UTAFITI:
Wasichana wanapojilinganisha uzuri & watu maarufu wanaowaona kwenye mitandao huwafanya kutojipenda & kupatwa na sonona(depression).
DALILI ZA SONONA
1. Kukosa raha, kushindwa kushiriki...
Mimi nashindwa kuelewa kabisa watu (hasa wanaume) wanaovaa saa enzi hizi za dijitali kama wanafanya hivyo kwa makusudi au ni mbwembwe tu. Kwanini nasema hivyo? Siku hizi yapata 98% ya watanzania...
Nawasalimu wanajamvi wote!
Niende moja kwa moja kwenye dhumuni la uzi huu, Mimi ni jinsia KE na kuna kitu kimoja kinachonitatiza kuhusu ngozi yangu tangu nimeanza kujitambua katika kukua kwangu...
Asalaaam alyeikum! Bwana yesu asifiwe!
Imekua ni kawaida kwa ndugu marafiki na wapenzi kushindwa kuwaaambia marafiki ndugu au wapenz wao juu ya ugonjwa huu wa kunuka mdomo unaosababishwa na...
Habari wana jamvi.
Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa uzima tulio nao.
Twende kwenye mada yetu ya leo inayohusu staili ya nywele za kichwani. Kuna baadhi wanapenda vipara wanadai unakuwa sexy...
Wakuu salaam
Sina lengo la kukashfu maumbile ya mtu, bali kutaka kujua sababu ziwe za kisayansi au nyinginezo. Kuna binti nipo naye karibu mazingira ya ofisini kwetu. Huyu binti ni nzuri na...
Habari za mchana huu wakuu?..
njooni mtoe maoni kuhusu hii kasumba mbona wanawake wasikuizi wakivaa nguo vyupi au makufuli yanaonekana au yanajichora?
hii kitu ni sahihi na je mbona Enzi hizo...
Habari zenu ndugu.
Wataalam wanasema mwanaume angalau uwe na hata jozi moja ya suti kenye kabati lako la nguo.
Ni ukweli usiopingika kua suti humfanya mtu alieivaa kuonekana wa tofauti ila watu...
Hivi unaanzaje kujisaidia haja kubwa alafu unatawaza bila sabuni,?
Hakika huwezi kata harufu kama utatumia maji na toilet paper tu.
Nimejizoesha kujisaidia haja kubwa kipindi ninapooga ila...
Mimi sijui niseme ni mshamba au vipi, ila siku hizi kuna style ya mavazi kwetu wanaume, yani siielewi kabisa.
Utakuta kijana mkubwa tu, tena anaonekana anajielewa kabisa, na mwingine ana mwili...
Habar wakuu
Hivi ni vyakula vya aina gani nivitumie nipate kitambi kidogo hata cha kuzugia msaada tafadhari.
==========
Kitambi (kilibatumbo) ni tumbo kubwa ambalo linachomoza kwa mbele na...
Kwa wale ambao tuna nywele asilia a.k.a natural hair, tayari tunafahamu changamoto kadhaa tunazokumbana nazo. Kwa wale mnaofikiria kuanza kuwa na nywele asilia, karibuni sana tuendelee kujuzana...
Wakuu kuna perfume inaitwa Zara night II homme nimejaribu itafuta maduka mengi sijapata na sitaki kuagiza ebay itachukua muda sana.
Anayeuza hii au anayefahamu wapi nitapata kwa hapa Dar anijulishe.
Tuanze na Quote ya Tom Ford kwanza "Dressing well is a form of good manners".
ACT- Wazalendo wamejipanga kusuuza nyoyo zetu tunaopenda Mitindo. Najua mtasema nguo zinawasaidia nini wagombea...
You can cover your body and still look beautiful. Below are the pictures of how a responsible woman should dress. as a woman the way you dress matters a lot, people address the way you dress...
Let's go downright to the point, i have been hearing this several times mostly from middle aged women and men as well. I just want to hear some from you guys.
Is it effeminate for a man being...