Salam,
Jana mama watoto aliniomba nimnunulie Lotion inaitwa Coco Pulp. Nimeiona anaitumia miezi Kama 2 hivi. Kwa kuwa afya yake haipo sawa,ilibidi nitekeleze
Cha ajabu nilipofika kwenye maduka...
Kuna wanaofuliwa na wapenzi wao, wake zao, waume zao (wa kwangu atafua ni kiwa mgonjwa labda). Unafua ukitoka kuoga, Jumamosi unafua na nguo zote chafu?
Mimi nimeweka kibeseni bafuni, zile...
Wapendwa naomba mnisaidie namna ya kuondoa alama za mafuta kwenye mkoba aina ya leather, nimejaribu kufua kwa maji ya moto na sabuni bado alama ipo. Mwenye ufahamu zaidi naomba anisaidie...
Masai utakuta kabeba viatu vizuri Sana vya kimasai akitembeza kuuza.Lakini yeye mwenyewe miguuni unakuta kavaa makobasi ya matairi ya gari.Hivi ni kwa Nini ? Ni ushirikina wao au Nini?
Habari wakuu!
Kama ni mkazi wa Dar si ajabu kuona siku hizi wanaume kuvaa vazi la kibukta juu ya magoti. Ukienda clubs ni Kawaida sana kuona wanaume wamekivaa. Upande mwingine, unaibua mashaka...
Nimeona mtu kaivaa mkononi kidogo imenishtua maana iko tofauti na ninazoziona kwa Wamasai au madukani.
Ukiichunguza vizuri katikati kuna kitufe kimoja kina kapicha kama sura ya mtu fulani au zile...
Mimi ni mwanaume rangi yangu ni black by nature kuna baadhi ya lotion hua nikipaka huanza kuharibu asili yangu. Wakuu naomba kujuzwa ni aina gani ya ingredients ambayo ikiwa katika mafuta huathiri...
Tuacheni masiala wana jf katika awamu zote zilizo pita hakuna awamu ngumu kama hiii ambayo vijana wengi wamejikuta either wamesingiziwa mimba au wametegeshewa mimba ni awamu hiii.
Sasa hivi bana...
Jamani wenye maduka ya fashoon plus size women tunahitaji boyfriend jeans!
Boyfriend jeans hazitakiwi kubana mapaja (plus size) mwenye nazo awasiliane nami!*ziwe kama hivi
Zisibane😋size 34-36
Hivi kwanini wanaume walio wengi sio wote wako na lips nzuri kulinganisha na wanawake. Lips za wanawake ni za kawaida sana ila wanaume wanakuwaga na lips nzuri zinavutia sana mpaka mtu...
Wakuu habarini za usiku huu,
Nimeandika andiko hili kutokana na kumuona Mh. Rais tangu ameanza kufanya ziara Mikoa ya Kusini hajabadili koti na kila tukio ninalomuona kwa siku za hivi karibuni...
Hii ishu inatokea sana, unakuta una nguo yako pendwa sana ukiifulia sabuni ya unga tu rangi yake halisi inapotea na inakuwa na weusi uliofifia, mfano jeans nyeusi, au T-shirt nyeusi nk. Hivyo basi...
Kumbe nywele zetu zikitunzwa vizuri zinaweza kuwa ndefu kabisa. Huwa ninamfuatilia huyu dada Youtube, ni Mkenya anaishi Australia. Angalia nywele zake zilivyo ndefu na hapo ni bila dawa ya aina...
habari
kama kichwa kinavojieleza hapo kuna sehem nilisikia ukichanganya baadhi ya pyafum au body spray zaidi ya moja znatoa harufu nzur halafu unique ningependa kujua mnapendekeza zipi
asanteni
Mavazi ni mahitaji ya msingi lakini kipato cha mtanzania kikidumaa kila siku.Jana kwenye shopping zangu nikasema 100,000 ngoja niitumie kwa mavazi leo.Nikapita mitaa ya sinza na mabibo.Yaani...
Habari
Jamani nataka kuanza kufanya scrub, nina uso wa mafuta hivyo basi ningependa kujua vitu gani vya kuzingatia ili niwe na matokeo mazuri.
Na je, ni salama kufanya katika saluni zetu hizi za...