Urembo, Mitindo na Utanashati (Lifestyle)

JF Lifestyle: Mijadala kuhusiana na masuala ya Urembo, Mitindo na Utanashati kwa ujumla wake
Habari za mda huu waungwana? Naomba mnifahamishe tofauti ya Body spray na pafyum kimatumizi wanaume wa mikowani huwa hatutumii hyo kitu ila nilipohamia Dar nikakuta watu wa Dar wanatumia wwakua...
1 Reactions
6 Replies
6K Views
Tupo kiwanja na wana tunamalizia weekend. Kaja jamaa kaongozana na mrembo mzuri tu lakini alivyokuja kutusalimu hiyo harufu ya kinywa ni balaa. Mwana katutambulisha jamaa katoka mkoani. Ni hayo...
3 Reactions
44 Replies
5K Views
A Showcase Of African Designs At The Lagos Fashion Week The highlights of the 2018 Lagos Fashion Week held from the 24th-27th of October. Lagos Fashion Week is a fashion platform that drives the...
0 Reactions
0 Replies
966 Views
Ngozi kama kiungo cha mwili: Ngozi ndicho kiungo kikubwa kuliko viuongo vyote vya mwili wa binadamu. Kazi kubwa za ngozi ni kuvifunika viungo vingine vyote kwenye mwilini na kuvilinda dhidi ya...
7 Reactions
23 Replies
12K Views
Habari za jumapili wana JF. Katika masuala ya mavazi kuna mambo Mengi sana. Unakuta watu wamelingana kimo kila kitu hadi rangi na hata hadhi ktk jamii. Lakini wanapovaa kuna mmoja anasifiwa sana...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
kuna jamaa yangu ameniomba nimsaidie kupost hizi vitu anauza kwa bei nafuu sana ili amalize akalete mzigo mwingine maana analetaga nj'e kutoka dubai na china...kwa atakayehitaji amtafute kwa...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Tuwe tunajitathmini kabla ya kuvaa hili vazi mana utakuta mtu kwapa jeusi,anavuja mijasho,hajanyoa au kwapa lina mamichirizi hata kama umependeza kiasi gani hizo huenda zikawa kasoro za utanashati...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habar kilivyo. Mtaalam anipe ushauri wa dawa au kipodozi cha kuondoa rashes katika mfumo wa vipele vidogo vidogo.
0 Reactions
26 Replies
26K Views
Naomba Ushauri wako juu ya Muziki Wangu - JamiiForums
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani naombeni msaada Wapi nitapata mafunzo ya kutembea kwa viatu virefu? Nahitaji darasa asap!
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Wakuu naomba kujuzwa ni mafuta gani hutumika kufanyia masaji, nifahamu pia pahala yanapopatikana kwa Dar
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wanajamii forums hopefully mko fine. Leo nilitaka kuwaambia wanaume wenzangu ambao walikuwa na maswali kama 1. KWANINI WANAWAKE NI WABAHILI SANA? 2. HIVI WANAWAKE HELA ZAO WANAPELEKA...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Thi is what Victoria has in store for winter collection
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu Waungwana, Kuna jambo nimeliona jana saloon hata sijapenda, nimekwenda kufanya body wax na kutoa nyusi kufika namkuta mkaka ameshikilia nyusi lina guna tuu mmh,mmh, hakuishia hapo...
7 Reactions
100 Replies
10K Views
Wakuu habari za jumapili, kumekuwa na wimbi kubwa la wadada na wamama kusafishwa na kusuguliwa miguu kwenye baadhi ya vituo na maduka ya urembo. Je utamaduni huu mpya unaongia kwa kasi katika...
0 Reactions
39 Replies
6K Views
Husika na kichwa cha habari,nahitaji msanii/painter anayeweza kuchora kwa ustadi kuchora kwenye nguo,ama fabrics ,mniPM tuyajenge.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nilikuwa naapita mitaaa ya uzwazi ya hapa Jijini.. Manzese na Magomeni. Ukikutana na wanawake 10.. lazima tisa wamevaa vazi la dera.. Ukikutana na vijana 10 lazima 9 wamezaa tshirt za...
10 Reactions
75 Replies
13K Views
Wasalamu wakuu, Ndugu zangu, Siku hizi naona kitambi kimeanza kujitokeza[emoji134] asikwambie mtu kitambi kina shida. Naangaika jinsi ya kukaa, nalazimika kulegeza mkanda wakati nakaa...
5 Reactions
113 Replies
12K Views
Haya wale team ma feki ma wigs mjue watu weusi hatuhitajiki duniani,walishwapata kwenye kujichubua hadi mwenzenu akiwa mweusi mnamcheka utasikia eti mweuuuusiiiiiiiiii huku mmekunja na sura sasa...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Mijanaume ya mkoa ikija Dar inaiga mambo za kike hadi saluni inaenda Mxieeww Mbakigi makwenu Nyau nyie mnafanya hadi wanaume sisi wa Dar tuonekane majinga Dar hatutak shoboooo sisi ni...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…