Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Nilitaka kufaham wanawakee nyie mnajiita waremboo mnakwamaa wapi mwanamkee unakuwa na mikuchaa kama shetani unafugaa kuchaa mpaka kula inakuw taabu kwenu urembo gani wa hivyo
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Kumekuwa na tabia ambayo inakuja kwa kasi sana zama hzi inawahusu nyie wanawake wajawazito. Sijui kama nitakuwa nakosea ila kwa utamaduni wetu wa kiafrica haipendezi kwakweli. Wanawake sikuhz...
3 Reactions
125 Replies
11K Views
Habari zenu nivae vazi gani kutokana na nilivyo? iisaidieni nivae nguo gani nipendeze nimrefu sio mnene wala mwembamba sana nina maziwa makubwa kiasi sina chura miguu miembamba nishaurini mavazi...
2 Reactions
24 Replies
25K Views
salaam, Wadau Nina nywele fupi nataka zikue haraka nitumie mafuta gan...
0 Reactions
19 Replies
16K Views
Hii ni njia ya rahisi sana ya asili ya kuweka mng'ao kwenye nywele zako na kuzifanya zishine pia inachochea ukuaji wa nywele Unachotakiwa kufanya ni kuchemsha majani ya rosemary kwenye maji kiasi...
3 Reactions
11 Replies
5K Views
Habari zenu ndugu zangu! mimi ni mwanamke wa miaka 30 sasa! Ndugu zangu jana usiku nimegundua kuwa kucha zangu zipo hivi! Kamstari kama rangi ya kahawia uliokaa kama duara hivi! Hiki kidole...
1 Reactions
56 Replies
41K Views
Kwa siku za karibuni kumekuwa na mjadala wa vijana wa kiume kuendana na wakati. Ambapo kwenye suala la mavazi haswa suruali kumekuwa na mitizamo tofauti. Kuna wanaobana sana suruali bila kujali...
3 Reactions
31 Replies
8K Views
Mwenye kujua paphumu ça kiarabu zinazo Nukia vizuri. Za bei rahisi kuanza 10,000 kushuka Chine. Naomba anisaidie n'a akiweka n'a picha itanisaidia .asanteni
3 Reactions
26 Replies
15K Views
Habari ndugu watanashati Leo ninaomba mnisaidie kubaini rangi ya kiatu hiki pichani(Tazama kiambatisho). Mafundi(baadhi) wapaka rangi wetu wababaishaji,wanaweza kukupakia zinazofanana na kuharibu...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Huu ni mtindo uliojizolea umaarufu nchini Rwanda kwa miaka mingi iliyopita. Muonekano wake ni kama ilivyo katika picha Mtindo huu ulianzishwa na Wanaume lakini baadaye Wanawake waliupenda na...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Wakuu Leo naomba tujuane wale wote ambao hawajawahi kunyoa staili Mbalimbali mfano;kiduku,panki,n.k Nikianza mm sijawahi mpaka sasa na umri wangu huu nilio nao Vipi kwako wewe ulishawahi? je...
4 Reactions
18 Replies
9K Views
Naomba kujua wataalam au wazoefu ,je lotion IPI ni mzuri kwa ngozi yenye mafuta kwa Dodoma
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Watu wanasema kizuri kula na mwenzio. Nimeona kuna nyuzi nyingi umu za pafyumu watu wakiangaika kusaka pafyumu zinazonukia vizuri. Niwaambie tu siku hizi habari ya mjini ni pafyumu za kiarabu...
13 Reactions
28 Replies
10K Views
Waziri wa Afya na Ajira wa Japan, Takumi Nemoto amesema ni muhimu kwa makampuni kulazimisha wafanyakazi wake wa kike kuvaa viatu virefu “high heels” wawapo kazini. Amesema kama kuna ulazima wa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Hii ni tofauti na watu kama waChina, waJapan, wahindi, Waarabu nk., hata wale wa Brazil, ulaya na marekani ni mbegu ya Afrika iliyopelekwa utumwani. Nini siri ya neema hii? Video inafafanua zaidi.
1 Reactions
20 Replies
9K Views
Nina kama masaa mawili ya kufanya maamuzi Naongelea haswa hako kauwazi hapo kati, Mwanaume ukiona mwanamke ameachia kitumbo wazi kidogo unaonaje kama ni mkeo au mpenzi wako? Ni kiparty with...
5 Reactions
78 Replies
10K Views
Habarini wakuu....... Hivi nyie wadada/ wamama mnaoenda kusafisha kucha mmevaa nguo fupi huwa mnataka nini?....... Yani nimepita hapa makoroboi kuna mmama mtu mzima tu yani anasafishwa kucha kavaa...
3 Reactions
103 Replies
14K Views
Naomba kujua mnapenda nini kutumika chupi ama taiti ok Na kama chupi ni zipi au kama taiti zipi ndefu ama fupi Na Kwa zooote mnapenda material yapi nafatilia koment zenu . Wanaume tukae pembeni...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
Vazi la Khanga ama kitenge kwa wadada wa Kitanzania li zuri linavutia - Linaonyesha uzuri alionao msichana wa kitanzania - tulipitishe liwe la kitaifa kwa wadada wetu!!
6 Reactions
143 Replies
27K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…