Ndugu zangu,
Kuku wangu wamekumbwa na tatizo la ukungu kwenye macho yao. Jicho alivimbi ,muda mwingi analifumba. Rangi ya kile kiini cheusi cha jicho kinakuwa kama kina ukungu.
Je, nitumie dawa...
Poleni na uchovu wana JF,
Ninaomba kujua juu ya biashara ya uuzaji wa maharage, sehemu yanapopatikana kwa bei nzuri, soko linapaytikanaje na misimu ya kuuza?
Nitashukuru endapo nitapatiwa...
Kilimo kina mabadiriko kila kukicha na hii inatokana na teknologia kuwa juu, na jambo zuri sana hasa ukitambua umuhimu wa kwenda na mabadiriko hayo' pia ni vyema ukawa na ufahamu wa kutosha kuhusu...
Habari wakuu,
Kwa yeyote mwenye kampuni au anayemjua au mwenye credentials, zinahitajika tani 48 za maembe na mananasi Germany.
Mwenye anaweza plz njoo PM.
Hakuna utapeli, ni genuine
Habari kwa nyote.
Mimi ni kijana niliyoiona changamoto ya soko la mazao kwa wakulima wengi hapa Tanzania na kwa bahati mbaya haiko Tanzania peke yake, na nafaham wengi wetu tumeiona na kukumbana...
Wadau,
Nina kiasi cha Tsh. 1 milioni, je ninaweza kulima pilipili kichaa kwa hekari moja? Ni eneo gani zuri na mkoa gani mzuri kwa hicho kilimo? Pia soko lipoje?
By: Author Lydia Noyes
The hardest work of the gardening season is over, and you’re bringing in your potato harvest.
Or maybe you’ve visited your local farmers’ market and got a little carried...
Habarini za jioni wanandugu,
Nimekuja kwenu kuomba kufahamishwa au kuelimishwa namna ya kutengeneza chakula kwa ajili ya kuku, chakula hicho kikiwa na virutubisho vyote pamoja na madini yote...
Wakuu naomba msaada. Kuna tractor nimeziona kwenye mtandao za Afrika kusini aina ya massey furgerson series mbalimbali. Zinaonekana ziko refurbished, na ni kama mpya. MfanoF 290 inaenda bei ya...
Ni namna gani naweza kupata ongezeko kubwa la bata, nimekuwa nikishuhudia watoto wa bata wakifa ovyo katika maeneo niliyowahi kukaa na kushindwa kuelewa ni kwa namna gani naweza kuzuia hiyo hali...
Wakulima, chondechonde, acheni Mara moja kulialia na gharama za mbolea zennye kemikali kupanda Bei, jifunze kuzalisha mbolea ya asili kwa kutumia mmea wa Comfrey na mimea mingine yenye sifa. Sisi...
Habari wapendwa,
Samahani naombeni kufahamu kama nitaweza kufungua duka la mifugo mkoani Njombe wilaya yeyote ile ila napenda zaidi iwe katika mkoa wa Njombe:
1. Je, Kuna wafugaji wa kutosha...
Wengi wetu tunawajua hawa cricket make ni wale wanalia usiku, ila najua wengi hawajahi kuwaonja au hawajui kama wanaliwa.
Ukweli ni kwamba radha yake ni sawa na ya senene au kumbikumbi kwa walio...
Nategemea na nipo kwenye process ya kuzalisha Black soldiers fly ambao watatumika kama chakula cha mifugo ikiwemo kuku, nguruwe, samaki na vinginevyo.
Pia mabaki yake yanayopatikana yatatumika...
Nataka kufanya kilimo cha majani au chakula cha kulishia ng'ombe. Mbali na mahindi, naomba kujuzwa, ni majani gani naweza kulima kwa ajili ya kuyafanya malisho ya ng'ombe kipindi cha ukame?
Ninatafuta partner. Kulima naye Pamba kwa ajili ya kuuza. Tunawekeza pamoja baadae tunatafuta soko pamoja, lakini soko lipo.
Kama tutaendelea vizuri, tutaingiza mazao mengine.
Nitumie whatsapp yako
Habari! Naomba kuuliza
Ni nani kati yenu amewahi kusikia fursa ya ufugaji wa Wadudu Mende kama chakula cha mifugo yani kuku
Mwenye uelewa wa hili swala naomba aeleze kwa mapana zaidi, kwa kuanzia...