Nina siku kadhaa tangu niache kuogea sabuni. Maji yenyewe haya ya kisima, ukioga unajikuta umepaukaa.
Katika kujaribu jaribu kuboresha hali ya bafuni, nikaanza kuogea backing powder! Weee, the...
Hey guys hili swali nimeulizwa na mtu PM nimeshindwa hata kumjibu
Siku hizi kumekuwa na mijadala mingi kuhusu kujichubua kwa losheni, vidonge au sabuni. Maana kuna wimbi la wanaume na wanawake...
Who knew that being a convicted murderer could land you the esteemed title of Miss Jail, an award doled out by the Racife, Brazil womens prison? The yearly contest is based on beauty, knowledge...
Huyu mdada anaitwa Gracyane Barbosa ni mrembo wa kibrazil amejikita kwenye udansa na mazoezi yani fitness model.
Je, ni sahihi kwa mwanamke kufanya mazoezi na kuvimba kama hivi?
Gracyanne...
IMEKUWA ni kawaida kwa akina dada wa siku hizi kupenda kuwa na makalio makubwa kwa kile wanachoamini huchangia kuvutia wanaume. Huenda kuna ukweli juu ya madai hayo ingawa bado hakuna utafiti...
Jamani mi napenda sna perfume, tena sana. I have many diffrnt prfumes in my wardrobe. My favourite ar
: 212 sex by Caro Herera
: Midnite fantansy by Britney Spear
: Glow after dark by J.lo
...
Kipindi nilipokuwa nasoma shule ya msingi kuona msichana akiwa amevaa gagulo ilikuwa jambo la kawaida kwani zilikuwa zimezoeleka kuvaliwa.
Hata wanawake wengine mtaa walikuwa wanavaa gagulo kama...
Habari wanajukwaa la urembo na utanashati.
Nikianza na wanaume hasa wale ambayo tuna rangi ya mtume kutoka dubai na Beards sehemu za usoni tumekuwa na changamoto hasa tunaponyoa hizi...
Wakuu nisaidien hili tatito huwa nikipaka mafuta ya Vaseline petroleum jelly usoni baaz ya sehem chini y jicho huwa pana washa kias flan tatizo n nin et?
Bei ya nywele za crotchet ni sh ngapi? Normally ina range vipi na bunda ngapi litatosha kwa kawaida, kwa wale ambao mnazisukaga hizi na bei ya kusuka ni 30,000 au wamenichuuza?
Wadau ghrama za wastani za kubadilisha maumbile ni kati ya dola 4,000 hadi dola 5,000.
kwa maelezo zaidi ya kimombo tafadhali pitia hapa chini.
=====
What is the cost of buttock enhancement...
Habari zenu wakuu na wakubwa shikamooni
Naomba niende kwenye mada.
Hivi vioo vya kwenye magari(hasa vya madirisha), vya majumbani (ambavyo nyumba nyingi tumezoea kuviona), vioo vya kwenye...
Salam ndugu zangu.
Kuna mtu unamkuta mchafu, nguo chafu, anakolala kuchafu, meno machafu, anapenda kukaa sehemu chafu, anapenda kula kitu kichafu, anapenda kuoga maji machafu, masikioni mchafu...
Habari za mchana waungwana,
Huwa najiuliza huyu aliyevumbua bra aliwaza nini? Hebu fikiria kusingekuwa na bra hivi tungeishije wanawake...
Yaani bila bra wengine tusingetoka ndani...
Kudos kwa...
Habari za mida hii wakuu, nadhani mko salama.
Ni dawa gani ambayo mtu akitumia anaongezeka mwili? Mazoezi ya kwenda gym siyawezi kwa sababu ratiba yangu hainiruhusu.
Pia kama ni suala la...