Habari njema kwa wale mashabiki wa muziki wa lady jaydee pamoja na ma haters wote, kama inavyoonekana kwenye picha , kama hujui kusoma nitakusaidia ku translate maana wengine ata ku google hawajui...
Diana alikuwa binti mrembo sana mtaani kwao. Alishinda na bibi yake tangu akiwa mdogo, hii ilitokana na kuvunjika kwa ndoa ya wazazi wake na mama yake kurudi kwao Burma.
Vijana wengi...
Hivi mwanaume mzma una anzaje kuvaa suruali imekubana kama mwanamke jaman? Wengine wanavaa suruali zinabana mpaka vimatako vinachoreka kwa suruali halafu hawavai chupi.
Sasa umkute ana matako...
Navaa pamba kali na najua haswa kuvaa vitu vikali.
Napenda usafi wa mwili wangu mpaka mazingira yanayonizunguka.
Nnanukia perfume nzuri Gucci, Creed au Uomo.
Napenda kutumia vitu vyenye quality...
Habari zenu?
Mimi ni mdada mwenye rangi ya maji ya kunde, ngozi yangu ina mafuta sana. Nilikuwa nikitumia lotion ya Cocoa lakini nimepata shida ya vipele vingi sana usoni.
Sasa nimeshauriwa...
UTUMIAJI WA FACE WASH AU FACIAL CLEANSERS HUPENDEZESHA ZAIDI USO WAKO
U hali gani rafiki yetu na mpenzi wa mambo ya vipodozi na muonekano wa mwili? Karibu katika somo la leo linalohusiana na...
Habari wakuu,
Naombeni ushauri wenu. Ni kitu gani ambacho naweza tumia kufanya nisitoke jasho kwapani.
Jasho linanifanya nakuwa uncomfortable kiasi kwamba nashindwa kuvaa baadhi ya nguo maana...
Kuzuia ama kupunguza stretch mark za tumboni kwa wajawazito, asubuhi na muda wa kulala unakua una massage tumbo lako taratibuuu na mafuta ya Nazi Au Oliver oil.
Chunusi, paka unga wa dengu na...
Acha kunyoa ndevu mara kwa mara zipunguze tu. Aidha huwa unanyoa kwa kutumia machine au razor na huwa unatumia shaving cream na after shave au lah! Inawezekana hizo cream ndo tatizo kama huwa...
Habari wapendwa.
Karibuni tujifunze jinsi ya kutunza nywele zetu.
Mimi napenda sana nywele ndefu.kwa kushirikiana pamoja tunaweza kujuzana ni mafuta gani unapaka ,na stiming gani unatumia ili na...
Wakuu habari zenu?
Natumai mnaendelea vyema kulisukuma gurudumu la maisha hususani kipindi hiki cha huu ugonjwa wa corona.
Niende moja kwa moja kuhusu mada hapo juu, naomba kujuzwa bei ya jumla...
Kuna sketi nilinunua kwajili ya kufata bei cheap kwaiyo nikajikuta nimenunua sket nying muundo ule ule kasoro rangi hadi naulizwa nilizipendea nini.
Hata mwenyewe sometime naona shida hadi kuvaa...
Nimekuwa nikijiuliza wasichana hasa wanatakiwa kuvaa nguo gani ndani.
Wengne nimeona huvaa chupi pekee, wengine chupi inayobana wengine chupi na underskirt, wengine kuvaa tyt pekee bila chupi...
Wakina mama na wakina Dada wameanzisha mipango mipya ya kuvimbisha maziwa , wengine wakiyapiga sindano yawe magumu, imefikia hata wenye haki yaani watoto wao unyimwa na kupewa chupa huku...
Hebu nisaidieni wenzangu, ukiwa unatoka mfano Africa kusini na ndege yao kuja Tz, wanapuliza kama perfume/air refreshner kwenye ndege wanadai according to international blah blah. Mie nafkiri...
Nisaidieni hii ni ipi nzuri ya kupaka kuondoa nywele kwenye kwapa au ndevu,maana biashara za kunyoa kwapa na shaver nishazichoka
Ni ipi hair remover nzuri?
Bei jee?
Nipo serious maana kuna duka...