Mwaka juzi nilipita shamba la Alizeti la Mzee mmoja nikavutiwa na namna Alizeti yake ilistawi na ikiwa na afya.
Nikamfuata na kumpongeza sana kwa namna ameweza kuihudumia ile Alizeti akaniambia...
Na Gaspary Charles
WAKULIMA wa mwani kisiwani Pemba wameiomba serikali ya mapinduzi ya Zanzibar kuingilia kati upatikanaji wa soko la zao hilo ili kuwanusuru na hali ngumu ya maisha...
Habari wadau wa ufugaji
Naomba kujua gharama za kufuga kuku wa nyama idadi 500 kuanzia siku ya kwanza mpaka hadi kufikia mwezi kwa mtu ambaye anafanya shughuli hizo au alishawahi kufanya...
Kama mnavyofahamu wakulima tunapaswa kuongeza ufanisi wa kazi yetu hii kwa kuongeza matumzi ya zana bora za kisasa ,mimi mwenzenu nimeagiza mashine ya kupalilia inaitwa BRUSH CUTTER japo ina...
Wilaya ya Mbarali ndio eneo linalotoa 70% ya 32% ya Mpunga unaozalishwa Nchini ikiwa na Schemes zaidi ya 5 za Watu binafsina za Serikali.
Scheme ya Madibila:
~ Eneo ekari 23,005, Ekari 15,000 za...
Wapwa kwema?
Wakuu, naomba tupeane taarifa yoyote inayohusu hiki kilimo (niko interested nacho);
Mfano:
Wapi kinalimwa kwa wingi,
Mtaji wa kuanzia
Eneo lipi zuri la kulima
Eneo la kuanzia...
Arusha. Tanzania has a high potential for exports of avocado, the country’s latest green gold.
Close to 9,000 tonnes valued at $30 million were exported last year, up from almost zero seven years...
Habari wana JF,
Tangu nimwage mpunga wangu mbegu fupi Salu ya miezi minne, imepita miezi miwili ila nataka niupige booster ili ukue vizuri japo nilitupia urea kidogo wiki kama tatu zilizopita...
Habari wadau,
Ninashamba la ukubwa wa ekari 10 lenye rutuba nzuri na yakutosha linalofaa kwa mazao kama nyanya, vitunguu, mahindi, matikiti, mapapai, machungwa na migomba. Shamba lipo kilosa...
Habari,
Naomba kufahamu kwa wazoefu wa mkoa wa lindi, ni wilaya gani ina maji ya kumwagilia. Na kilimo cha mbogamboga huko kinafaa kufanyika. Ufugaji, ni wanyama gani wa kufugwa na ndege wenye...
Nimetoka kwenye mishughuliko yangu naingia ndani nakaribishwa na mivumo ya sauti za Nyuki zaidi ya kama mia moja hivi.
Nitumie mbinu gani ya kuwatoa bila kuwaua, na kama ni kuwapulizia dawa wafe...
Habarini za leo wana Jamii Forums
Nilikuwa napenda kuuliza mashamba ya korosho kwa mkoa wa Lindi upatikanaji wake umekaaje na vipi gharama za kununua eneo la hekari moja.
Msaada tafadhali kwa...
Wapendwa,
Katika jitihada za kupambana na umaskini, nilichukua kakichaka ambako nakasafisha kwa ajili ya shamba na shughuli za ufugaji. Changamoto niliyokutana nayo ni kuwa:
1. Kuna vichaka...
wadau habarini?
Msaada kwa mtu anaeishi Dodoma, natafuta mtu anaeuza kuku wa kisasa anaetaga mwezi kwa mwezi.
Nahitaji kupata hio bidhaa mara moja.
Kama yupo humu anitafute dm.