Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

JF Prefixes:

Jifunze Urban Gardening, tumia eneo dogo, rasilimali zinazopatikana kwenye mazingira unayoishi kujipatia mbogamboga, matunda na tiba zisizokuwa na kemikali za viwandani. Tumia mbolea za asili...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Mdau wa kilimo na ufugaji, sisi MDI, tumejitoa kufuatilia tafiti mbalimbali na kuzifanyia kazi, Kisha kuwafundisha wengine. Haya ndo Mambo tunayoshughulika nayo kwa Sasa 1. Kilimo bila udongo...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
MWONGOZO BORA WA KUKU WA MAYAI Utangulizi Kuku wa mayai wanafaida kubwa iwapo utawalea na kuwatunza vizuri. Kwa kawaida kuku anaekaribia kutaga (pullets) wanatakiwa kuwa na mifupa na misuli...
7 Reactions
43 Replies
18K Views
Mwenye kufahamu tiba ya hii kitu asaidie wadau. Huu ni ugonjwa ambao husumbua sana kwenye migomba na baadhi ya miti.
2 Reactions
3 Replies
922 Views
nguruwe akiwa bandani kutambua uzito wake ni shughuli kwa sababu hakuna mizani za kuweza kumpima akiwa hai kwa sababu ni msumbufu. Naomba kufahamu ni mbinu zipi za kutumia kujua au kupima uzito...
1 Reactions
27 Replies
8K Views
Tanzania tuna eneo la mwambao wa bahari kutoka Kaskazini mpaka Kusini lenye urefu upatao 1084km, idadi ya vyombo vya uvuvi upande wa Bahari ya Hindi ni pungufu ya vilivyo ziwa Victoria. Ripoti ya...
3 Reactions
8 Replies
3K Views
Kabla haujaamua kuingia katika kilimo cha biashara inakupasa kwanza ufahamu mambo muhimu ambayo yatakusaidia katika shughuri yako ya kilimo husika.Kwani yakupasa kutambua kila kazi ya kuingiza...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari wana jamvi ? Naomba msaada kwa anae fahamu dawa nzuri ya kuongeza uzito kwa kuku wa nyama! Nina kuku zangu zina mwezi sasa ila hazina uzito kabisa. Nawasilisha kwenu wana jamvi.
1 Reactions
16 Replies
6K Views
Habarini, Nimelima tikiti zinatambaa sasa, nilishawahi kuli a mara kadhaa na nikavuna. Changamoto iliyopo inayonifanya niombe ushauri kwenu ni kwamba tikiti zinapoanza kukomaa Kuna viumbe aina...
0 Reactions
1 Replies
791 Views
Wale wanaohitaji kuzielewa power tiller karibuni. Uzi huu utatumika kujibu maswali na majibu ya wadau ambao wamekua wakiniuliza mara kwa mara. Kuna aina kuu mbili za power tiller yaani Long hand...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wakuu,,, Naomba kuuliza wenye uzoefu na biashara za kuku, ni biashara ipi inalipa zaidi kati ya ufugaji wa kuku wa mayai au kuku wa nyama?? Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
1 Reactions
34 Replies
14K Views
Habari za leo wakuu, kichwa cha habari kinajieleza...nina ile fensi ya yebo yebo sasa kuna wale wadudu weupe(white flies) wamekuwa kero sana.. Nimetumia duduba na inaua sema ni kama imewazoea na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wna bodi Wiki iliyopita nilikua na ziara yangu binafsi katika baadhi ya vijiji vya mkoa wa Iringa. Nimejionea mashamba makubwa ya mahindi yanamwagiliwa kwa mitambo. Kwa sasa wenyeji...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Haya matunda nilibahatika kuyala nikiwa mdogo na wakati huo sikufanikiwa kujua hata yalikuwa yanaitwaje ila ninacho fahamu ni kwamba yana ladha nzuri sana ya utamu ambayo hauwezi kufananisha na...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Salute kwenu mabibi na mabwana. Mafanikio makubwa huja kwa ku-take risk kubwa vilevile. Ukikosa unakosa kweli unaweza usirudie tena lakini mzigo ukitiki unatoboa kweli kweli. Sasa mpango mzima...
19 Reactions
127 Replies
33K Views
Kati ya Massey, Swaraj na New Holland ipi ni bora na yenye nguvu zaidi?
1 Reactions
8 Replies
6K Views
Wadau poleni na majukumu Baada ya kipindi kirefu toka rafiki yangu anipe story juu ya zao la vanilla huko kwao Kagera na jinsi linalindwa haswa wakati wa kuvuna nilipata shauku ya kujua zaidi...
4 Reactions
26 Replies
4K Views
Habari! Wakuu naomba elimu kwa ufupi kujua hii mbegu ya alizeti anayogaiwa na serikali huko kwenye maduka ya pembejeo inauzwa kiasi gani kwa ujazo wa kilo mbili na je ni aina gani ya mbegu na...
2 Reactions
23 Replies
5K Views
hesabu kwa siku ya bajaj tsh ngapi wadau nipo dar na kulipia sumatra kuna umuhim
0 Reactions
22 Replies
16K Views
Naomba kwa mwenye ujuzi na huu utaalamu wa kutotolesha mayai kuku kwa kutumia pumba maana ni tegemeo langu kuwa kuna wataalamu weng kwenye masuala ya ufugaji Asante
1 Reactions
16 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…