Imebidi niulize sababu nimejikuta nywele zimenyonyoka Kama nimenyolewa, banda ya kuweka curl baada ya miezi mitatu nikaweka DAWA ya movate ili nilainishe nywele coz nilikuwa nataka Kusuka yebo...
No shave November,
Nini maana yake?
Dunia ina mengi....
Hiki ni kipindi cha mwezi mmoja wa kumi na moja ambapo wanaume huweka utaratibu wa kuachia/ kutokunyoa ndevu zao kwaajili ya la kusave...
Wanabodi nawasalimu sana!
Mi nimeshazeeka.
Mitindo ya vijana inanipita kushoto. Nambieni hiyo Pascal Wawa hapo, wa pili Kutoka kushoto, huo mtindo wake wa nywele mnaitaje huko Mjini, huku...
Kinauzwa $17million.
Kimetengenezwa na gold, patent leather, silk, na kupambwa na 236 diamonds.
15 carat flawless D-diamond center piece at the tip of each shoe.
Viko Dubai, ukihitaji Info zaidi..
Kama kichwa cha mada kinavyo eleza hapo juu sijawahi hudhuria interview yoyote hata ya ulinzi shirikishi kifupi sina experience yeyote kuhusiana na interview.
Mimi ni muhitimu wa chuo fulani...
Kama kuna kitu kimetushinda wababa wengi ni kujua mkeo anataka nini hasa kwenye ishu nzima ya mitindo ya nywele za kusuka, hebu pata darasa la bure hapa mitindo michache ili usibabaike shemeji...
Wakuu,
Kuna watu huwa wanatumia nguo za ndani kwa muda mrefu bila kununua mpya.
Kiafya, nguo ya ndani inabidi ivaliwe kwa miezi mitatu tu baada ya kuinunua, kisha itupwe au ichomwe moto...
Habari zenu jamani,mwenzenu chunusi zinaharibu kabisa urembo wangu nimekua na machunusi mpaka naona aibu kuonana na watu nisaidieni jamani nitumie nini mi ni mweusi sitaki kuwa mweupe kabisa...
Habari za asubuhi Wakuu. Bila ya kupoteza wakati nijikite kwenye mada tajwa hapo juu.
Ni asubuhi iliyonjema kabisa kila mmoja wetu akiwa na pirikapirika yake ya kujitafutia riziki ya kila siku...
Hivi baadhi ya wadada huwa wanafanya nini na hizi ball dresses baada ya shughuli maalum?!
Huwa wanauza ama?!, maana kuivaa nguo kama hii mara mbili wadada wa mujini huwa wanadai "it's cheap"
Nauliza hivyo maana nilikuwa nimepanda hiace nimekaa na dada siti moja ameyashonea hayo madubwasha yanatoa harufu kali.
Halafu sijui nani aliwadanganya kuwa yanawapendeza maana wengine...
Habarini za weekend ndugu zangu na polen na maisha ya Tanzania.
Back to the topic, naomba kujuzwa hivi kwanini nguo aina za madera ambayo huvaliwa na wakina mama au wakina dada yamechukuliwa kama...
World
News
Queen Elizabeth Makune is Miss Tanzania 2018
By Missosology -
September 10, 2018
0
232
Queen Elizabeth Makune was crowned Miss Tanzania 2018 during the finals held September 8 at the...
Hii biashara ya kupaka kucha na kuosha miguu wanawake kwakweli ina maswali mengi???
1.Kwanini wanaofanya kazi hii wengi ni wanaume tu??
2.Ama kuna Jambo lingine muoshwaji anapata mbali na...