MAPARACHICHI YA TANZANIA YANAVYOUZWA NJE YA NCHI KWA KUPEWA URAIA MPYA
Tanzania imejizolea umaarufu kwenye nchi za kiarabu kutokana na maparachichi yanayolimwa na kusafirishwa kutoka kwenye Taifa...
Dhahabu ya Kijani (Green Gold) ni zao linalostawi vizuri katika maeneo yenye milima zenye mvua nyingi angalau nusu mwaka. Afrika mashariki linastawi vizuri katika nchi za Tanzania, Uganda Burundi...
Nataka nifanye kilimo cha parachichi, nimeambiwa zinalimwa Njombe na mkoani Mbeya has a wilaya ya Rungwe, swali langu ni wapi rahisi kupata shamba kati ya sehemu hizo, changamoto za maeneo hayo ni...
Kwanza kabisa nipende Kutoa Pole kwa Watanzania wote kwa Kuondokewa na aliyekuwa Rais wa JMT, pia niwape pongezi SADDIST wote waliofurahia kifo cha Hayati JPM.
Baada ya kusema hivyo naomba niende...
Nina stashahada ya ufugaji viumbe maji (diploma in Aquaculture), nipo Dar es salaam nimesoma kozi ambayo inahusiana na ufugaji wa viumbe maji wakiwemo samaki wa maji chumvi na maji baridi, ni moja...
Habari zenu ndugu zangu,
Ni wiki ya pili sasa nimeshindwa kutoa mzigo shambani milimani kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha.
Wenye fuso wanagoma kwa kuogopa kudondosha gari.
Nami ni lazima...
Habari zenu wana hili jukwaa?
Mimi nipo Dar nilikua natafuta mahala au mkoa ambao uko karibu na Dar ambapo nitaweza kupata wafugaji wa ng'ombe kwa wingi ili niweze kununua maziwa mazuri ya...
Wanajamii,
Kama kuna mtu ana utaalam wowote wa ufugaji wa bata naomba tupeane elimu ili tuweze kufuga kisasa kwa ajili ya kutengeneza kipato.
Naombwa kujuzwa wana jamvi na kupewa darasa kuhusu...
Wakuu kwema nimejaribu kufanya kilimo cha nyanya kwa hii season mkoa wa Kilimanjaro nyanda za juu kimsingi huku wengi sio wakulima wa nyanya kama ilivyo kwa ukanda wa kusini wa Kilimanjaro...
Habari !
Ngombe wangu wana tatizo. Kwanza walikua wanamimba wote wawili, then zlivyofika miezi minne - mitano zikatoka wote.
Baada ya hapo wamekua wakiingia joto lakini kila nikiwapandisha...
Wanandugu,
Naomba kupata namna ya kufanya kilimo cha nchi kavu.
Kama kuna mahali kuna bandiko zuri naomba kuunganishwa nalo.
Sijawahi kulima mpunga popote.
UTANGULIZI
Kwanza tuanze kwa kujiuliza ni kwa nini vifaranga huwa wanahitaji kuwekewa joto katika wiki za mwanzo?
Utaratibu bora wa ufugaji wa vifaranga unaelekeza kuwa katika wiki za mwanzo za...
Naomba msaada kwa anayejua kujenga Biogas plant: Nataka kujenga mtambo huo lakini malighafi itakuwa excreta na malighafi hiyo itatoka kwa watu kati ya 400 na 500.
Naomba msaada wa BOQ pamoja na...
Kwenda shambani inakua ni mateso kama mazingira ni mabovu. Weka kilimo mazingira mazuri ya shamba. Jiko la gesi, vyakula na maji. Saa ya kula unaandaa vizuri chakula mezani au kwenye mkeka...
Aina za miti ya maembe
Zipo aina nyingi za embe, hapa, tumeelezea chache tu, ambazo ni nzuri kibiashara.
Apple: Aina hii ya maembe asili yake ni pwani ya Kenya. Ina rangi nzuri ya njano au...
Wanabodi habari ya majukumu!.
Ninakuja kwenu na wazo langu na maombi kadhaa kwenu juu ya wazo hili.
Ninahitaji kufanya kilimo cha Papai katika eneo la Mkuranga.Ninapanga kuanza kilimo hiki kwa...
Habari za jioni wandugu,
Nimekuwa nikitafuta mmea aina ya San Pedro Cactus,jina la kiswahili sijafanikiwa kuufahamu, kwa yeyote anayeweza kunielekeza maeneo nayoweza kuupata kwa hapa Tanzania...