbilia hasa kwa binti kama mimi ambae ndo kwanza anaanza kilimo. Please nisaidieni kwa...
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Kitu ambacho kinafanya Mdalasin kuwa tofauti na mimea mingine zaidi ya kuwa kiungo bora pia utoa mafuta kutoka kwenye mizizi, gamba na majani, ambayo yana kemikali zinazotofautiana. HALI YA HEWA...
4 Reactions
9 Replies
8K Views
Wanajukwaa wenzangu kama yupo mwenye majibu ya tatizo naomba maelekezo, Ukweli tanzania tunasafari ndefu kwani ukosefu wa maabara za mifugo umewafanya ma afisa mifugo kuwa wapiga ramli...
1 Reactions
8 Replies
931 Views
Wakuu nauliza mashine za bei rahisi hasa hizi local za kusaga, kuchanganya na kutengeneza pellets za mifugo kwa hapa Tanzania zinapatikana wapi na kwa bei gani? Nataka hizi ndogo kabisa...
2 Reactions
18 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…